×

Meridianbet Yaongeza Mzuka na Expanse Tournament

Shindano la Expanse linazidi kutoa matajiri kibao kila siku, Meridianbet wameongeza mzuka kwa wapenzi wa kasino ya mtandaoni ambapo mgao...

READ MORE

Waziri Mkuu, Nape Wakoshwa na Banda la Global TV katika kongamano la Wanahabari wa Mitandao (JUMIKITA) – Video

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Mei 21, 2024 ni mgeni rasmi katika kongamano la Jumuiya ya Wanahabari wa Mitandao ya Kijamii Tanzania (JUMIKITA).

READ MORE

Mtu mmoja afariki baada ya ndege ya Singapore Airlines kukumbwa na msukosuko

Abiria mmoja amefariki na wengine zaidi ya 30 kujeruhiwa kwenye ndege ya shirika la ndege la Singapore kutoka London kuelekea...

READ MORE

Iran yatangaza siku tano za maombolezo ya kifo cha rais wake

Kiongozi Mkuu wa Iran Ayatollah Ali Khamenei ametangaza siku tano za maombolezo kufuatia kifo cha Rais wa nchi hiyo, Ebrahim...

READ MORE

Mahakama ya juu ya Afrika Kusini yaamua Zuma hawezi kuwania ubunge

Mahakama ya juu ya Afrika Kusini imesema rais wa zamani Jacob Zuma anayekabiliwa na kashfa ya ufisadi hastahili kuwania ubunge...

READ MORE

Kanisa La Ubungo TAG Yaiboresha Ofisi Ya Serikali Za Mitaa National Housing

Kakika Kuadhimisha miaka 85 ya Kanisa la Tanzania Assemblies of God ni Kanisa lililotokana na uamsho mkubwa ulioanza huko mtaa...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Mei 21, 2024

Gazeti lako bora la Championi linalotoka mtaani mara mbili kwa wiki, Jumatatu na Ijumaa, sasa limekuja kivingine. Tunatoa zawadi kwako...

READ MORE

Tatizo la Fangasi Kwa Mjamzito, Nini Kinasababisha Kuugua? Soma Hapa

Wakati wa ujauzito wanawake wengi hupata hofu juu ya kushika maambukizi yoyote kwani yanaweza kuathiri ukuaji wa mtoto tumboni.  ...

READ MORE

Benki ya NMB Yapata Idhini Kuwa Wakala wa Madalali wa Soko la Hisa Dar es Salaam

Benki ya NMB imepata idhini kutoka Benki Kuu ya Tanzania (BoT) na Mamlaka ya Soko la Mitaji na Dhamana (CSMA)...

READ MORE

Aweso ashiriki kupitisha Azimio la Mawaziri la Kongamano la 10 la Maji Duniani

  Tanzania imeungana na nchi nyingine duniani katika Kongamano la 10 la Maji Duniani (10th World Water Forum) ambalo limepitisha...

READ MORE

EQUITY Bank Yazindua Dirisha La Wanawake Liitwalo Mwanamke Plus

BENKI ya Equity imezindua Dirisha la Wanawake – Mwanamke Plus ambalo ni mpango maalum unaolenga kuwainua wanawake katika sekta ya...

READ MORE

Balozi Nchimbi Ataka Maofisa Utumishi Kuacha Uonevu

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk Emmanuel John Nchimbi amewataka watumishi wanaosimamia utawala na rasilimali watu sehemu...

READ MORE

Milion 2.5 Kushindaniwa Meridianbet Kasino Mtandaoni

Expanse Tournament kasino moja ya promosheni ya Meridianbet inayoendelea kufanya vizuri mjini, inatoa zawadi kibao kama bonasi za kasino, mizunguko...

READ MORE

Rais wa Iran Ebrahim Raisi Afariki Dunia Katika Ajali ya Helikopta

Rais wa Iran Ebrahim Raisi, Waziri wa Mambo ya Nje Hossein Amir-Abdollahian na wengine kadhaa wamethibitishwa kufariki dunia katika ajali...

READ MORE

Mapya Yaibuka! Mtuhumiwa Ukatili Wa Watoto Wawili – “Alishawahi Kufanya Tukio Kama Hili Iringa” – Video

Siku kadhaa baada ya mazishi ya mwanamke aliyefariki dunia kutokana na mshtuko alioupata baada ya kugundua kuwa wanaye wawili wamefanyiwa...

READ MORE

Mtu mmoja afariki dunia katika ajali ya msafara wa rais Ghana

Mtu mmoja amethibitishwa kufariki huku wengine wakipata majeraha tofauti tofauti kufuatia ajali iliyohusisha magari kadhaa ya msafara wa Rais Nana...

READ MORE

Video: Mtanzania Aliyeolewa Omani Asimulia Ilivyobaki Kidogo Apite Na Mume Wa Mtu

Mwanadada Zanin Kikumbi amefanya mahojiano na Global Tv na kusimulia maisha yake pindi alipokuwa Oman, moja Kati ya mambo aliyofanya...

READ MORE

CCM Yamteua Suzan Kunambi, Kuwa Katibu Mkuu Wa Jumuiya Ya Wanawake (UWT)

Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) imempitisha Khamis Yussuf Mussa (Pele) kupeperusha bendera ya chama hicho katika uchaguzi mdogo...

READ MORE

Tanzania Yang’ara Ajenda Ya Maji Kwa Ustawi Wa Wote, Aweso Atoa Kauli

  Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso (Mb), amemuwakilisha Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...

READ MORE

Tazama hapa kurasa za magazeti ya leo mei 20, 2024

MSIMU MPYA MAMBO MAPYA!   Gazeti lako bora la Championi linalotoka mtaani mara mbili kwa wiki, Jumatatu na Ijumaa, sasa...

READ MORE