×

Wanafunzi Walivyofundishwa Jinsi Ya Kupambana Na Ukatili Wa Kijinsia

Dar es Salaam 6 Desemba 2023: Wanafunzi wa Shule ya Msingi Bombambili iliyopo eneo la Bombambili Kata ya Kivule Wilaya...

READ MORE

Jisajili Meridianbet Upate Bonasi ya Kasino Mpaka 2,500,000/= TZS

Unaijua 200% inakuaje? Meridianbet msimu huu wa Sikukuu za Krismasi na Mwaka Mpya unapojisajili, ukaongeza salio kwenye akaunti yako kisha...

READ MORE

Waandaaji wa Kili Marathon Wawasihi Washiriki Kutumia Vizuri Punguzo La Bei

Waandaaji wa Mbio za Kimataifa za Kilimanjaro Premium Lager 2024 wamewakumbusha washiriki kwamba wana siku chache kufurahia kipindi cha punguzo...

READ MORE

Naibu Waziri Silinde: Mizani ya Kidigitali kuimarisha Mapato ya Wakulima Nchini

Naibu Waziri wa Wizara ya Kilimo,  Mhe. David Silinde, amezindua matumizi ya Mizani za Kidigitali zilizounganishwa na Mfumo wa Usimamizi...

READ MORE

Mwenyekiti wa Bodi ya NSSF Afanya Ziara ya Kikazi Makao Makuu

*Aahidi ushirikiano wa kutosha kufanikisha utendaji wa Mfuko *Mkurugenzi Mkuu aweka wazi mafanikio na mikakati ya uboreshaji huduma Mwenyekiti wa...

READ MORE

Pacome Ashusha Presha Yanga, Aitaka Robo Fainali CAF

KIUNGO Mshambuliaji wa Yanga, Pacome Zouzoua, ameshusha presha ndani ya kikosi hicho baada ya awali kupata majeraha ya bega, lakini...

READ MORE

Makamu Wa Pili Wa Rais Wa Zanzibar Afungua Mkutano Wa Bodi Ya GPE, Unguja

  Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Hemed Suleiman Abdullah kabla amefungua rasmi mkutano wa Bodi...

READ MORE

Rais Zelensky aghairisha mkutano na Wabunge wa Marekani

Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelenskyy, alifuta mkutano na wajumbe wa baraza la seneti la Marekani, Jumanne. Alitarajiwa kuomba kuendelezwa kwa...

READ MORE

Petroli Yashuka Kwa Tsh. 116, Dizeli Tsh. 148 Dar, Mafuta Ya Taa Bei Ileile

Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imetangaza bei kikomo za Mafuta ya Petroli zitakazotumika kuanzia Desemba...

READ MORE

Umuhimu wa Kufanya Maamuzi Sahihi Kwa Dunia ya Leo

NI wiki nyingine tena tulivu kabisa tunakutana kupitia safu hii nikiamini kwamba kwa rehema zake Mwenyezi Mungu umzima, bukheri wa...

READ MORE

Feisal Ashinda Tuzo Ya Mchezaji Bora Wa Mwezi Novemba 2023 Wa Ligi Kuu

Kiungo wa Azam FC na timu ya Taifa ya Tanzania, Feisal Salum, ameshinda tuzo ya mchezaji bora wa mwezi Novemba...

READ MORE

Nafasi ya Kazi Job Junction Tanzania, Sales officers

Sales officers EMPLOYER: Job Junction Tanzania LOCATION: Dar Es Salaam REQUIREMENTS: 1)Must have skills of sales 2)Must know kariakoo well...

READ MORE

Habari Kubwa Za Magazeti Ya Tanzania Leo Jumatano, Decemba 6, 2023

HAPA tumekusogezea kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Dec 6, 2023 CHOTA MAPENE ndiyo...

READ MORE

BetPawa Ilivyotangaza Washindi Wa Dream Maker Season 2

Dar es Salaam, 6 Desemba 2023 :Kampuni ya Michezo ya kubashiri ya BetPawa leo imewatangaza na kuwakabidhi zawadi zao washindi...

READ MORE

GML yataja mbinu kuimarisha miradi ya ujenzi, Bashungwa atoa maagizo

  NA MWANDISHI WETU KATIKA kuunga mkono jitihada za Rais Samia Suluhu Hassan kuimarisha shughuli za kihandisi nchini, Kampuni ya...

READ MORE

Tigo Yashinda Tuzo Ya Ookla® Kama Mtandao Wa Simu Wenye Kasi Zaidi Nchini Tanzania

Dar es Salaam, tarehe 7 Desemba 2023: Kampuni ya maisha ya kidijitali ya mawasiliano ya simu nchini, Tigo, ambayo ni...

READ MORE

Dkt. Biteko: Viongozi Tuache Alama Nzuri Katika Utendaji Wetu Wa Kazi

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko ametoa wito kwa viongozi mbalimbali Serikalini kuhakikisha kuwa, kazi walizonazo...

READ MORE

Kasino ya Mtandaoni Mchezo wa Wild West Riches

Sloti ya Wild West Riches Ile Sloti bomba ya kasino ya mtandaoni ya Meridianbet inayokupa nafasi ya kuibuka shujaa kwenye...

READ MORE

Simba Waishtukia Wydad, Mipango Mipya Yasukwa

  UONGOZI wa Simba, umesema kuwa, kikosi chao kitaingia uwanjani kucheza dhidi ya Wydad Casablanca, kwa tahadhari kubwa ili wafanikishe...

READ MORE

Waziri Mkuu Atembelea waathirika wa maafa ya mafuriko Hanang, Katesh (Picha +Video)

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Disemba 05, 2023 ametembelea kambi ya muda walipo waathirika wa maafa ya mafuriko yaliyosababisha kuharibika...

READ MORE