×

Rais Samia Atuma Rambirambi Kifo cha Mfalme wa Norway

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ametuma salamu za rambirambi kwa wananchi na Serikali ya Norway...

READ MORE

Aunty Ezekiel Afichua Siri za Mastaa “Zamani Tulitoka Na Wanaume Wakubwa” – Video

Msanii wa Bongo Movie, Aunty Ezekiel, amefunguka kuhusu maisha ya mahusiano ya mastaa wenzake, akieleza namna baadhi yao walivyokuwa wakitoka...

READ MORE

UEFA Yaandaa Kesi ya Jinai Dhidi ya Infantino, Mashabiki Wamlipua

Shirikisho la Soka Ulaya (UEFA) linajiandaa kuanzisha mchakato wa kisheria nchini Uswisi dhidi ya Rais wa FIFA, Gianni Infantino, kwa...

READ MORE

Jamhuri Yakamilisha Kumuhoji Lissu Katika Kesi ya Uhaini Leo – Video

Upande wa mashtaka, Jamhuri, umekamilisha zoezi la maswali ya dodoso (cross-examination) kwa shahidi wa kwanza ambaye pia ni mshtakiwa katika...

READ MORE

Mafuriko Yaua Watu 100 Nepal, Zaidi ya 1500 Hawajulikani Walipo

  Idadi ya watu waliopoteza maisha kutokana na mafuriko makubwa yaliotokea nchini Nepal imefikia 165, huku wengine 1,300 bado hawajulikani...

READ MORE

Msukuma Asimulia Ndejembi Alivyopokea Taarifa za Uteuzi wa Makamu wa Rais – Video

Mbunge wa Geita Vijijini, Joseph Kasheku ‘Msukuma’, amesimulia namna Deogratius Ndejembi alivyopokea taarifa za kuteuliwa kuwa Makamu wa Rais wa...

READ MORE

Hatua ya Mwisho kwa Ndejembi Bungeni, Waziri Ammwagia Sifa (Picha +Video)

Makamu wa Rais Mteule na Waziri wa Nishati, Deogratius John Ndejembi, leo Agosti 28, 2026, amehudhuria Kikao cha Tatu cha...

READ MORE

OUT na Mzumbe Watangaza Nafasi 6 za Kazi, Mwisho wa Maombi Agosti 31

Kwa niaba ya Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT) na Chuo Kikuu cha Mzumbe (MU), Katibu wa Sekretarieti ya Ajira...

READ MORE

Bunge la Tanzania leo: Deogratius Ndejembi Kuthibitishwa Kuwa Makamu wa Rais – Video

 Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo, Ijumaa, Agosti 28, 2026, linatarajiwa kupokea na kuthibitisha uteuzi wa Deogratius...

READ MORE

Inashangaza! Simba Yashinda, Lakini Mashabiki Watoa Lawama Kwa Doumbia – Video

Baadhi ya mashabiki wa Simba wameonekana kutoridhishwa na kiwango cha mshambuliaji wa klabu hiyo, Ibrahim Doumbia, licha ya timu hiyo...

READ MORE

Maganya: Jumuiya ya Wazazi Yaunga Mkono Nchimbi Kuvuliwa Uanachama – Video

Mwenyekiti wa Taifa wa Jumuiya ya Wazazi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Fadhili Maganya, amesema jumuiya hiyo inaunga mkono uamuzi...

READ MORE

Droo Ya UEFA Yatoa Mapambano Makali, Barca, Man United Na Atletico Zapata Wapinzani Wazito

MONACO – Droo ya hatua ya  Ligi ya mabingwa (league phase ya UEFA Champions League) msimu wa 2026/27 imefanyika usiku...

READ MORE

Watu Wawili Wafariki Baada ya Kujinyonga Dagailoi, Babati – Video

Watu wawili, wakazi wa Kijiji cha Dagailoi, Kata ya Sigino, Wilaya ya Babati, mkoani Manyara, wamefariki dunia katika matukio mawili...

READ MORE

Barcelona Yamsajili Livaković kwa Mkataba wa Miaka Minne

Klabu ya Barcelona imekamilisha usajili wa kipa wa kimataifa wa Croatia, Dominik Livaković, kutoka Fenerbahçe kwa mkataba wa miaka minne...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Agosti 28, 2026

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa...

READ MORE

Mambo 12 Usiyoyajua Kuhusu Ndejembi Hadi Kuteuliwa Kugombea Umakamu wa Rais – Video

Deogratius John Ndejembi ni mwanasiasa wa Tanzania kutoka Chama Cha Mapinduzi (CCM), ambaye kwa sasa anahudumu kama Waziri wa Nishati....

READ MORE

Waziri wa Mambo ya Nje wa Qatar Akutana na Araqchi Tehran

  Waziri wa Mambo ya Nje wa Qatar, Mohammed bin Abdulrahman Al Thani, amekutana na Waziri wa Mambo ya Nje...

READ MORE

Rais Samia Ateua na Kuhamisha Wakuu Wa Mikoa, Makatibu Tawala

Dar es Salaam, Agosti 27, 2026 — Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amefanya uteuzi...

READ MORE

Mavunde Ampongeza Ndejembi “Ni Kiongozi Kijana, Mwadilifu na Mzalendo” – Video

Waziri wa Madini, Anthony Mavunde, amempongeza Waziri wa Nishati, Deogratius Ndejembi, kufuatia kuteuliwa kwake kushika nafasi ya Makamu wa Rais...

READ MORE

Dili la Sh Bilioni 418! Liverpool Yafikia Makubaliano na PSG kwa Barcola

Liverpool imefikia makubaliano ya awali yenye thamani ya takribani Shilingi bilioni 418 (£120 milioni) na Paris Saint-Germain (PSG) kwa ajili...

READ MORE