×

Ligi Inaendelea Meridianbet, Chezo sloti ya Capital City Derby Upige Mkwanja

Jiandae kwa tukio la michezo la sloti linalokusudiwa kuwafurahisha mashabiki wote wa michezo ya kubahatisha ya kasino ya mtandaoni! Uwe...

READ MORE

BoT: Utalii Waanza  Mwaka 2025 Ukiongoza Kuleta Fedha Za Kigeni

Ripoti mpya ya Benki Kuu ya Tanzania imethibitisha kuwa sekta ya utalii (travel and tourism), pamoja na kumaliza mwaka wa...

READ MORE

Kocha Yanga: Jonathan Ikangalombo ni Mchezaji Hatari

KOCHA Mkuu wa Yanga, Miloud Hamdi amesema kuwa anaamini nyota Jonathan Ikangalombo atafanya kazi kubwa ndani ya timu hiyo kutokana...

READ MORE

Bahati Nasibu ya Taifa Yashirikiana na Vodacom M-Pesa Miamala ya Kidijital

Dar es Salaam, Tanzania – 27 Machi 2025 – Bahati Nasibu ya Kitaifa ya Tanzania imeshirikiana na jukwaa kuu la...

READ MORE

Jenerali Mabele: Tukitangaza Nafasi JKT Jitokezeni, Acheni Kufoji Vyeti – Video

Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa Meja Jenerali Rajabu Mabele ametoa wito kwa watu wote wanaoghushi vyeti vya mafunzo ya...

READ MORE

Prof Kitila: Kuna Haja ya Kutengeneza Sera za Uagizaji Magari Kulinda Viwanda vya Ndani

  Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Prof Kitila Mkumbo amesema kuna haja ya kurekebisha Sera katika...

READ MORE

Mwalimu Mkuu Na Walinzi Wakamatwa Wakidaiwa Kumuua Mwanafunzi – Video

Jeshi la Polisi Mkoa wa Rukwa limewakamata watuhumiwa watatu kwa tuhuma za kumuua mwanafunzi wa kidato cha nne wa shule...

READ MORE

TANESCO Kuanzisha mkoa maalum wa kiutendaji Kushughulikia changamoto za umeme SGR

Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limesema lipo mbioni kuanzisha mkoa maalum wa kiutendaji ili kushughulikia changamoto za umeme katika Reli...

READ MORE

Haya Husababisha Mwanamke Kukosa Hedhi (Amenorrhea)

WANAWAKEwengi wamekuwa wakikosa hedhi na hali hiyo imekuwa ikiwaletea usumbufu mwingi wa kisaikolojia kwa waliowahi kukumbana na tatizo hilo.Tatizo la...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Machi 27, 2025

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza...

READ MORE

Sheikh Kandauma Awaonya Wanaofanya Mchezo Makka – Video

Sheikh Ahmed Kandauma amekemea tabia ya baadhi ya watu wanaoenda kwenye miji mitakatifu ya Makka na Madina na kufanya michezo...

READ MORE

Jenerali Mkunda Awavisha Nishani Kanda ya Mbeya

Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi ya Wananchi wa Tanzania Jenerali Jacob John Mkunda kwa niaba ya Mhe Rais na Amiri...

READ MORE

Prof Kitila Mkumbo Atoa Maagizo Matano Kuongeza Ufanisi Kampuni Zenye Hisa na Serikali

Serikali imetoa maagizo matano kwa wakurugenzi wa bodi za kampuni ambazo inaumiliki wa hisa chache, ikiwa ni sehemu ya jitihada...

READ MORE

Rais Samia Afanya mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje wa DRC, Ikulu Dar

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan leo Machin26, 2025 amefanya mazungumzo na Mjumbe Maalum wa...

READ MORE

Nafasi Za Kazi Halmashauri Ya Wilaya Ya Kyerwa, Mwisho wa maombi Aprili 5, 2025

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kyerwa amepokea kibali cha Ajira mpya kwa Ikama ya mwaka 2023/2024 kutoka kwa...

READ MORE

Urusi na Ukraine zakubaliana kusitisha vita baharini

Marekani imefikia makubaliano tofauti na Ukraine na Urusi, ambapo nchi hizo zimekubali kusitisha mashambulizi baharini na dhidi ya miundombinu ya...

READ MORE

Ahmed Ally: Tiketi za Constantine Kutumika Dhidi ya Al Masry ya Misri

Klabu ya Simba , imewatangazia mashabiki wake walionunua tiketi kuelekea mchezo wao wa hatua ya makundi ya kombe la Shirikisho...

READ MORE

Benki ya CRDB Yakabidhi Madarasa na Vyoo kwa Shule ya Msingi Misufini

Katika muendelezo wa kusheherekea miaka 30 ya kuleta mabadiliko katika jamii, Benki ya CRDB imekabidhi madarasa mawili na vyoo sita...

READ MORE

Msajili Aitwanga Barua CCM, Ataka Maelezo Ya Maneno Ya Makala – Video

Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa imewajibu Chama cha ACT Wazalendo kuhusu ombi lao la kuchukuliwa hatua Katibu wa...

READ MORE

Mwananchi Amshukuru Mkaguzi wa Polisi kwa Msaada wa matibabu

Mkaguzi kata ya Kisangura Wilaya Serengeti Mkoa wa Mara Mkaguzi Msaidizi wa Polisi (A/INSP) Genuine Kimario amepokea shukrani kutoka kwa...

READ MORE