×

Washindi Wa Droo ya Y9 Microfinance Watangazwa

Washindi wa Droo ya sita ya Y9 Microfinance wamepatikana baada ya kuchezeshwa droo na mshindi wa pikipiki kupatikana ambaye ni...

READ MORE

Fagio Kubwa Lawapitia Mastaa Simba, Laanza Na Wawili, Yupo Saido

KIMENUKA! Ndiyo utakavyoweza kusema kwa sasa baada ya Bodi ya Wakurugenzi wa Klabu ya Simba kupitisha panga kwa mastaa ili...

READ MORE

Matokeo ya uchaguzi wa Liberia: George Weah na Joseph Boakai katika kinyang’anyiro kikali

Kiongozi wa upinzani nchini Liberia Joseph Boakai anaongoza kwa asilimia 50.58 dhidi ya Rais George Weah aliye na asilimia 49.42...

READ MORE

Waziri Mkuu Azungumza katika mkutano wa pili wa Jukwaa la Sauti ya Nchi Zinazoendelea ‘Voice of Global South Summit’

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amezungumza katika mkutano wa pili wa Jukwaa la Sauti ya Nchi Zinazoendelea ‘Voice of Global South...

READ MORE

Yanga Wavamia Algeria Kuwaangalia Wapinzani wao CR Belouizdad

MABOSI wa Yanga, juzi walisafiri kuelekea nchini Algeria, kwa ajili ya kuwaangalia wapinzani wao CR Belouizdad waliongozana na mchambuzi wa...

READ MORE

Zaidi Ya Bilioni 1.4 Yajenga Ofisi Ya Kamanda Wa Polisi Mkoa Wa Mara, Sagini Atoa Neno

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi (Mb) Jumanne Sagini amefanya ziara ya kutembelea na kukagua Mradi wa Ujenzi...

READ MORE

Makonda Ampa Gari Jingine Mwalimu Adella Aliyetapeliwa

Mwalimu Adella atoa shukrani kwa CCM na Rais Samia akisema hakika ni Chama kinachosimama Haki. > Ampa jina Mwenezi Makonda...

READ MORE

Waziri Ndumbaro Aagiza Mambo Matatu Kwa Watumishi Wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo

Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Damas Ndumbaro ameagiza Watumishi wa wizara hiyo kuitumikia wizara hiyo kwa kuzingatia falsafa...

READ MORE

Habari Kubwa Za Magazeti Ya Tanzania Leo Ijumaa, Novemba 17, 2023

HAPA tumekusogezea kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Nov 17, 2023 CHOTA MAPENE ndiyo...

READ MORE

Rais wa Romania, Klaus Iohannis Alivyowasili nchini kwa ziara ya Kitaifa

Rais wa Romania, Klaus Iohannis, amewasili nchini kwa ziara ya Kitaifa kuanzia  Novemba16 hadi 19, 2023 kufuatia mwaliko wa Rais...

READ MORE

Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete Akutana Na Balozi Wa Canada – Video

Mkutano huo wa siku tatu umeandaliwa na Wizara ya Afya na Ofisi ya Rais TAMISEMI  kwa kushirikiana na washirika kadhaa...

READ MORE

NBC Yatoa Elimu ya Kifedha kwa Wanafunzi Shule ya Sekondari Tambaza

Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) imetoa elimu ya masuala ya kibenki na umuhimu wa kujijengea utamaduni wa uwekaji akiba...

READ MORE

Hizi hapa sababu za NMB kuipa kipaumbele miradi ya kijani

NMB yabainisha sababu za kuipa kipaumbele miradi rafiki kimazingira Benki ya NMB imesema imeanza kuzingatia kwa karibu masuala ya uhifadhi...

READ MORE

Hafla Ya Uzinduzi wa Mauzo ya Hisa za Upendeleo za Kampuni ya TCCIA Investment Plc Yafaana!

Serikali kupitia Mamlaka ya Masoko ya Mitaji na Dhamana (CMSA) ina jukumu la kuweka mazingira wezeshi ya kisera, kisheria na...

READ MORE

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa Akutana Balozi wa India nchini jijini Dodoma

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akutana Balozi wa India nchini, Binaya Srikanta Pradhan kwa mazungumzo, ofisini kwa Waziri Mkuu Mlimwa jijini...

READ MORE

Meridianbet Kutambulisha Michezo Mipya Ya Kasino Mtandaoni

Meridianbet kwa kushirikiana na Expanse studio wanakuja na vitu vipya, michezo mipya ya kasino mtandaoni itakayozinduliwa kwenye maonyesho ya SiGMA...

READ MORE

NEC Yakutana Na Vyama Vya Siasa Kuhusu Uboreshaji Wa Daftari La Kudumu La Wapiga Kura

  VYAMA vya siasa vimehimizwa kushiriki kwenye majaribio ya uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura yanayotarajiwa kufanyika katika...

READ MORE

Yanga Yashika Nafasi Ya 3 Kwa Ubora Afrika, Simba Ya 12

Mtandao wa International Federation of Football History and Statistics (IFFHS) umetoka taarifa ya takwimu za vilabu bora Duniani kipindi cha...

READ MORE

Mwanamitindo Jasinta Achaguliwa Kuiwakilisha Tanzania Mashindano Ya Future Face 2023 Nchini Nigeria

Dar es Salaam 16 Novemba 2023: MWANAMITINDO Jasinta David Makwabe(25) mwenye urefu wa 5’11 Ft amechaguliwa kuiwakilisha Tanzania kwenye mashindano...

READ MORE

Ahmed Ally Afunguka Kocha Mpya Kutua Simba, Kuelekea Mchezo Na Asec – Video

“Leo tunazungumzia maandalizi ya mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya ASEC Mimosas. Utachezwa siku ya Novemba 25, 2023...

READ MORE