×

Uhusiano Baina ya Tanzania-Czech Kung’ara

Uhusiano wa kiuchumi baina ya mataifa umeelezwa kuwa ndio uhusiano imara na bora zaidi ukilinganisha na nyanja nyingine za uhusiano...

READ MORE

Changamkia Fursa Milioni Moja Kutoka Imebaki Siku Moja tu

Imebaki siku moja tu mkwanja wa milioni moja utoke kwa mshindi wa shindano la Expanse kasino, Endelea kucheza michezo ya...

READ MORE

Rais mteule wa Marekani, Donald Trump kuapishwa Ndani ya Jengo la Bunge leo

RAIS mteule wa Marekani, Donald Trump anatarajiwa kuapishwa leo Januari 20, 2025 kuwa rais wa 47 wa taifa hilo kubwa...

READ MORE

Instagram Yabadili Mwonekano wa Ukubwa wa Picha

Kama wewe ni mfuatiliaji mzuri wa mitandao ya kijamii hususan Instagram, utakuwa umeshagundua kwamba kuna mabadiliko yanayoendelea kwenye App hiyo...

READ MORE

Nafasi Ya Kazi Wezesha Mzawa ‘Loan Officer’ Mwisho wa Kupokea Maombi Jan 21, 2025

We are seeking a motivated, experienced Loan officer/ Credit officer to join our growing company. In this position, you will...

READ MORE

Chadema Yapitisha 23 Kuwania Ujumbe wa Kamati Kuu

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Jumapili Januari 19, 2025 kimewapitisha makada wake 23 kuwania ujumbe wa Kamati Kuu. Hatua...

READ MORE

Mateka wa Israel Waachiwa na Wapiganaji wa Hamas

Kufuatia makubaliano ya kusitisha mapigano kati ya Israel na wapiganaji wa Hamas wa Palestina, watu waliokuwa wakishikiliwa mateka kutoka pande...

READ MORE

Rais Samia Aongoza Kikao cha Dharura cha Halmashauri Kuu ya CCM Taifa

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ameongoza Kikao cha...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Januari 20, 2025

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza...

READ MORE

Rais Samia Na Nchimbi Kupeperusha Bendera CCM – Video

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na mgombea urais kwa tiketi ya CCM,...

READ MORE

Naibu Waziri wa Fedha Azinduzi Bahati Nasibu ya Taifa, Mapinduzi Makubwa Yaja

Dar es Salaam, 21 Januari 2025: Sekta ya michezo ya kubahatisha nchini Tanzania imepiga hatua kubwa baada ya uzinduzi rasmi...

READ MORE

Ushindi Bab Kubwa Kupitia Malipo ya Kidigitali ‘Tap Kibingwa’ Ya Stanbic

Dar es Salaam, Tanzania, 15 Januari 2025: Benki ya Stanbic Tanzania imezindua rasmi mpango wake mpya, kampeni ya “Tap Kibingwa,”...

READ MORE

Rinazon Ministry Ukombozi kwa Wanandoa

Rinazon Ministry ni huduma ya kiroho ambayo imekuwa na mkombozi mkubwa kwa wanandoa katika kustawisha ndoa zao na kuzitibu ndoa...

READ MORE

Leo kwa Moto Sana Ndani ya Meridianbet

Siku ya Jumapili leo timu kibao zimejiandaa kukupatia pesa ndani ya Meridianbet, wewe unatakiwa kuweka dau lako dogo na ujishindie...

READ MORE

Rais Samia na Mwinyi Kugombea Urais 2025, Azimio Kuwasilishwa – Video

Rais Mstaafu, Jakaya Kikwete amesema kama wajumbe wa mkutano mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wakitaka wanaweza kuamua kwamba Rais...

READ MORE

Majaliwa: Rais Samia Ameimarisha Amani Kupitia 4R, na Ameongoza kwa mafanikio – Video

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa, amepongeza juhudi na uongozi bora wa Rais Samia Suluhu Hassan...

READ MORE

Serikali Yakusanya Trilioni 105.26 ndani ya Miaka 4 – Video

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema kuwa katika kipindi cha kuanzia Novemba 2020 hadi Oktoba...

READ MORE

Wild Corrida Kasino Mtandaoni Bora Kuliko Zote

Wild Corrida ni mchezo wa kasino unaonesha onyesho utamaduni wa mapigano ya ng’ombe na ni maarufu sana nchini Hispania na...

READ MORE

Mkutano Mkuu Maalumu Wa CCM Taifa, Diamond Aibua Shangwe – Video

Januari 19, 2025 siku ya Pili ya Mkutano Mkuu Maalum wa CCM utakaaoongozwa na Mwenyekiti wa CCM Dkt Samia Suluhu...

READ MORE

Watu zaidi ya 70 Wapoteza Maisha na wengine kujeruhiwa baada ya lori la mafuta kusababisha mlipuko

Watu zaidi ya 70 wamepoteza maisha na wengine kadhaa kujeruhiwa baada ya lori la mafuta kupinduka na kusababisha mlipuko, tukio...

READ MORE