×

Alichokisema Kadogosa Uzinduzi wa Safari ya Kwanza ya SGR- Dodoma

Safari ya Kwanza ya majaribio ya Treni ya SGR kutoka Dar-es-Salaam mpaka Dodoma Katika kuelekea maadhimisho ya miaka 60, ya...

READ MORE

Msako kwa Wanaojihusisha na Dawa za Kulevya Unaendelea.

Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) imefanya operesheni na kufanikiwa kukamata jumla ya kilo 767.2 za...

READ MORE

GGML Yasisitiza Kuendelea Kuimarisha Afya za Wafanyakazi

KAMPUNI ya Geita Gold Mining Limited kwa kushirikiana na kampuni mbalimbali imeahidi kuendelea kusimamia mipango ya kuimarisha na kusimamia afya...

READ MORE

Malkia Karen Amwaga Machozi Kanisani Ibada Ya Kusalia Mwili Wa Baba’ke KKKT Usharika wa Mbezi – Video

WANANCHI wamejitokeza katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Usharika wa Mbezi Beach Jumanne Aprili 22, 2024 kwenye ibada...

READ MORE

Vodabima Imekurahisishia, Sasa Unaweza Kupata Bima ya Afya Kupitia Simu Yako

 Vodabima imekurahisishia, Sasa unaweza kupata bima yako ya afya kupitia simu yako ya mkononi Kujiunga na huduma hii tembelea...

READ MORE

RS Berkane Yagoma Kucheza Baada Ya Algeria Kuzuia Jezi Zao Zenye Bendera Ya Morocco

Mchezo wa Nusu Fainali ya Kombe la Shirikisho (CAF Confederation Cup) kati ya USM Alger ya Algeria na RS Berkane...

READ MORE

CCM Yamuita Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda kwenye Kamati ya Maadili

Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimemuita Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda kwenye Kamati ya Maadili na anatarajiwa kuitikia wito...

READ MORE

Waziri Makamba, Ataja Maeneo ya Kuboresha, Wizara ya Mambo ya Nje

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe January Makamba ametumia takribani saa moja kuelezea maeneo ambayo...

READ MORE

Kurasa za magazeti ya leo Aprili 22, 2024

MSIMU MPYA MAMBO MAPYA!   Gazeti lako bora la Championi linalotoka mtaani mara mbili kwa wiki, Jumatatu na Ijumaa, sasa...

READ MORE

Waziri Mkuu Aagiza Taarifa Maalum Ya Udhibiti Wa Uvuvi Haramu

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameagiza taarifa maalum ya udhibiti wa vitendo vya uvuvi haramu iwasilishwe kabla ya Wizara ya Mifugo...

READ MORE

Mwili wa marehemu Gardner G Habash Wawasili Nyumbani Kwake Kijitonyama – (Video+Picha)

Mwili wa marehemu Captain Gardner G Habash leo Aprili 21, 2024 umewasili nyumbani kwake Kijitonyama ambapo utafanyiwa ibada maalum ya...

READ MORE

Waziri Mkuu Majaliwa Azindua Safari ya Kwanza ya Treni Kutoka Dar- Dodoma

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewaaga viongozi wa dini 104 ambao wanaelekea Dodoma kwa treni ya mwendokasi (SGR) kwenda kushiriki ibada...

READ MORE

Ofisi ya Wakili Mkuu Yaokoa Zaidi ya Shilingi Trilioni 3.4

Serikali kupitia Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali imefanikiwa kuokoa zaidi ya shilingi trilioni 3.4 baada ya kufanikiwa kushinda mashauri...

READ MORE

Waziri Mkuu: Rais Samia Kulihutubia Taifa Aprili 25, 2024

Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kulihutubia Taifa Aprili 25, 2024, ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 60 ya Muungano....

READ MORE

Suka Mkeka Wako Na Meridianbet Leo

Meridianbet wamjipanga kukutajirisha siku ya leo ambayo imekaa poa sana kwani ligi mbalimbali zinaendelea Duniani. Kuna ODDS KUBWA kuanzia ligi...

READ MORE

Simba na Azam Kushiriki Kombe la Muungano baada ya Miaka 20

Kwa mara ya kwanza baada ya miaka 20 Kombe la Muungano linarejea tena wakati ambao Taifa linasherehekea maadhimisho ya miaka...

READ MORE

Ratiba ya mazishi ya Mtangazaji Gardner G. Habash

Ratiba ya mazishi ya Mtangazaji wa kipindi cha Jahazi kinachorushwa na kituo cha redio cha Clouds FM, Gardner G. Habash...

READ MORE

Arsenal Yarejea kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu England

Arsenal imerejea kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu England kufuatia ushindi wa 2-0 dhidi ya Wolverhampton katika dimba la Molineux....

READ MORE

Mwigizaji Bi Ubwa Wa Zahanati Ya Kijiji Afariki Dunia

Mwigizaji mkongwe nchini Tanzania aliyepata umaarufu zaidi kupitia Tamthiliya Zahanati ya Kijiji, Bi Ubwa amefariki dunia. Kwa mujibu wa mtayarishaji...

READ MORE

RC Makonda Alivyowasili AICC kwa ajili ya kuongoza kikao kazi cha watumishi wa Mkoa

Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Paul Christian Makonda akiwasili kwenye Kituo cha Mikutano ya Kimataifa Arusha, kwa ajili ya...

READ MORE