×

Kenya yawasilisha rasmi hati za Raila za kugombea Uenyekiti wa Tume ya Umoja wa Afrika

Serikali ya Kenya imewasilisha rasmi nyaraka za kumuunga mkono mgombea wake, Raila Odinga, katika azma yake ya kuwa mwenyekiti wa...

READ MORE

Kurasa za Magazeti ya leo Julai 30, 2024

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza...

READ MORE

Rais Apandisha cheo Kamishna kuwa Mkuu wa Jeshi la Magereza

Rais Samia Suluhu Hassan amempandisha cheo Kamishna wa Magereza, CP Jeremiah Katungu kuwa Kamishna Jenerali wa Magereza (CGP) na kumteua...

READ MORE

Dkt. Nchimbi Aelekeza Mawaziri wa Viwanda na Kilimo, Kutafutia Ufumbuzi Soko la Korosho

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amepokelewa Mkoa wa Lindi kwa vifijo na nderemo...

READ MORE

Jeshi la Ulinzi la Wananchi Tanzania (JWTZ) Na Jeshi la Ukombozi la Watu wa China Wazindua Mazoezi ya Pamoja

29 Julai 2024: Jeshi la Ulinzi la Wananchi la Tanzania (JWTZ) kwa kushirikiana na Jeshi la Ukombozi la Watu wa...

READ MORE

Rais wa zamani wa Afrika Kusini Jacob Zuma afukuzwa kutoka ANC

Kamati ya nidhamu ya chama tawala nchini Afrika Kusini cha ANC iliamua kumfukuza rais wa zamani Jacob Zuma kwa kuongoza...

READ MORE

MTANZANIA THOMAS MLUGU ATINGA 16 BORA LEO

Thomas Andrew Mlugu amezidi kushika vichwa vya habari huko jijini Paris hii leo baada ya kuibuka kidedea kwenye mchezo wa...

READ MORE

Nafasi za Kazi 11,015 za Ualimu, Mwisho wa kutuma maombi Agosti 2, 2024

Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Sekretarieti za Mikoa na Mamlaka za Serikali za...

READ MORE

Vibe la Milioni 2,500,000/= za Expanse Kasino

Sehemu pekee unayoweza kupata bonasi ya ukaribisho hadi 300% ni Meridianbet pekee, jisajili upate bonasi hiyo kucheza michezo ya Expanse...

READ MORE

Yanga Kucheza dhidi ya Red Arrows kwenye Kilele cha Wiki ya Mwananchi – Video

Klabu ya Yanga kupitia kwa Msemaji wake, Haji Manara imetangaza kuwa watacheza dhidi ya Mabingwa wa Michuano ya KAGAME Cup,...

READ MORE

Dkt. Nchimbi Awapongeza Mtwara Vijijini Utekelezaji Ilani ya CCM

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi akiambatana na Wajumbe wa Sekretarieti ya Halmashauri Kuu ya...

READ MORE

URUS Tanzania Kupeleka Teknolojia ya Uhimilishaji Mifugo Yenye Tija Kutoka Marekani na Brazil Maonesho ya Nanenane

Ikiwa ni sehemu ya kusaidia jitihada za kukuza sekta ya mifugo hapa nchini, Kampuni ya URUS itashiriki maonesho ya Nane...

READ MORE

Gold Edition Party ya Johnnie Walker Gold Label Yawasha Moto Tips Coco Beach

Jumamosi iliyopita, tulikuwa kwenye machimbo ya pale Tips Coco Beach katika tukio la Squishy Life. Burudani ilikuwa ya kibabe ikisindikizwa...

READ MORE

Dkt. Nchimbi Aagiza Pembejeo za Kilimo Zipelekwe Mtwara Kwa Wakati

Katibu Mkuu wa Chama hicho,Balozi Dkt,Emmanuel Nchimbi ametoa maagizo mbalimbali kwa serikali ikiwemo kuhakikisha pembejeo za kilimo zinapatikana kwa bei...

READ MORE

Kurasa za Magazeti ya leo Julai 29, 2024

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza...

READ MORE

Tanzania Kushirikiana na Chuo Cha Mafunzo ya Mapishi Cha Hispania Kukuza Utalii

Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imekubaliana kushirikiana na Chuo cha Mafunzo ya Mapishi cha Basque (Basque Culinary Center)...

READ MORE

Vodacom Yashirikianana NBC Dodoma Marathon 2024 Kuangazia Afya ya Uzazi, Yazawadia Washindi

Kama mdhamini mkuu wa mbio za Kilomita 21 katika NBC Dodoma Marathon 2024, kampuni ya mawasiliano na teknolojia Vodacom Tanzania...

READ MORE

Rabia: Rais Samia Amefungua Nchi, Sauti Moja Bei ya Korosho

Katibu wa NEC, Idara ya Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Ndg. Rabia Abdalla Hamid, amesema safari za kikazi nje ya...

READ MORE

Kasino Rahisi Kushinda Kila Ukicheza

Kutana na mchezo wa kasino wenye sifa ya kutoa washindi kila sekunde, yaani ni rahisi kushinda kuliko kumeza mate, mchongo...

READ MORE

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya Atangaza Nafasi za Kazi

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya amepokea kibali cha Ajira Mpya kwa Ikama ya mwaka 2023/2024 kutoka kwa...

READ MORE