×

Wazalishaji mbegu feki wadakwa Magu, DC Nassari atoa ujumbe kwa wakulima

VIJANA wawili wamekamatwa na vyombo za ulinzi na usalama wilayani Magu mkoani Mwanza kwa tuhuma za kuzalisha na kusambaza mbegu...

READ MORE

Rais Samia Aongoza Kikao Baraza la Mawaziri Ikulu Ndogo ya Tunguu Zanzibar

Rais Dk Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika katika Ikulu ndogo ya Tunguu Zanzibar tarehe 25...

READ MORE

Simba, Azam Kushuka Dimbani Leo

Ligi Kuu ya Tanzania bara inatarajiwa kuendelea leo katika mikoa mbalimbali nchini ambapo vilabu vya Simba na Azam vinatarajiwa kushuka...

READ MORE

Eng. Hersi Ameshinda Tuzo ya mwanamichezo mwenye mchango Barani Afrika

RAIS wa Yanga na Mwenyekiti wa Shirikisho la Vilabu Afrika, Eng. Hersi Ally Said ameshinda Tuzo ya mwanamichezo mwenye mchango...

READ MORE

Mchengerwa: Mchakato Wa Kuanzisha Mamlaka Ya Usimamizi Wa Jiji La Dar Es Salaam Uanze

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mohamed Mchengerwa ameelekeza mchakato wa uanzishaji wa...

READ MORE

Vituo 525 Vitatumika Kupiga Kura Nachingwea – Msimamizi Uchaguzi Afunguka – Video

Msimamizi wa Uchanguzi wa serikali za mitaa, vijiji na vitongoji wilaya ya Nachingwea mhandisi Chionda Kawawa ametangaza rasmi jumla ya...

READ MORE

Daniel Chapo wa chama Cha Frelimo Ashinda Urais Msumbiji

Tume ya uchaguzi nchini msumbiji CNE, imemtangaza Daniel Chapo kutoka chama Cha Frelimo, kuwa Rais mteule wa taifa hilo baada...

READ MORE

kurasa za Magazeti ya leo Oktoba 25, 2024

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza...

READ MORE

Simba, Yanga Kuwania Tuzo Za CAF 2024

Miamba ya soka ya Tanzania Simba na Yanga, wametajwa kuwania kipengele cha Klabu bora ya mwaka katika tuzo za shirikisho...

READ MORE

Mikataba Ya Ujenzi Wa Km 168 Za Barabara Yasainiwa

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mohamed Mchengerwa leo Oktoba 24, 2024 ameshuhudia...

READ MORE

Barcelona Yafuta Uteja Wa Miaka 9 Kwa Bayern Munich

Mei 7 2015, ilikuwa mara ya mwisho Kwa Klabu ya Barcelona kuifunga Bayern Munich ‘The Bavarians’ mabao mawili ya Lionel...

READ MORE

Wafanyakazi Wa Boeing Wagomea Kulipwa Elfu 76 Kwa Saa

  Wafanyakazi wa kampuni ya kutengeneza ndege ya Boeing nchini Marekani, wameendelea na maandamano wakipinga ongezeko dogo la mshahara kwa...

READ MORE

Makamu wa Rais Dkt. Mpango Afungua Mkutano wa Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Magereza Dodoma

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango ameipongeza Wizara ya Mambo ya Ndani na Jeshi...

READ MORE

Maelfu Wafaidika na Mradi wa Panda Miti Kibiashara

Maelfu ya wananchi wamenufaika na Mradi wa Panda Miti Kibiashara Awamu ya Pili (PFP2) ambao umewezesha kukuza upandaji miti endelevu...

READ MORE

Tuzo Za CAF Kutolewa Desemba 16

Shirikisho la Mpira wa Miguu barani Afrika, CAF, linatarajia kufanya hafla za utoaji wa tuzo mbalimbali kwa vilabu na wachezaji...

READ MORE

Waziri Mkuu Akutana Balozi Wa Belarus Nchini

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Oktoba 24. 2024 amekutana na Balozi wa Belarus nchini Tanzania Pavel Vziatkin, katika Ofisi ndogo...

READ MORE

Bashiri Michuano Uefa Europa League Ushinde Mkwanja

  Leo ndio leo ambapo unaweza kujikuta umejaa mkwanja kwa kubashiri michuano ya Uefa Europa League ambayo itaendelea leo, Kwani...

READ MORE

RC Chalamila Aendelea na Ziara Usiku wa Manane Kinondoni

-Akagua mradi wa barabara ya BRT Bagamoyo na kutoa maagizo kwa wakandarasi. -Atembelea Shule ya Sekondari ya bweni Mabwe Tumaini...

READ MORE

Nyota wa Tarzan Ron Ely afariki dunia akiwa na umri wa miaka 86

Muigizaji wa Marekani Ron Ely, anayejulikana sana kwa kuigiza nafasi ya Tarzan katika kipindi cha televisheni cha miaka ya 1960...

READ MORE

Dkt. Biteko: Tanzania Kujifunza Teknolojia Ya Magari Ya Umeme Singapore

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko, amesema kuwa Tanzania inayo nafasi kubwa ya kujifunza Teknolojia ya...

READ MORE