×

CCM Yamuita Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda kwenye Kamati ya Maadili

Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimemuita Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda kwenye Kamati ya Maadili na anatarajiwa kuitikia wito...

READ MORE

Waziri Makamba, Ataja Maeneo ya Kuboresha, Wizara ya Mambo ya Nje

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe January Makamba ametumia takribani saa moja kuelezea maeneo ambayo...

READ MORE

Kurasa za magazeti ya leo Aprili 22, 2024

MSIMU MPYA MAMBO MAPYA!   Gazeti lako bora la Championi linalotoka mtaani mara mbili kwa wiki, Jumatatu na Ijumaa, sasa...

READ MORE

Waziri Mkuu Aagiza Taarifa Maalum Ya Udhibiti Wa Uvuvi Haramu

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameagiza taarifa maalum ya udhibiti wa vitendo vya uvuvi haramu iwasilishwe kabla ya Wizara ya Mifugo...

READ MORE

Mwili wa marehemu Gardner G Habash Wawasili Nyumbani Kwake Kijitonyama – (Video+Picha)

Mwili wa marehemu Captain Gardner G Habash leo Aprili 21, 2024 umewasili nyumbani kwake Kijitonyama ambapo utafanyiwa ibada maalum ya...

READ MORE

Waziri Mkuu Majaliwa Azindua Safari ya Kwanza ya Treni Kutoka Dar- Dodoma

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewaaga viongozi wa dini 104 ambao wanaelekea Dodoma kwa treni ya mwendokasi (SGR) kwenda kushiriki ibada...

READ MORE

Ofisi ya Wakili Mkuu Yaokoa Zaidi ya Shilingi Trilioni 3.4

Serikali kupitia Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali imefanikiwa kuokoa zaidi ya shilingi trilioni 3.4 baada ya kufanikiwa kushinda mashauri...

READ MORE

Waziri Mkuu: Rais Samia Kulihutubia Taifa Aprili 25, 2024

Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kulihutubia Taifa Aprili 25, 2024, ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 60 ya Muungano....

READ MORE

Suka Mkeka Wako Na Meridianbet Leo

Meridianbet wamjipanga kukutajirisha siku ya leo ambayo imekaa poa sana kwani ligi mbalimbali zinaendelea Duniani. Kuna ODDS KUBWA kuanzia ligi...

READ MORE

Simba na Azam Kushiriki Kombe la Muungano baada ya Miaka 20

Kwa mara ya kwanza baada ya miaka 20 Kombe la Muungano linarejea tena wakati ambao Taifa linasherehekea maadhimisho ya miaka...

READ MORE

Ratiba ya mazishi ya Mtangazaji Gardner G. Habash

Ratiba ya mazishi ya Mtangazaji wa kipindi cha Jahazi kinachorushwa na kituo cha redio cha Clouds FM, Gardner G. Habash...

READ MORE

Arsenal Yarejea kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu England

Arsenal imerejea kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu England kufuatia ushindi wa 2-0 dhidi ya Wolverhampton katika dimba la Molineux....

READ MORE

Mwigizaji Bi Ubwa Wa Zahanati Ya Kijiji Afariki Dunia

Mwigizaji mkongwe nchini Tanzania aliyepata umaarufu zaidi kupitia Tamthiliya Zahanati ya Kijiji, Bi Ubwa amefariki dunia. Kwa mujibu wa mtayarishaji...

READ MORE

RC Makonda Alivyowasili AICC kwa ajili ya kuongoza kikao kazi cha watumishi wa Mkoa

Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Paul Christian Makonda akiwasili kwenye Kituo cha Mikutano ya Kimataifa Arusha, kwa ajili ya...

READ MORE

Mawakala Zaidi 200,000 Wakumbushwa Wajibu Wao

KAMPUNI ya simu ya Tigo Tanzania imeendelea kuboresha huduma zake  kwa kukaa pamoja na mawakala na kuwakumbusha jinsi ya kuhakikisha...

READ MORE

Aliyejichoma moto New York nje ya mahakama ya kesi ya Trump afariki

Mwanamme mmoja aliyejichoma moto nje ya mahakama ambako kesi ya rais wa zamani wa Marekani, Donald Trump, inafanyika amefariki dunia...

READ MORE

Waziri Katambi Ateta Na Kamati Ya Maandalizi Kuelekea Sherehe Za Mei Mosi Kitaifa 2024

NAIBU Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana na wenye Ulemavu, Patrobas Katambi (Mb) amekutana na kufanya kikao na...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Aprili 21, 2024

Gazeti lako bora la Championi linalotoka mtaani mara mbili kwa wiki, Jumatatu na Ijumaa, sasa limekuja kivingine. Tunatoa zawadi kwako...

READ MORE

Waziri Mkuu Azindua Studio Za Kidijiti Za Redio barabara ya Nyerere Dar

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amezindua studio za kidijiti za redio ikiwa ni sehemu ya mradi wa maboresho ya studio za...

READ MORE

RC Makonda Awaalika Wanaarusha Kushiriki Sherehe Za Mei Mosi 2024 Kwenye Uwanja Wa Sheikh Amri Abeid

Mkuu wa Mkoa wa Arusha amewaalika wananchi wa Mkoa wa Arusha na mikoa ya jirani kuungana na Wafanyakaizi wote nchini...

READ MORE