×

Rais Samia, Wizara ya Afya Waipongeza Global TV kwa kuibua habari Ya Mtoto Rama Anayeumwa Figo – “Akatibiwe Bure Muhimbili” – Video

Rais Samia Suluhu Hassan kupitia wizara ya afya @wizara_afyatz inayoongozwa na Waziri @ummymwalimu wameipongeza @globaltvonline kwa kuibua habari za kijana...

READ MORE

Museveni Amteua Mtoto wake Jenerali Muhoozi Kainerugaba kuwa Mkuu mpya wa Majeshi (CDF)

RAIS wa Uganda, Yoweri Museveni amemteua Mtoto wake Jenerali Muhoozi Kainerugaba kuwa Mkuu mpya wa Majeshi (CDF) Nchini Uganda akichukua...

READ MORE

Kijana: Ajali Imekatisha Ndoto Zangu, Nisaidieni Nipo Kitandani Miaka 4 Mgongo, Nyonga Havifanyi Kazi- Video

Kijana Michael Charles Nyawanda (35), mkazi wa Mtaa wa Nyasula, Bunda mkoani Mara anasumbuliwa na tatizo la mgongo pamoja na...

READ MORE

Dkt. Mahera Akemea Watumishi wa Afya Wenye Lugha Chafu

NAIBU Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Dkt. Charles Mahera amekemea tabia ya baadhi...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Machi 22, 2024

Gazeti lako bora la Championi linalotoka mtaani mara mbili kwa wiki, Jumatatu na Ijumaa, sasa limekuja kivingine. Tunatoa zawadi kwako...

READ MORE

Tigo Yachaguliwa Kuwania Tuzo Ya ITU WSIS 2024 Kupitia Mradi Wa UCSAF

Kampuni ya mtandao wa simu ya Tigo imechaguliwa kuwania Tuzo ya ITU WSIS 2024 kupitia mradi wa UCSAF (Mfuko wa...

READ MORE

Dance Club Yazindua Kampeni Simba Na Yanga Kuelea Robo Fainali Club Bingwa Afrika

Dar es Salaam, 21 Machi 2024: Baa ya Dance Club iliyopo Mwenge Mpakani jijini Dar es Salaam, imezindua kampeni maalum...

READ MORE

Watu 1404 Waathirika Na Mafuriko Kilosa Mkoani Morogoro, Nyumba 351 Zimefurika Maji

Morogoro, 21 Machi 2024: JUMLA ya watu 1404 wameathirika na mafuriko ya mvua zinazoendelea kunyesha katika Wilaya ya Kilosa mkoani...

READ MORE

Zari Amkataa Mtoto Wa Mobetto Kuwa Wa Diamond,’Namjua Zuchu Na Tanasha’-Video

Zari The Boss Lady ; ni mwanamama tajiri Afrika Mashariki na baby mama wa staa mkubwa wa muziki nchini Tanzania,...

READ MORE

Kuwaona Yanga dhidi ya Mamelodi Kwa Mkapa Mzunguko ni Bure

Afisa Habari na Mawasiliano wa Yanga SC, Ally Kamwe wakati akizungumza na waandishi wa habari leo, Dar es Salaam amesema...

READ MORE

Mahafali Kidato cha Sita Yafaana Sengerema Sekondari!

Licha ya kufanya vizuri kwenye Matokeo ya kidato cha sita mwaka 2023 kwa kufuta daraja la nne na sufuri shule...

READ MORE

Alichokisema Gamond Kupangwa Na Mamelodi

  Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara klabu ya soka ya Yanga imepangwa kumenyana na Memolodi Sundown ya nchini...

READ MORE

Rubani Ahukumiwa Kifungo Cha Miezi 10 Jela Kwa Kufika Kazini Akiwa Amelewa

Rubani mmoja wa Shirika la Ndege la Delta, amehukumiwa kifungo cha miezi 10 Jela kwa kufika kazini akiwa amelewa. Mnamo...

READ MORE

Mageuzi Reli ya Tazara, Jenerali Mabeyo Awakaanga Wenzake, Gumzo Utendaji Rais Samia – Video

Karibu kutazama na kusikiliza na kutazama Kipindi cha FRONT PAGE kila siku kuanzia JUMATATU hadi IJUMAA kuanzia Saa 2:30 Asubuhi…

READ MORE

Wanafunzi Waomba Serikali Kupata Miti ya Matunda Mashuleni

Wanafunzi wa shule ya msingi Matwiga iliyokoa Kata ya Misheni wilayani Sengerema Mkoa wa Mwanza wameiomba Serikali ielekeze nguvu kupanda...

READ MORE

Mpango Aimwagia Sifa Wizara Ya Maji, Aisifu Kwa Chenji Kubaki

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Isdor Mpango ameipongeza Wizara ya Maji kwa utekelezaji mzuri...

READ MORE

Timbwili Laibuka kwenye mazishi ya mwendesha bodaboda, Gidion Sanaa ‘Bakhresa’ wa Tabata- Video

Timbwili limeibuka kwenye mazishi ya mwendesha bodaboda, Gidion Sanaa almaarufu Bakhresa wa Tabata ambaye aliuawa kikatili kwa kupigwa na kuchomwa...

READ MORE

Kamati ya Bunge Yafurahishwa na Kasi ya Utekelezaji wa Miradi ya Nishati

Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini imeridhishwa na utekelezaji wa miradi mbalimbali inayotekelezwa chini ya wizara ya...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Machi 21,2024

Gazeti lako bora la Championi linalotoka mtaani mara mbili kwa wiki, Jumatatu na Ijumaa, sasa limekuja kivingine. Tunatoa zawadi kwako...

READ MORE

BetPawa yadhamini timu za taifa za kikapu za Uganda kwa mabilion ya fedha

Timu za taifa za mpira wa kikapu za wanaume (Silverbacks) na wanawake (Gazelles) zimepata udhamini mnono kutoka kampuni ya michezo...

READ MORE