×

Dkt. Nchimbi Awapongeza wanaCCM wa Pemba kwa kuilinda na kuitetea CCM

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dk. Emmanuel John Nchimbi amesema anawaheshimu na kuwakubali wanaCCM wa Pemba kwa...

READ MORE

Mashindano ya Tuzo ya Taifa ya Mwalimu Nyerere ya Uandishi Bunifu Kufanyika Aprili 13,2024

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda akizungumza na waandishi wa habari leo Machi 23, 2024 Jijini Dar es...

READ MORE

ANC yakipekeka mahakamani chama kipya cha upinzani

Chama tawala Afrika Kusini kimekwenda mahakamani kujaribu kukizuia chama kipya cha upinzani kushiriki uchaguzi utakaofanyka mwezi Mei. Uchaguzi mkuu wa...

READ MORE

Saleh Jembe: Simba Wakikosea Dar Wasitegemee Watapatia Cairo, Mamelodi Wanafungika – Video

 Mwandishi nguli wa michezo Saleh Jembe amefanya mahojiano na waandishi na kusema kuwa Simba Sc ina bahati kupangwa na...

READ MORE

Laac: Hatutakubali Serikali Ipate Hasara Matumizi ya fedha za Umma

Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC) imesema itahakikisha inasimamia ipasavyo matumizi ya fedha za...

READ MORE

Bila ya Amani, Hakuna Mtangamano na Maendeleo

Nchi Wanachama za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) zimetakiwa kufanya kila linalowezekana kuhakikisha kuwa nchi zao zinakuwa na...

READ MORE

Serikali Kutekeleza Miradi Mikubwa 9 ya Kimkakati Kipande cha Igawa – Tunduma (km 218)

Serikali ya awamu ya sita chini ya Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imekusudia kutekeleza miradi mikubwa 9 ya kimkakati...

READ MORE

Majaliwa Azitaka Halmashuri Kuweka Mpango Wa Ufuatiliaji Na Tathmini Ya Matumizi Ya Ardhi

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amezielekeza Halmashauri zote zinazotekeleza mradi wa Mpango wa Matumizi ya Ardhi ya Vijiji kuandaa mpango wa...

READ MORE

Kamanda Muliro Awataja Matapeli Wanatumia Jina La Spika Tulia – Video

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam kwa kushirikiana na kikosi kazi maalum cha kuzuia na kupambana na...

READ MORE

Nchi za SADC Zajipanga Kumaliza Changamoto za Kiusalama Mashariki Mwa DRC na Jimbo la Cabo Delgado

Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Dkt. Samwel Shelukindo anaongoza ujumbe wa Tanzania...

READ MORE

Spika wa bunge la Afrika Kusini achukua likizo kufuatia tuhuma za rushwa

Spika wa Bunge la Afrika Kusini Nosiviwe Mapisa-Nqakula, alisema Alhamisi kwamba atachukua likizo maalum, kutokana na uchunguzi wa tuhuma za...

READ MORE

TRA Yapeleka Elimu ya Mlango Kwa Mlipakodi Shinyanga

  Timu ya maofisa kutoka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) idara ya Elimu kwa Mlipakodi na Mawasiliano wamefunga kambi katika...

READ MORE

Kampeni Ya Rais Dk. Samia Yazidi Kuungwa Mkono, Oryx Gas Yafikisha Huduma Ya Kisasa Soko la Feri

NAIBU SPIKA wa Bunge Hassan Zungu, amewahakikishia Mama Lishi na Baba lishe katika Soko la Samaki la Kimataifa Feri kuwa...

READ MORE

#Exclussive: Mbwana Samatta Afanya Kufuru Kijijini Kwao – Afuata Nyao Za Sadio Mane – Video

WAKAZI wa Vikindu Kidubwa Mkoa wa Pwani, wameanza kuutumia msikiti uliojengwa na mshambuliaji wa Greece club PAOK, Mtanzania, Mbwana Samatta....

READ MORE

ACT Wazalendo Watishia Kujitoa Serikali Ya Umoja Wa Kitaifa Zanzibar, Ado Shaibu Afunguka – Video

Katibu mkuu chama cha ACT Wazalendo Ado Shaibu leo Machi 22, 2024 amefanya mahojiano na @255globalradio na @globaltvonline na kudai...

READ MORE

Rais Hussein Ali Mwinyi Aondoka Zanzibar Kushiriki Mashindano ya Tajweed ukumbi wa JNICC, Dar

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi Machi 22, 2024 ameondoka Zanzibar na kuwasili Jijini...

READ MORE

Waziri Nape Ateua Wajumbe wanne wa Bodi ya TCRA

Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amewateua Wajumbe wa Bodi ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA),...

READ MORE

TMA Yatoa Elimu Namibia Kuhusu Hali ya Hewa

Tanzania kupitia Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), imewanoa watumishi wa Taasisi ya Hali ya Hewa kutoka Nchini Namibia...

READ MORE

Majaliwa Awataka Mawakili Na Maafisa Sheria Kuzingatia Weledi

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amewataka Maafisa Sheria na Mawakili wa Serikali nchini kutekeleza majukumu kwa kuzingatia weledi, usawa na uadilifu...

READ MORE

Rais Samia, Wizara ya Afya Waipongeza Global TV kwa kuibua habari Ya Mtoto Rama Anayeumwa Figo – “Akatibiwe Bure Muhimbili” – Video

Rais Samia Suluhu Hassan kupitia wizara ya afya @wizara_afyatz inayoongozwa na Waziri @ummymwalimu wameipongeza @globaltvonline kwa kuibua habari za kijana...

READ MORE