×

Inonga Ampa Jeuri Benchikha Simba dhidi ya Asec Mimosas ya nchini Ivory Coast

KUREJEA kwa beki wake wa kati Mkongomani, Hennock Inonga kumempa jeuri Kocha Mkuu wa Simba, Abdelhaki Benchikha ya kupata matokeo...

READ MORE

Mtu Mmoja Afariki na Wengine Saba Kujeruhiwa Mlimba, Morogoro – Video

Mtu mmoja amefariki na wengine saba kujeruhiwa katika ajali iliyohusisha gari la abiria aina ya Tata yenye namba za usajili...

READ MORE

Yanga: Hatuwaachi Belouizdad Uwanja wa Mkapa Jijini Dar

UONGOZI wa Yanga hatima ya wao kufuzu hatua ya Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika, ipo mikononi mwa wapinzani...

READ MORE

Abigail Chams – Milele (Official Music Video)

Msanii wa moto imwenye sauti tamu na uwezo mkubwa wa kucheza na ala za muziki si mwingine bali ni Abigail...

READ MORE

GGML yazindua mpango wa mafunzo kazini kwa mwaka 2024/2025, wanafunzi 40 kufaidika

KATIKA kudhihirisha dhamira ya kuwajengea wahitimu wa vyuo mbalimbali kukubalika kwenye soko la ajira, Kampuni ya Geita Gold Mining Limited...

READ MORE

#Part1 Video: Dokta Kumbuka – ”Siku Hizi Wanawake Wengi Wanawaroga Wanaume Zao”…| Hardtalk

Kwenye Hard Talk wiki hii na mtumishi wa Mungu na mwandishi wa vitabu, Lilian Mwasha yupo na mwigizaji, mtangazaji, mshereheshaji...

READ MORE

Nunua Gazeti la Championi Jumatatu Hapa kupitia #GLOBAL APP

Gazeti lako bora la Championi linalotoka mtaani mara mbili kwa wiki, Jumatatu na Ijumaa, sasa limekuja kivingine. Tunatoa zawadi kwako...

READ MORE

Meli ya Mizigo ya Uingereza Yashambulia Pwani ya Yemen

Meli ya mizigo iliyosajiliwa na Uingereza inaripoti shambulio katika Mkondo wa bahari wa Bab al-Mandeb Kulingana na ripoti za vyombo...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Februari 19, 2024

  HAPA tumekusogezea kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Februari 19, 2024 CHOTA MAPENE...

READ MORE

Donald Trump Azindua Viatu Vyake Vilivyopewa Jina La ‘Never Surrender High Top

Aliyekuwa Rais wa Marekani, Donald Trump amezindua viatu vyake vilivyopewa jina la ‘Never Surrender High Top’. Mpaka sasa Trump amesambaza...

READ MORE

Nchimbi Amtakia Heri Miaka 93 Mama Fatma Karume, Wateta Msibani Kwa Lowassa

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Balozi Emmanuel John Nchimbi akiteta jambo na kumsikiliza kwa makini Bi. Fatma...

READ MORE

Piga Mkwanja Na Meridianbet Leo

Leo ni siku ya kupiga mkwanja na Meridianbet kupitia michezo mbalimbali itakayopigwa katika ligi kubwa barani ulaya leo, Hivo fursa...

READ MORE

Tawasifu Ya Waziri Mkuu Mstaafu Hayati Edward Ngoyai Lowassa

Tumsifu Yesu Kristu, Bwana Yesu Asifiwe, Raha ya Milele umpe Eeeh Bwana, apumzike kwa Amani. Raha ya Milele umpe Eeeh...

READ MORE

Zaidi ya watu 100 wakamatwa kwa kutoa heshima kwa kifo cha kiongozi wa upinzani Russia, Navalny

Zaidi ya watu 100 wanashikiliwa nchini Russia, kwa kuweka mashada ya maua wakati wa kutoa heshima zao kwa kiongozi wa...

READ MORE

Rais Samia Alivyowasili Ethiopia kuhudhuria Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika

Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan Feburuari 17, 2024 amewasili Addis Ababa Nchini Ethiopia kuhudhuria Mkutano wa Wakuu wa...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Februari 18, 2024

HAPA tumekusogezea kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Februari 18, 2024 CHOTA MAPENE ndiyo...

READ MORE

Rais Aongoza mazishi Ya aliyekuwa Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowassa Mkoani Arusha (Picha +Video)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt.Samia Suluhu Hassan amesema, miongoni mwa vitu alivyojifunza kutoka kwa hayati Edward Ngoyai Lowassa...

READ MORE

Mamia Ya Wakimbiaji Tigo ‘Kili Marathon’ Dar Wafurika Mlimani City Kuchukua Namba Na Vifaa Vya Kukimbilia

Dar es Salaam 17 Februari 2024: Mamia ya wakimbiaji wa Tigo ‘Kili Marathon’ Km 21, wakazi wa Jiji la Dar,...

READ MORE

Meridianbet yatoa msaada kwa wauza chakula Coco Beach

KAMPUNI bingwa ya michezo ya kubashiri Meridianbet wamefanikia kufika eneo la Coco Beach jijini Dar-es-salaam Februari 17, 2024 na kuweza...

READ MORE

Cobhams Agonga Kolabo na Sauti Sol Kwenye Video ya Lady Fiona

MSANII maarufu nchini Nigeria, Cobhams Asuquo ameshirikiana na kundi maarufu nchini Kenya, Sauti Sol kwenye video inayokwenda kwa jina la...

READ MORE