×

Kurasa za Magazeti ya leo Septemba 20, 2024

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza...

READ MORE

Alikiba – Nahodha (Track No.1)

MSANII wa muziki wa kizazi kipya, Alikiba amezindua EP yake ‘Starter‘ ambayo ina nyimbo saba. Kwenye EP hiyo ameshirikisha Jay...

READ MORE

Nafasi Za Kazi 24 Halmashauri Ya Mji Wa Mbulu

Mkurugenzi wa Mji amepata kibali kipya cha ajira kwa ikama ya mwaka 2023/2024 chenye Kumb. Na. FA. 97/288/01/09 cha tarehe...

READ MORE

Mchengerwa: Serikali Ya Rais Samia Imejenga Hospitali Zaidi Ya 129 Ndani Ya Miaka Mitatu

Waziri wa nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na serikali za Mitaa TAMISEMI, Mohamed Mchengerwa amesema katika kipindi cha...

READ MORE

Naibu Waziri Katimba Awaagiza Wakurugenzi Na Waganga Wakuu Kutekeleza Maagizo Ya Rais Samia

Naibu Waziri Ofisi ya Rais – TAMISEMI  Zainab Katimba amezitaka halmashauri nchini kufuata maelekezo ya Rais wa Jamhuri ya Muungano...

READ MORE

Naibu Waziri Kihenzile”Jengo Hili la Abiria la Uwanja wa Ndege Arusha Litarahisisha Utoaji wa Huduma Kwa Abiria”

Naibu Waziri wa Uchukuzi David kihenzile amesema kukamilika kwa jengo la abiria katika kiwanja cha ndege cha Arusha kutawezesha abiria...

READ MORE

Boniface Jacob Apandishwa Kisutu, Asomewa Mashtaka Mawili ya Kusambaza Taarifa za Uongo

Meya mstaafu wa manispa a kinondoni Bonifqce Jacob amefikishwa mahakamani leo na kusomewa mashtaka yake mbele ya Hakimu Mkazi Mfawidhi,...

READ MORE

Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania Ilivyoshinda Tuzo ya Ubora Katika Usalama

Johannesburg, Afrika Kusini, tarehe 19 Septemba 2024, Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania kupitia Kiwanja cha Kimataifa cha Julius Nyerere...

READ MORE

Tupo Mtaani Kwako ya ACB Bank Yazinduliwa

Kampeni mpya ya Tupo Mtaani iliyoletwa na Benki ya ACB imekuwa gumza. Hiyo ni baada ya Benki ya ACB kuzindua...

READ MORE

Waziri Mkuu Kumwakilisha Rais Samia kwenye Mkutano wa 79 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameondoka nchini leo (Alhamisi, Septemba 19, 2024) kwenda Marekani ambako atamwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan...

READ MORE

Bukua Mamilioni Kupitia Uefa Champions Legue Leo

Unaweza kupata fursa ya kupata ya kuianza wikiendi yako kwa namna kipekee kupitia michezo ya ligi ya mabingwa ulaya ambayo...

READ MORE

Rais Dkt. Samia Awaapisha Viongozi Wateule Ikulu Jijini Dar Es Salaam

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amewaapisha Ndugu Nenelwa Joyce Mwihambi kuwa Jaji wa...

READ MORE

NMB yajitosa kuidhamini Yanga dhidi ya CBE CAF CL

KUELEKEA pambano la marudiano raundi ya kwanza ya Ligi ya Mabingwa Afrika (CAF CL 2024/25), dhidi ya CBE ya Ethiopia,...

READ MORE

Hot Shots Kasino Inayotamba Meridianbet, Ligi Inahamia Huku

Hii ni kwa wapenzi wa michezo isiyo ya kasino kama vile kubashiri mubashara na kucheza bahati nasibu, ni mchezo wa...

READ MORE

Yanga Watua Zanzibar kwa ajili ya mchezo dhidi ya klabu ya CBE

Kikosi cha Yanga kimeshafika Visiwani Zanzibar kwa ajili ya mchezo wa marudiano dhidi ya klabu ya CBE katika mashindano ya...

READ MORE

Dawa Hii Ilinisaidia Kumtibu Mzee Wangu Aliyekuwa Anasumbuliwa na Kisukari

Kutokana na mtindo wa maisha kwa dunia ya sasa ulioletwa na mageuzi ya viwanda, watu wengi wamekuwa wakikumbwa na magonjwa...

READ MORE

CCM Yasisitiza Uhusiano wa Kimataifa Kuimarisha Uchumi na Maendeleo ya Watu

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi amesema kuwa Serikali na Nchi ya Tanzania, chini...

READ MORE

Waziri Jerry Silaa Ateua Watendaji wa Bodi ya Ithibati ya Wanahabari

Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Jerry William Silaa amewateua Watendaji wa Bodi ya Ithibati ya Wanahabari, kwa...

READ MORE

Tume Za Haki Za Binadamu Watoa Tamko Kukamatwa Kwa Boniface Jacob Wa Chadema – Video

Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimeshtushwa na kitendo cha kukamatwa kwa aliyekuwa Meya wa Manispaa ya Ubungo,...

READ MORE

Kurasa za Magazeti ya leo septemba 19, 2024

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza...

READ MORE