×

takribani watu 40 wafariki shambulio la israel beirut

Watu takriban 40 wameuawa katika mashambulizi ya anga ya Israel mashariki mwa Lebanon siku ya Jumatano, kwa mujibu wa wizara...

READ MORE

Arteta: tulistahili kupewa penalti

Kocha wa klabu ya Arsenal, Mikel Arteta (42) amesikitishwa na kuonesha kutoridhishwa na maamuzi yaliyofanywa na waamuzi waliosimamia mchezo wao...

READ MORE

Kamala akubali kushindwa na kumpongeza Trump

Makamu wa Rais wa Marekani, Kamala Harris, Jumatano amekubali kushindwa katika uchaguzi wa urais, akimpigia simu Rais wa zamani Donald...

READ MORE

Makamu wa Rais Ashiriki mazishi ya Marehemu John Tutuba yaliyofanyika Kibondo, Kigoma

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango Novemba 6, 2024 ameshiriki mazishi ya marehemu John...

READ MORE

CPA Makalla; CCM Kutumia 4R Za Rais Samia Katika Uchaguzi Serikali za Mitaa

KATIBU wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Amos Makalla, amesema Chama Cha Mapinduzi (CCM) kitatumia 4R za Mwenyekiti wa CCM...

READ MORE

Rais Dkt. Samia Ampongeza Rais Mteule wa Marekani Donald Trump

Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amempongeza Rais Mteule wa Marekani Donald Trump kwa kuchaguliwa tena kuwa Rais wa...

READ MORE

TRC Yawahakikishia Wananchi Treni Ya Mchongoko Haina Hitilafu Yoyote

Shirika la Reli Tanzania (TRC) limetoa taarifa kwa umma kufuatia uvumi unaosambaa kuhusu kusitisha safari za treni ya umeme aina...

READ MORE

Kurasa za Magazeti ya leo Novemba 7, 2024

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza...

READ MORE

NBC Yakabidhi Zawadi ya Gari BMW X1 Kwa Mshindi kampeni ya ’Shinda mechi zako Kinamna Yako’

Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) imekabidhi zawadi ya gari aina BMW X1 kwa Bw Massana Gibril, mkazi wa jijini...

READ MORE

Ujumbe Kutoka Mfuko wa Kimataifa wa Maendeleo ya Kilimo (IFAD) Watembelea Kikundi cha Wafuga Samaki Moro

Ujumbe kutoka Mfuko wa Kimataifa wa Maendeleo ya Kilimo (IFAD) ukiwa umeambatana na watumishi wa Programu ya kuendeleza Kilimo na...

READ MORE

Tuzo za Rais kwa Wazalishaji Bora (PMAYA) 2024 SBL Yaibuka Kinara

Dar es Salaam, 8 Novemba 2024: Serengeti Breweries Limited (SBL) imeibuka kuwa mzalishaji bora wa pombe kali kwenye Tuzo za...

READ MORE

Kamanda wa polisi Mkoa wa Lindi Azungumzia Ajali ya Basi la King Yasini na Lori La Mizigo

Kamanda wa polisi Mkoa wa Lindi kamishna msaidizi wa jeshi la polisi (ACP )John Imori amethibitisha kutokea kwa ajali ya...

READ MORE

Nafasi Za Kazi saba (7) NIT NA TGFA, Mwisho wa kutuma maombi Novemba 7, 2024

Kwa niaba ya Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT) na Wakala wa Ndege za Serikali Tanzania (TGFA), Sekretarieti ya Ajira...

READ MORE

Furahia ODDS za Kibabe na Meridianbet Sasa

Leo ni leo asemaye kesho ni muongo, je unajua kwanini?. Ni kwasababu Meridianbet Tanzania wanakwambia umeshasuka jamvi lako sasa na...

READ MORE

Trump Ashinda Urais Marekani Kwa ‘Electoral Vote’ 277, Amzidi Kamala Harris

Mgombea urais kupitia chama Cha Republican, Donald Trump (78), ameshinda kiti Cha urais nchini Marekani na kuwa Rais wa 47...

READ MORE

Kocha mkuu wa Timu ya Taifa Atangaza majina ya wachezaji 26 kufuzu michuano ya AFCON 2025

Kocha mkuu wa Timu ya Taifa ya Tanzania, Hemed Suleiman ametangaza majina ya wachezaji 26 watakaoingia kambini kujiandaa na michezo...

READ MORE

Uchaguzi Marekani: Shangwe Laibuka – Trump Atangaza Ushindi Akiwahutubia Wafuasi, Ushindi Wa Ajabu – Video

Aliyekuwa Rais wa 45 wa Marekani, Donald Trump ametangaza kushinda tena Urais wa Taifa hilo kwa takriban 51.2% ya kura...

READ MORE

Nafasi Za Kazi Bodi Ya Nyama Tanzania (TMB), Mwisho wa Maombi Nov 10, 2024

Kwa niaba ya Bodi ya Nyama Tanzania (TMB) Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma (PSRS) inawaalika Watanzania mahiri, makini,...

READ MORE

Kasino Expanse Wamekuja Kukupa Mkwanja Tena

Shindano la michuano ya kasino linalofahamika kama Expanse tournament limerejea tena na awamu hii litadumu kwa siku 16, Ambapo limeanza...

READ MORE

Meridianbet Foundation Yajivunia Kutimiza miaka mitano

Mabingwa wa michezo ya kubashiri kampuni ya Meridianbet inafurahia kutimiza miaka mitano ya taasisi yake ya Meridianbet Foundation, Ambapo wamekua...

READ MORE