×

Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi ya Wananchi wa Tanzania Awavisha Nishani Mbalimbali Majenerali

Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi ya Wananchi wa Tanzania Jenerali Jacob John Mkunda kwa niaba ya Mhe Rais na Amiri...

READ MORE

Hospitali ya Kijitonyama Yaishukuru Meridianbet kwa Msaada

Wakali wa ubashiri Tanzania nzima, imeendelea kuonesha moyo wa kujali jamii kwa kutoa msaada wa mashuka kwa Hospitali ya Kijitonyama,...

READ MORE

Rais Dkt. Samia Afunga Mkutano Mkuu Wa Maafisa Waandamizi Wa Jeshi La Polisi Kwa Mwaka 2024 – Video

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan leo tarehe 17 Septemba, 2024 anafunga Mkutano Mkuu...

READ MORE

Mikataba Ya Sh. Bilioni 50.9 Yasainiwa Kuwezesha Nishati Safi Ya Kupikia

  Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amesema Serikali inafanya kila jitihada kuhakikisha kunakuwa na unafuu...

READ MORE

Mashujaa Yaibuka na Ushindi wa 1-0 dhidi ya Coastal Union

Crispin Ngushi amefunga bao lake la pili la msimu akiingia kambani mara moja wakati Mashujaa Fc ikiibuka na ushindi wa...

READ MORE

DCB Yajivunia Kutoa Mikopo ya Zaidi ya Shilingi Bilioni 740 Tangu Ilipoanzishwa

BENKI ya Biashara ya DCB imesema itaendelea kusimamia misingi ya kuanzishwa kwake ambayo ni kusaidia miradi endelevu ya kupunguza umasikini,...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Septemba 14, 2024

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza...

READ MORE

Naibu Spika Zungu Asema Wamefikia Makubaliano na Oryx Gas Ujenzi wa Tanki Kubwa la Gesi

MBUNGE wa Jimbo la Ilala na Naibu Spika wa Bunge amesema wamefikia makubaliano ya kisheria zaidi ya asilimia 90 na...

READ MORE

Chimbo Limerudi Tena! Cheza Expanse Upige Mamilioni

Baada ya kukaa takribani wiki 2, Lile shindano kubwa la Mamilioni limerudi tena mjini kwa kishindo, Michezo ya kasino ya...

READ MORE

Tanzania, Kamisheni ya Tabianchi ya Bonde la Congo, Mfuko wa Bluu wa Bonde la Congo Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi

Katika juhudi za kuboresha uhifadhi wa mazingira nchini, Wizara ya Maliasili na Utalii kupitia Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania...

READ MORE

 Jinsi ya Kukabiliana na Tatizo la Kuvurugika Mzunguko wa Hedhi

TATIZO la kuvurugika kwa mzunguko wa hedhi huwakumba wanawake wengi waliopo kwenye umri wa kuzaa au wale wanaokaribia kufikia ukomo...

READ MORE

MERIDIANBET KUKUPA MAMILIONI LEO

Mabingwa wa michezo ya kubashiri kampuni ya Meridianbet watahakikisha unashinda mamilioni kupitia michezo mitatu ambayo itapigwa katika ligi kuu ya...

READ MORE

CCM Watoa Tamko Waliomteka Na Kumuua Kikatili Mzee Ali Kibao, Walaani Vikali – Video

KATIBU Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi leo Septemba 13, 2024 amesema chama hicho hakikubaliani...

READ MORE

Polisi Wamjibu Mbowe, Wapiga ‘Stop’ Maandamano ‘Wasithubutu Kuandamana’- Video

MSEMAJI wa Jeshi la Polisi nchini DCP David Misime leo Septemba 13, 2024 amesema Jeshi hilo limepiga marufuku Maandamano ya...

READ MORE

Dkt. Yonazi Akutana na Kufanya Mazungumzo na Uongozi wa PSARP

Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Sera, Bunge na Uratibu Dkt. Jim Yonazi amekutana na kufanya mazungumzo...

READ MORE

Wajue Scotland Yard Wanaotakiwa Na Mbowe, Lissu Kuja Kuchunguza Mauaji Na Utekaji – Video

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe na Makamu wake, Tundu Lissu wametaka matukio ya utekaji na...

READ MORE

Kila Mwanaume Anayetoka na Mimi Ananiacha Bila Sababu

Jina langu ni Malinda, naishi jijini Mbeya, ni mama wa mtoto mmoja, niliweza kuelewa Machi mwaka jana nikiwa na umri...

READ MORE

Dkt. Biteko: Uwepo Wa SGR Unaashiria Utoshelevu Wa Umeme Nchini

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dkt. Doto Biteko amesema safari za treni za reli ya kisasa (SGR) zinazotumia...

READ MORE

NeEST: Mkoa Wa Arusha Kusimamia Matumizi Ya Mfumo Wa Ununuzi Kidigitali

Katika kuunga mkono juhudi za Serikali ya awamu ya sita chini ya Jemadari Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, mkoa wa...

READ MORE