×

Breaking: Mbowe Ampongeza Lissu Kwa Ushindi, Mwenyekiti Mpya Chadema – Video

Kupitia akaunti yake ya mtandao wa X, Freeman Mbowe amempongeza Tundu Lissu na wenzake kwa kuaminiwa na wanachama wa Chadema....

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Januari 22, 2025

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza...

READ MORE

Waandishi wa Habari Dar Wapigwa Msasa Kuhusu Elimu ya Magonjwa Yaliyokuwa Hayapewi Kipaumbele

Timu ya Wataalamu kutoka Mpango wa Taifa wa Kudhibiti Magonjwa Yaliyokuwa Hayapewi Kipaumbele (NTDCP) imetoa mafunzo kwa waandishi wa habari...

READ MORE

Freeman Mbowe Afungua Mkutano Mkuu Chadema, Akemea Matusi, Asema Uchaguzi Huo sio Vita

MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Freeman Mbowe amewasihi viongozi watakaoshika nyazifa mbalimbali katika Chama hicho ni lazima...

READ MORE

Majaliwa: Serikali Imefanya Uwekezaji Mkubwa Kwa TMA

SERIKALI ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, imeendelea kufanya uwekezaji mkubwa katika Mamlaka ya...

READ MORE

Donald Trump aiondoa Marekani kwenye Mkataba wa Paris

Rais Donald Trump ameanza kutekeleza baadhi ya ahadi alizoahidi wakati wa kampeni, ambapo ametia saini maagizo kadhaa, kama vile makubaliano...

READ MORE

Leo Ni Siku Ya Mechi Za Ligi Ya Mabingwa Duniani

Kama ilivyo ada inajulikana kuwa leo ni siku ya mechi za Ligi ya mabingwa Duniani hivyo wewe kama mteja suka...

READ MORE

Hatma Ya Mbowe Na Lissu Ni Leo, Polisi Watanda Kila Kona Mlimani City – Video

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) leo Januari 21, 2025 kinatarajiwa kufanya uchaguzi wa viongozi mbalimbali ndani ya chama hicho....

READ MORE

Trump Atangaza kujitoa kwa Marekani kutoka Shirika la Afya Duniani (WHO)

Rais wa Marekani, Donald Trump ametangaza kujitoa kwa Marekani kutoka Shirika la Afya Duniani (WHO), hatua iliyopokelewa kwa hisia tofauti...

READ MORE

Elon Musk Apagawishwa Na Uapisho Wa Trump, Sasa Ndoto Yake Ya Kupeleka Mtu Sayari Ya Mars Kutimia – Video

Bilionea mkubwa duniani na mwanzilishi wa Kampuni ya SpaceX, Elon Musk ambaye pia ni swahiba mkubwa wa Rais Donald Trump...

READ MORE

Trump Aahidi Kurudisha Nidhamu Marekani Baada ya kuapishwa

Akizungumza baada ya kula kiapo kama rais wa 47 wa Marekani siku ya Jumatatu Januari 20, 2025, ndani ya ukumbi...

READ MORE

Sweet Bonanza 1000 Kasino! Shinda x25,000 ya Dau Lako

Meridianbet kasino ya mtandaoni sasa inakuletea mchezo mpya wa sloti ambao utakushangaza. Katika mchezo wa Sweet Bonanza 1000, unaweza kushinda...

READ MORE

Waziri Kombo Awakaribisha Wafanyabiashara wa CZECH

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabit Kombo amewakaribisha wafanyabiashara wa Czech kuangalia fursa...

READ MORE

Mwili Wa Regina Aliyetoweka Ghafla Wakutwa Kwenye Shimo la Maji Taka, Ndugu Wadaiwa Kuhusika

Jeshi Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam limesema kuwa limewakamata na kuwashikilia  watuhumiwa wawili, Fred Rajabu Chaula na Bashir Richard...

READ MORE

Benki Ya CRDB Yashinda Tuzo 2 za Kimataifa za Mwajiri Bora – ‘Top Employer’

Dar es Salaam, Januari 20, 2025 – Benki ya CRDB imeendelea kung’ara kimataifa baada ya kutunukiwa tuzo 2 za Mwajiri...

READ MORE

Gethmane Group Yaja na Wimbo Maalum Kwaajili ya Harusi, ‘Ni Siku Yetu’

Kundi la kwaya ya Gethsemane Group Kinondoni (GGK) SDA ya  jijini Dar es Salaam imeipua wimbo wake mpya maalumu kwa...

READ MORE

Trace Awards na Azam Media Wasaini Makubaliano ya Kurusha Hewani Tuzo za Trace

Dar-es-Salaam, Kampuni ya  Trace Awards na Kampuni ya Azam Media Limited Group imezindua na kusaini mkataba wa makubaliano kwa ajili...

READ MORE

Vodacom Tanzania Yatajwa Mwajiri Bora Tanzania kwa Mwaka wa Nane Mfululizo

Kwa mwaka wa nane mfululizo, kampuni ya Vodacom Tanzania PLC imethibitishwa kuwa Mwajiri Bora na Taasisi ya Waajiri Bora (Top...

READ MORE

Vijana 1500 Kutoka Vyuoni Wajengewa Uwezo na Brela

Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA) imeshiriki kwenye Kongamano la kuwajengea uwezo vijana wa vyuo vikuu na katika...

READ MORE

Uhusiano Baina ya Tanzania-Czech Kung’ara

Uhusiano wa kiuchumi baina ya mataifa umeelezwa kuwa ndio uhusiano imara na bora zaidi ukilinganisha na nyanja nyingine za uhusiano...

READ MORE