×

Maziko ya SP Awadh Chiko Yafanyika Kijeshi Makaburi ya Kisutu Dar – Video

Mwili wa aliyekuwa Mkuu wa Polisi Wilaya ya Kipolisi Chanika SP Awadh Chiko umezikwa leo Machi 18, 2025 katika Makaburi...

READ MORE

Maandalizi Sikukuu za  Eid na Pasaka;  Wateja Benki ya NBC Sasa Kupata Punguzo la Asilimia 20 kwa Manunuzi

Dar es Salaam: Machi 21, 2025: Kuelekea Msimu wa Sikuku za  Eid na Pasaka, Benki ya Taifa ya Biashara (NBC ) imeingia...

READ MORE

Majaliwa: VETA Toeni Mafunzo Yanayozingatia Soko La Ajira

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ametoa wito kwa wadau wa elimu na mafunzo ya ufundi stadi nchini watoe mafunzo yanayozingatia mahitaji...

READ MORE

Polisi Watakiwa Kuchukua Hatua Kwa Wanaojihusisha Na Vitendo Vya Ukatili Wa Kijinsia

Askari Polisi nchini wametakiwa kuendelea kuchukua hatua kwa watu wanaojihusisha na vitendo vya ukatili wa kijinsia na unyanyasaji dhidi ya...

READ MORE

EU: Trump Ni Janga Baya Kuliko Corona

Naibu wa Gavana wa Benki Kuu ya Umoja wa Ulaya Luis de Guindos amesema kuwa, rais wa Marekani, Donald Trump...

READ MORE

UN: Vita DRC ‘Imezalisha’ Wakimbizi 100,000

Umoja wa Mataifa (UN) unaripoti kuwa mapigano ya silaha katika jimbo la Ituri, Kaskazini-Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo...

READ MORE

Wakali Wa Pasi Bongo, Fei Toto Akimbiza Ligi Kuu Tanzania Bara

KWENYE idara ya kutengeneza pasi za mwisho ndani ya Ligi Kuu Tanzania Bara ambayo ni ligi namba nne kwa ubora...

READ MORE

Mchongo Ni Blackjack Live Ya Meridianbet

Mchezo wa Blackjack Live        Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet inakuletea mchezo bomba wa Blackjack Live unaopatikana mubashara ukiwa umetengenezwa na...

READ MORE

Mzize ana ofa Tatu Uturuki, kutimka mwishoni mwa msimu

INEALEZWA kuwa mshambuliaji wa Yanga, Clement Mzize anatajwa kuhitajika na Klabu Tatu kubwa kutoka Ligi Kuu ya Uturuki na tayari...

READ MORE

Mwili Wa Ocd Awadh Wawasili Nyumbani Kwake, Viongozi Mbalimbali Wafika Msibani – Video

Hali ilivyo nyumbani kwa aliyekuwa Mkuu wa Polisi Wilaya ya Kipolisi Chanika, SP Awadh Mohamed Chiko Kijitonyama jijini Dar es...

READ MORE

Shamsa: Hakuna mtu Anayemfikia Mumewe Wangu – Video

Staa wa filamu za Kibongo, Shamsa Ford amesema hakuna mtu anayemfikia mumewe kwenye suala zima la uigizaji nchini na kuongeza...

READ MORE

#Mwisho: Simulizi Ya Kweli Ya Hamis Aliyemuua Mkewe, Jaji Alivyotoa Hukumu Ya Kifo Kwa Mshitakiwa – Video

Hii ni simulizi ya sakata zima la tukio la Said Luwongo kumuua mkewe, Naomi Marijani kisha kuuchoma mwili wake na...

READ MORE

Roulette Kasino ya Mtandaoni Inakupa Ushindi

Unafikiria ni sloti gani au mchezo gani ulipa pesa nyingi kwa mara moja? Usihangaike cheza kasino ya mtandaoni kutimiza matakwa...

READ MORE

Yanga Yafungua kesi CAS kufuatia kuahirishwa kwa mchezo wa Dabi

Klabu ya Yanga Sc imefungua kesi ya malalamiko kwenye Mahakama ya Usuluhishi wa Michezo (CAS) hatua inayokuja baada ya kutoridhishwa...

READ MORE

Nilitafuta Mke Bila Mafanikio Hadi Nikahisi Nina Mikosi

Jina langu ni Sam awali katika kutafuta mke wa kumuoa kuna wakati nilifikia kipindi na kusema huwenda nina mikosi katika...

READ MORE

PUMA Energy yawataka wakazi wa Dodoma kuchagua nishati safi kuchochea maendeleo ya kijamii na kiuchumi

Kampuni ya Puma Energy Tanzania imezindua PumaGas jijini Dodoma, hatua inayoonyesha dhamira yake katika kuhakikisha suluhisho la nishati nafuu na...

READ MORE

Yanga Hawatopewa Alama Tatu Mchezo Ulihairishwa, Yaambiwa Inaweza Kushushwa Daraja

Bodi ya Ligi Kuu imeijibu klabu ya Yanga barua yake ambayo ilikuwa pamoja na mambo mengine inataka ipewe alama 3...

READ MORE

Waziri Mkuu Majaliwa: Ruangwa Hatuna Deni Na Rais Dkt. Samia

Mbunge wa Jimbo la Ruangwa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema wakazi wa Wilaya ya Ruangwa hawana deni na Rais...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Machi 18, 2025

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza...

READ MORE

CCM Yaahidi Kuendelea Kumuenzi Dkt. Mgufuli, Kuchangia Mil 50 Kukamilisha Ujenzi wa Kanisa Chato

NAIBU Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara John Mongella ameshiriki Ibada ya Shukrani ya kumbukizi ya miaka minne...

READ MORE