×

Michuano ya kombe la mataifa ya Afrika kutimua vumbi leo Januari 13

MICHUANO  ya 34 ya mashindano makubwa kabisa barani Afrika inaanza nchini Ivory Coast kuanzia tarehe 13 Januari hadi 11 Februari...

READ MORE

Tazama Shamrashamra za Mapinduz Zilivyokuwa Zanzibar, Mwinyi Aongoza Sherehe Za Maadhimisho Ya Miaka 60 – (Picha +Video)

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk.Hussein Ali Mwinyi ameongoza sherehe za maadhimisho ya miaka 60 ya...

READ MORE

Habari Kubwa Za Magazeti Ya Tanzania Leo Jumamosi, Januari 13, 2024

HAPA tumekusogezea kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Januari 13, 2024 CHOTA MAPENE ndiyo...

READ MORE

Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Yapongezwa Kwa Ufanisi wa Huduma Zake

Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania TPA imepongezwa kwa utendaji wenye ufanisi mkubwa na kutakiwa kuongeza juhudi ili kupata mafanikio...

READ MORE

Mfahamu Mbappe Mchezaji Tishio Zaidi Kombe La Dunia 2018

Najua kama wewe ni mwanasoka hili jin asio geni kwako kuwahi kulisikia na hata kushuhudia yale ambayo kijana huyu kutoka...

READ MORE

Hospitali ya Rufaa ya Kanda Bugando, GPITG Zaboresha Huduma za Afya kieletroniki

HOSPITALI ya Rufaa ya Kanda Bugando iliyopo jijini Mwanza kwa mara nyingine imeingia mkataba na Kampuni ya Utengenezaji wa Mifumo...

READ MORE

Winga Mpya Simba Amtaja Benchikha Atakiwa kujituma kwenye Mazoezi

WIGA mpya wa Simba, Ladack Chasambi amesema ana kazi kubwa ya kuhakikisha anajituma mazoezini na kufanya vizuri kwa kila nafasi...

READ MORE

Kamati Ya Bunge Yaridhishwa Na Usimamizi Ujenzi Wa Shule Ya Nsalaga

KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa imefurahishwa na namna TAMISEMI walivyosimamia ujenzi na...

READ MORE

Gavana wa Zamani Benki Kuu ya Burundi Dieudonné Murengerantwari Aachiwa Huru

Aliyekuwa Gavana wa Benki Kuu ya Burundi “BRB” Dieudonné Murengerantwari, ameachiwa huru ikiwa ni miezi mitatu baada ya kupelekwa katika...

READ MORE

Kocha Yanga Afunga Hesabu Ametangaza Maamuzi Mazito

HUKU zikiwa zimesalia siku sita kabla ya kufungwa kwa doirisha dogo la usajili wa timu zilizo chini ya Shirikisho la...

READ MORE

Haaland Mchezaji Pekee Aliyefuta Kiburi Cha Guardiola

Mshambuliaji Earling Haaland ndio mchezaji pekee ambaye amefanikiwa kuondoa kiburi cha kocha mtata Pep Guardiola ndani ya kikosi cha Manchester...

READ MORE

Mbunge Cherehani: Tumieni Umeme wa REA Kujiletea Maendeleo

Mbunge wa jimbo la Ushetu, Mhe. Emannuel Cherehani amewataka wananchi kutumia uwepo wa umeme wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA)...

READ MORE

Habari Kubwa Za Magazeti Ya Tanzania Leo Ijumaa, Januari 12, 2024

HAPA tumekusogezea kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Januari 12, 2024 CHOTA MAPENE ndiyo...

READ MORE

Makamu wa Pili wa Rais Z’bar Azindua Mikopo ya Boti za Uvuvi ya NMB

*Pia, NMB yakabidhi vifyaa vya kuezekea madarasa vya Mil. 22/- MAKAMU wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Hemed Suleiman Abdulla,...

READ MORE

Haji Manara Na Zaiylissa Watangaza Kuisimamisha Dunia – “Baada Ya Uchumba Ni Ndoa”..

Mwanadada anayefanya poa kwenye tamthiliya ya Jua Kali, Zaylissah amewaambia waandishi wa habari kwamba Haji Manara atamvalisha pete ya uchumba...

READ MORE

Rais Samia Avalishwa Nishani ya Mapinduzi ya Viongozi wenye sifa za Kipekee (Order of Praise)

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amevalishwa Nishani ya Mapinduzi ya Viongozi wenye sifa za...

READ MORE

Wild Spin Kasino Mibonasi Kama Yote

Kila mtu amekuwa akiwa kupambana na maisha, vijana wengi wanawake kwa wanaume wako busy na harakati za mjini, kuna wengine ni wazee wa mishemishe yote…

READ MORE

Rais Dkt.Mwinyi Akutana Na Mwenezi Makonda Ikulu Zanzibar

Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi amekutana na Katibu...

READ MORE

Ndejembi Akerwa Na Kasi Ndogo Ya Ujenzi Wa Shule Ya Wasichana Iringa

NAIBU Waziri, Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Deogratius Ndejembi amemuagiza Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilolo kuhakikisha anamsimamia Mhandisi wa ujenzi...

READ MORE

Rais Samia Atengua Uteuzi wa Mkurugenzi Mtendaji wa DART

Rais Samia ametengua Uteuzi wa Mkurugenzi Mtendaji wa Wakala wa Mabasi Yaendayo Kasi (DART), Dkt. Edwin P. Mhede huku taarifa...

READ MORE