×

Mwimbaji nyota Zahara wa Afrika aagwa

Familia ya mshindi wa tuzo ya uimbaji Zahara, iliongoza utoaji wa heshima za mwisho kwa mwimbaji huyo nyota ambaye amefariki...

READ MORE

Bosi Simba Ampigia Saluti Benchikha Afurahishwa na Mabadiliko

AHMED Ally ambaye ni Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba, amefurahishwa na mabadiliko ya muda mfupi ya kikosi chao...

READ MORE

Prof Tibaijuka Aiangukia Serikali Ya Rais Samia – “Tunaomba Mtusaidie Kuiondoa Sheli Mtaani Kwetu”- Video

Mwanasiasa mkongwe nchini, Profesa Anna Tibaijuka, amewasha moto mbele ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila akipinga...

READ MORE

Waziri Ulega amewataka madaktari wa mifugo kuhakikisha wanasimamia ipasavyo shughuli za sekta ya mifugo

Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega amewataka madaktari na wataalamu wa mifugo kuhakikisha wanasimamia ipasavyo shughuli za sekta ya...

READ MORE

Habari Kubwa Za Magazeti Ya Tanzania Leo Jumatano, Decemba 13, 2023

HAPA tumekusogezea kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Dec 13, 2023 CHOTA MAPENE ndiyo...

READ MORE

Benki Ya NBC  Yazindua Kampeni Ya”Tabasamu Tukupe Mashavu’’ Kumwaga Zawadi Kwa Wateja Msimu Wa Sikukuu

Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) imezindua kampeni yake ya msimu wa Sikukuu za mwisho wa mwaka  inayofahamika kama “Tabasamu...

READ MORE

Cheza Ushinde Yakabidhi Zawadi Ya Pikipiki Kwa Mshindi

 Mchezo mpya wa CHEZAUSHINDE, unaoendeshwa na Airtel Money kwa kushirikiana na Whiteball leo wamemkabidhi rasmi mshindi wa kwanza wa Jackpot...

READ MORE

Droo Ya Nane Ya Washindi Wa Serengeti Maokoto Ndani Ya Kizibo Watajwa

Wawakilishi kutoka SBL wakitangaza washindi 8 Raundi ya 8 katika droo ya camping ya Maokoto ndani ya Kizibo chini ya...

READ MORE

Profesa Ndalichako aipongeza GGML udhamini tuzo muajiri bora 2023

Makamu Rais wa AngloGold Ashanti -GGML anayeshughulikia miradi endelevu na masuala ya ubia/ ushirika (Afrika), Simon Shayo akizungumza katika hafla...

READ MORE

Pesa Ipo Leo Mechi za Ligi ya Mabingwa Ulaya

Jumanne ya usiku wa Ulaya ndio hii hapa kama tunavyojua hizi ni mechi za mwisho za kuamua hatma ya baadhi...

READ MORE

Mshindi wa Maokoto Chini ya Kizibo Aondoka na Zawadi ya Shilingi 500,000

Mshindi wa shindano la maokoto kutoka Manispaa ya Moshi mkoani Kilimanjaro linaloendeshwa kupitia vizibo vya vinywaji vya Kampuni ya Bia...

READ MORE

Mkutano wa Wadau wa Sekta ya Maji Kufanyika Arusha

Waziri wa Maji Jumaa Aweso anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika mkutano wa wadau wa sekta ya maji utakaofanyika kwa siku...

READ MORE

Tigo Yawapeleka Dubai Kuinjoi Washindi 16 Wa Magifti Dabodabo Awamu Ya Kwanza

Dar es Salaam, 12 Desemba 2023: Kampuni ya mtandao wa simu za mkononi ya Tigo imewapeleka Dubai washindi 16 wa...

READ MORE

Simba Yafafanua Namna Watakavyotusua Robo fainali Ligi ya Mabingwa Afrika

UONGOZI wa Simba, umeweka wazi kuwa njia, pekee itakayowapeleka katika hatua ya robo fainali Ligi ya Mabingwa Afrika ni kushinda...

READ MORE

Kocha timu ya Taifa ya Morocco Ashinda Tuzo ya Kocha Bora, Benchikha wa Simba Apigwa Chini

Kocha timu ya Taifa ya Morocco, Walid Regragui ameshinda tuzo ya kocha bora wa mwaka 2023 baada ya kuiongoza Morocco...

READ MORE

Mshambuliaji wa Napoli Victor Osimhen Ashinda tuzo ya mchezaji bora Afrika

Mshambuliaji wa klabu ya Napoli na timu ya Taifa ya Nigeria Victor Osimhen ameshinda tuzo ya mchezaji bora wa kiume...

READ MORE

Kulia kwa Ajili ya Mapenzi si Kutatua Tatizo

KARIBU mpenzi msomaji wa Sindano za Mastaa, wiki iliyopita ulikuwa na staa wa Bongo Fleva, Dayna Nyange lakini wiki hii...

READ MORE

Padre wa Kanisa Katoliki nchini Marekani afariki baada ya kushambuliwa kanisani

Padre mmoja wa kanisa katoliki amefariki baada ya kushambuliwa katika eneo la kanisa katika jimbo la Nebraska nchini Marekani. Polisi...

READ MORE

Utata! ‘Koneksheni’ Za Mastaa Zinazovuja Mitandaoni – Kuna Umuhimu Wa Kurekodi? | Kona Ya Mtaa..

Kona ya Mtaa wiki hii inakuja na mada moto mezani! Je, kwa nini baadhi ya watu wanapenda kupiga picha za...

READ MORE

Habari Kubwa Za Magazeti Ya Tanzania Leo Jumanne, Decemba 12, 2023

HAPA tumekusogezea kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Dec 11, 2023 CHOTA MAPENE ndiyo...

READ MORE