×

Balozi Nchimbi Afanya Mazungumzo na Mabalozi wa Nchi Nne

              Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi akizungumza...

READ MORE

Lissu afafanua maana ya No Refom No Election – Video

Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Tundu Lissu amefafanua kuhusu kauli mbiu ya chama hicho inayosema No Reform...

READ MORE

Trump Aikandia Canada Kwa Kuitegemea Marekani

Rais Donald Trump wa Marekani ameendelea kutoa kauli za dharau kwa mataifa kadhaa mara hii akiishambulia tena Canada akisema haifai...

READ MORE

Makonda: Siku Ya Wanawake Arusha Maajabu Kutokea

Afisa Mnadhimu namba Moja Mkoa wa Arusha ACP Debora Lukololo ambaye pia ni mwenyekiti wa mtandao wa Polisi wanawake Mkoa...

READ MORE

BET Bulder Ndio Habari Ya Mjini Inatoa Mkwanja

Najua linaweza kua neno geni kwako lakini hii ndio habari ya mjini kwasasa Bet Builder ni rasmi ndani ya Meridianbet,...

READ MORE

FBI Yadai Kupata Ushahidi Mpya Mauaji Ya Rais John Kennedy

Shirika la Upelelezi la Marekani (FBI) limesema limepata ushahidi mpya kuhusu mauaji ya aliyekuwa Rais wa Marekani, John F. Kennedy,...

READ MORE

Abdul Kingo: Wimbo Wa Mond Uliniletea Matatizo Kwenye Ndoa – Video

Msanii wa filamu, Abdul Kingo ambaye pia ameonekana kwenye video ya wimbo Nitafanyaje wa Diamond, amefunguka na kueleza kuwa Diamond...

READ MORE

DRC Yaishtaki Rwanda Mahakama Ya Afrika

Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) imewasilisha kesi dhidi ya Rwanda katika Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu ICJ...

READ MORE

40 Lucky Sevens Sloti Ya Utajiri

Meridianbet unawekeza mtaji mdogo na baadae matunda yake unakuwa bilionea wa maisha yako kwa kucheza mchezo wa kasino ya mtandaoni...

READ MORE

Trump, Musk Wajitokeza Kutetea Uamuzi Wao

Rais Donald Trump amefanya tukio adimu la kujitokeza hadharani pamoja na mshauri wake mwenye ushawishi mkubwa, Elon Musk, katika Ofisi...

READ MORE

Marekani Kusitisha Misaada Balaa Jipya DR Congo

Hatua ya Rais Donald Trump ya kusitisha misaada yote iliyokuwa ikitolewa na Marekani imeongeza hali ya wasiwasi nchini Jamhuri ya...

READ MORE

Wasira Asisitiza Uchaguzi Mkuu Utafanyika Kama Ulivyopangwa na NEC (Picha +Video)

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Stephen Wasira, amesisitiza kuwa Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 utafanyika kama ulivyopangwa...

READ MORE

Nimemfuma Mke Wangu Kitandani Akivunja Amri ya Sita na Baba Yangu

Jina langu ni James, siku moja niliingia kwenye chumba changu cha kulala na nikamkuta mke wangu kitandani na baba yangu,...

READ MORE

Makonda Amvunja Mbavu Makamu wa Rais Mpango Kuhusu Aziz Ki na Hamisa – Video

February 11, 2025 Katika Mkutano wa juhudi za kuimarisha utoaji wa huduma za umma kwa njia za kidijitali, mkutano wa...

READ MORE

Makamu wa Rais Aitaka e-GA kukamilisha mchakato wa Mfumo wa Ubadilishanaji Taarifa Serikalini

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango ametoa rai kwa Mamlaka ya Serikali Mtandao (e-GA)...

READ MORE

Video: Moto Ulivyoteketeza Bar Buza, Steve Mweusi Akimbia Kushuhudia

Msanii wa Sanaa ya Uchekeshaji nchini, Steven Mweusi ameeleza namna ya hali aliyoikuta katika Bar ya Peda iliyoteketea kwa moto...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Februari 12, 2025

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza...

READ MORE

Naibu Waziri Mkuu Mgeni rasmi Kilimanjaro International Marathon 2025

NAIBU Waziri Mkuu na ambaye pia ni Waziri wa Nishati, Dr. Doto Biteko anatarajiwa kuwa Mgeni rasmi katika mbio za...

READ MORE

Bashungwa Apongeza Polisi Kupatikana Wanafunzi Waliotekwa Mwanza

“Wahalifu msijaribu uwezo wa Polisi, tutawafikia popote” Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa amelipongeza Jeshi la Polisi...

READ MORE

HAMAS Yasitisha Mchakato Wa Kuwaachia Mateka Wa Israel

Kikundi cha HAMAS kimetangaza kuwa, kinasitisha mchakato wa kuwaachia huru mateka wa Israel uliopangwa kutekelezwa Jumamosi ijayo hadi litakapotolewa tangazo...

READ MORE