×

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Machi 21,2024

Gazeti lako bora la Championi linalotoka mtaani mara mbili kwa wiki, Jumatatu na Ijumaa, sasa limekuja kivingine. Tunatoa zawadi kwako...

READ MORE

BetPawa yadhamini timu za taifa za kikapu za Uganda kwa mabilion ya fedha

Timu za taifa za mpira wa kikapu za wanaume (Silverbacks) na wanawake (Gazelles) zimepata udhamini mnono kutoka kampuni ya michezo...

READ MORE

Taifa Gas Yaendesha Kampeni Maalumu Ya Matumizi Ya Gesi Wakati Wa Ramadhani

Taifa Gas imezindua kampeni maalum wakati wa mwezi wa Ramadhani inayojulikana kama “Ramadhan Iftar Campaign” inayolenga kuhimiza matumizi ya gesi....

READ MORE

Dkt. Mpango aimwagia sifa Wizara ya Maji, aisifu kukamilisha mradi na chenji kubaki

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango ameipongeza Wizara ya Maji kwa utekelezaji...

READ MORE

Jokate Mwegelo Atembelea Ubalozi Wa Tanzania Nchini Korea Kusini

KATIBU Mkuu wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT), Jokate Mwegelo, atembelea Ubalozi wa Tanzania nchini Korea Kusini na...

READ MORE

Serikali Yatangaza Tahasusi (Combination) 65 Za Kidato Cha Tano, 2024

SERIKALI kupitia Ofisi Ya Rais Tamisemi @ortamisemi imekamilisha zoezi la awali la kuingiza kwenye kanzidata taarifa zilizo kwenye Fomu za...

READ MORE

TANROADS Njombe Yaeleza Mafanikio ya Serikali ya Awamu ya Sita Kipindi cha Miaka Mitatu Sekta ya Ujenzi

Serikali ya awamu ya sita chini ya Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan inaendelea na jitihada za ujenzi wa miundombinu...

READ MORE

Video: Mke Wa Bakhresa Wa Tabata Aliyechomwa Moto Afunguka Mazito, ”Walimchoma Tumboni Bisibisi”

Kijana Gidion Sanaa almaarufu Bakhresa aliyekuwa akijishughulisha na kazi ya kuendesha bodaboda, ameuawa kikatili kwa kupigwa na kuchomwa moto akituhumiwa...

READ MORE

Balozi Nchimbi; Watanzania Wajivunia Miaka 3 ya Uwezo Mkubwa Wa Rais Dkt.Samia

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk. Emmanuel John Nchimbi, amesema kuwa Watanzania wote kwa ujumla wao wanajivunia...

READ MORE

Dorothy Afunguka Zitto Kabwe Kugombea Urais 2025 – Video

Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo, Dorothy Semu amefunguka tetesi za aliyekuwa Kiongozi Mkuu wa chama hicho, Zitto Kabwe...

READ MORE

Msanii wa Vichekesho Umar Iahbedi Issa Maarufu kwa jina la Mjegeje Afariki

Msanii wa vichekesho Umar Iahbedi Issa maarufu kwa jina la Mjegeje @mzeewamjegejetz amefariki dunia leo Alfajiri katika Hospitali ya Mwananyamala...

READ MORE

Trump Kumfukuza Mwana Mfalme wa Uingereza, Prince Harry Kuishi Marekani

Mgombea urais Donald Trump amesema kama atashinda urais Novemba mwaka huu atamfukuza mwana mfalme wa Uingereza, Prince Harry iwapo atakuwa...

READ MORE

Kamati Ya LAAC Yaitaka Tamisemi Kufanya Uchunguzi Fedha Za Miradi Ya Mkoa Wa Manyara

Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC) imeielekeza Ofisi ya Rais – TAMISEMI Kufanya, ufuatiliaji...

READ MORE

Majina ya watakaounda baraza la mpito kwa Haiti yawasilishwa

Viongozi wa nchi za Karibiani wanasema makundi yote na vyama vya kisiasa, isipokuwa kimoja, vimewasilisha majina ya watu walioteuliwa kwa...

READ MORE

Dorothy Mrithi Wa Zitto Ajibu Kwa Nini Makamu Wa Kwanza Zanzibar Hana Nguvu Kama Makamu Wa Pili – Video

Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo aliyechukua nafasi ya Zitto Kabwe ndani ya chama hicho, mwanamama Dorothy Semu amefunguka...

READ MORE

Mwanamke kutoka Rwanda Afikisha Miaka 26 Akiwa na Maambukizi ya Ukimwi

Mwanamke kutoka Rwanda, Muneza Sylivie mwanzilishi wa shirika la RRP+ la wenye virusi vya ugonjwa wa Ukimwi, amefahamisha kuwa amemaliza...

READ MORE

Ahmed Ally: Kuwatoa Al Ahly Sio Jambo Kubwa kwa Simba

Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Klabu ya Simba, Ahmed Ally amesema kuwa kuitoa Klabu ya Al Ahly kwenye michuano...

READ MORE

Jinsi ya Kumtambua Mwanaume wa Kukuoa!

WANAWAKE wengi wanateseka penzini kwa kutowatambua vizuri wanaume wenye mapenzi ya dhati. Wengi hujikuta kwenye maumivu makali kwa sababu ya...

READ MORE

Waziri Jafo Akutana Na Naibu Katibu Mkuu Mndeme, Dodoma

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Dkt. Selemani Jafo akiwa katika picha ya pamoja na...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Machi 20, 2024

Gazeti lako bora la Championi linalotoka mtaani mara mbili kwa wiki, Jumatatu na Ijumaa, sasa limekuja kivingine. Tunatoa zawadi kwako...

READ MORE