×

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Septemba 21, 2024

  Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote...

READ MORE

Ni Balaa! Cheki Jamaa Alivyoondoka na Milioni 20 Kimasihara

Mshindi wa nne wa droo kubwa ya kampeni ya Vodacom Tanzania Plc ‘Ni Balaa, Kila Mtu ni Mshindi’ George Thobias...

READ MORE

Kampuni Inayoongoza kwa Ubunifu wa Kutengenezaji wa Mabegi Yenye Ubora Yatua Hapa nchini

 Ijumaa Septemba 20, 2024: Katika kuhakikisha Watanzania wanapata bidhaa bora, Kampuni ya Denri Afrika, inayoongoza kwa ubunifu katika utengenezaji wa...

READ MORE

Rais Dkt. Samia akutana na IGP pamoja na Makamishna wa Jeshi la Polisi Tanzania

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan leo Septemba 20 amefanya mazungumzo na Mkuu wa Jeshi...

READ MORE

Ushindi na Mamilioni Vinakusubiri, Cheza Beach Penalties

Unataka nini kingine, wengi hudhani michezo yote ya kasino ni migumu kucheza kumbe sio, Pale Meridianbet kuna huu mchezo unaitwa...

READ MORE

Jeshi la Polisi Mkoa wa Simiyu lakamata watu watano kwa tuhuma za kuwaua watu wawili

Jeshi la Polisi Mkoa wa Simiyu limewakamata watu watano kwa tuhuma za kujichukulia sheria mkononi kwa kuwakamata na kuwaua watu...

READ MORE

Waziri wa Nchi Dkt. Ashatu Kijaji: Nishati Safi Inamuondolea Adha Mtoto Wa Kike

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Dkt. Ashatu Kijaji amesema uwepo wa Nishati Safi ya...

READ MORE

Jeshi la Polisi Tanga Wazuia Mkutano wa Chadema Sababu za Kiusalama

Jeshi la Polisi Wilaya Tanga wamezuia mkutano hadhara uliotarajiwa kufanyika leo 20/09/2024 Tanga Mjini, mgeni rasmi akiwa Makamu Mwenyekiti Bara...

READ MORE

Meridianbet Inatoa Pesa Leo Bashiri Sasa

Wikendi ndio hiyo inaanza na wewe kama muwekezaji anza kuwekeza kuanzia leo ambapo mechi kibao kupigwa katika viwanja mablimbali. Ingia...

READ MORE

Alikiba feat Nandy – Bailando (Track No.5)

MSANII wa muziki wa kizazi kipya, Alikiba amezindua EP yake ‘Starter‘ ambayo ina nyimbo saba. Kwenye EP hiyo ameshirikisha Jay...

READ MORE

Rais Mwinyi Aipongeza Airpay Uzinduzi wa Mifumo ya Kidijitali ya ZEEA

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi ameipongeza Kampuni ya Airpay Tanzania kwa kudhamini...

READ MORE

Alikiba feat Jay Melody – Hatari (Track No.4)

MSANII wa muziki wa kizazi kipya, Alikiba amezindua EP yake ‘Starter‘ ambayo ina nyimbo saba. Kwenye EP hiyo ameshirikisha Jay...

READ MORE

Jinsi Mume Alivyomuokoa Mkewe Asifanyiwe Upasuaji

Kutana na kijana Efeso Mwenda kutoka Busia nchini Kenya, alipatwa na hali ya kuhuzunisha pale mke wake mjamzito alipopata matatizo...

READ MORE

Makamu wa Rais Awasili Arusha kuwa Mgeni Rasmi Kongamano la Nne la Uhuru

  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Isdor Mpango amewasili mkoani Arusha na kupokelewa na...

READ MORE

CCM Yaiomba KTI Kuendelea Kushirikiana na Serikali Kuwezesha Vijana na Wanawake

Katibu wa NEC Mambo ya Siasa na Uhusiano wa Kimataifa (MCC) Ndg. Rabia Abdallah Hamid, Septemba 19, 2024 Chini Uingereza...

READ MORE

Arsenal Yashindwa kutamba ugenini dhidi ya Mabingwa wa Europa League, Atalanta

TIMU ya Arsenal usiku wa kuamkia leo Septemba 20, 2024 wameshindwa kutamba ugenini dhidi ya Mabingwa wa Europa League, Atalanta...

READ MORE

Alikiba – Kheri (Track No.3)

MSANII wa muziki wa kizazi kipya, Alikiba amezindua EP yake ‘Starter‘ ambayo ina nyimbo saba. Kwenye EP hiyo ameshirikisha Jay...

READ MORE

RC Makonda Kukabidhi Majina Ya Watumishi Wala Rushwa Mkoa Wa Arusha

Mbele ya Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na serikali za Mitaa TAMISEMI, Mohamed Mchengerwa, Mkuu ww...

READ MORE

Putin atembelea kiwanda cha droni huko St. Petersburg

Rais wa Russia Vladimir Putin siku ya Alhamis alitembelea kiwanda cha kutengeneza ndege zisizo na rubani na vifaa vya umeme...

READ MORE

WAOGOPE WANAWAKE WA AINA HII !

KATIKA kuangalia tabia za wanawake, ni vyema ukawa chonjo kwani ukiingia chaka wanaweza kuyafanya maisha yako ya uhusiano kuwa balaa....

READ MORE