×

Michezo ya Expanse Kasino Meridianbet Inakupa Bonasi Kibao

Promosheni kubwa na maalum kwaajili ya kugawa pesa kwa wapenzi wa michezo ya kasino ya mtandaoni ipo hewani sasa, unaweza...

READ MORE

Mahakama ya Rufaa Yatupilia Mbali notisi ya Rufaa Kuendelea Kushikilia Mafuta ya Burundi

KAMPUNI mbili za kigeni, Numora Trading PTE Limited kutoka Singapore na Lamar Commodity Trading ya Dubai zimekwama mahakamani kuendelea kushikilia...

READ MORE

Tanesco Yatoa Neno Kukatika Kwa Umeme

Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawataarifu wateja wake kuwa kumetokea hitilafu kwenye mfumo wa njia ya kusafirisha Umeme ya Gridi...

READ MORE

Dullah Mbabe Apokea kichapo cha KO katika raundi ya nne mbele ya Mwingereza Callum Simpson

Bondia Mtanzania Dullah Mbabe usiku wa kuamkia leo Aprili 1, 2024 amepokea kichapo cha KO katika raundi ya nne mbele...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Aprili 1, 2024

Gazeti lako bora la Championi linalotoka mtaani mara mbili kwa wiki, Jumatatu na Ijumaa, sasa limekuja kivingine. Tunatoa zawadi kwako...

READ MORE

Shahidi Kesi ya Kujeruhi Aeleza Mumewe Alichomwambia Kabla ya Kupolekwa Hospitalini

SHAHIDI wa nne katika kesi ya kujeruhi inayomkabili, Ibrahim Masahi, Careen Wiliam ameieleza mahakama kuwa mume wake Deogratus Minja wakati...

READ MORE

Balozi Dkt. Nchimbi Ashiriki Mazishi ya Askofu wa Kanisa la NGLCC Mkoani Mara

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk. Emmanuel John Nchimbi akisalimiana na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM,...

READ MORE

RC Mtanda Ahamishiwa Mwanza, Kanali Mtambi Ateuliwa RC wa Mara

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt. Samia Suluhu Hassan amemuhamisha Said Mohamed Mtanda kutoka Mkoa wa Mara kwenda kuwa...

READ MORE

Rais Samia Atengua uteuzi wa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Joyce Ndalichako

Rais Samia Suluhu Hassan ametengua uteuzi wa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu),...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Machi 31, 2024

Gazeti lako bora la Championi linalotoka mtaani mara mbili kwa wiki, Jumatatu na Ijumaa, sasa limekuja kivingine. Tunatoa zawadi kwako...

READ MORE

Rais Samia Amteua Makonda kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha

Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amemteua Paul Christian Makonda kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha. Kabla ya uteuzi...

READ MORE

Meridianbet Yagawa Reflectors Kwa Bodaboda Magomeni Dar

Kauli pekee ambayo unaweza ukaitumia na ikaleta maana ni kua kampuni bingwa ya michezo ya kubashiri kampuni ya Meridianbet imewatoa...

READ MORE

Msama Atekeleza Maagizo Ya Waziri Wa Ardhi

Dar es Salaam 30 Machi 2024: Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotions, Alex Msama ametekeleza agizo la Waziri wa Ardhi,...

READ MORE

Madereva Bodaboda 300 Jiji La Tanga Wapatiwa Mafunzo Ya Usalama Barabarani

MADEREVA bodaboda wapatao 300 waliopo katika Jiji la Tanga wamepatiwa mafunzo ya usalama barabarani yenye lengo la kusaidia kumaliza changamoto...

READ MORE

Xabi Alonso Athibitisha Kubaki Bayer Leverkusen

KOCHA wa Bayer Leverkusen, Xabi Alonso amethibitisha kuwa atabaki klabuni hapo licha ya fununu zinazoendelea kumhusisha na kuondoka huku vilabu...

READ MORE

Video: Mashabiki Simba ‘Wamwaga Machozi’, Walaumu Kosa Kosa Za Onana Na Saido

Mambo si mazuri kwa kwa mashabiki wa Simba, baada ya timu yao kukubali kichapo cha goli 1-0 kutoka kwa AlAhly...

READ MORE

Mtoto wa Yoweri Museveni Aahidi Kuimarisha Jeshi la Uganda

Mtoto wa kiume wa Rais wa Uganda Yoweri Museveni ameahidi kupambana na ufisadi ndani ya jeshi baada ya kuchukua usukani...

READ MORE

Mfanyabiashara Aokolewa Akitaka Kujichoma Moto Ndani Ya Ghorofa Lake Na Mwanaye Arusha – Video

Mfanyabiashara aokolewa akitaka kujichoma moto ndani ya Ghorofa lake na Mwanaye jijini Arusha. ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️...

READ MORE

Dola milioni 26 Zachangishwa kwa ajili ya kampeni za Biden mjini New York

Barack Obama, Bill Clinton pamoja na watu wenye majina makubwa kwenye tasnia ya burudani waliungana pamoja huko New York Alhamisi...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Machi 30,2024

Gazeti lako bora la Championi linalotoka mtaani mara mbili kwa wiki, Jumatatu na Ijumaa, sasa limekuja kivingine. Tunatoa zawadi kwako...

READ MORE