×

Makamu Rais AngloGold Ashanti-GGML atembelea maonesho ya madini Geita

NA MWANDISHI WETU MAKAMU Rais wa kampuni ya AngloGold Ashanti Tanzania-GGML anayeshughulikia miradi endelevu kwa upande wa Ghana na Tanzania,...

READ MORE

Nmb Yashinda Tena Tuzo ya Kuongoza Kuwafadhili Wajasiriamali Afrika

  Benki ya NMB imetunukiwa tena tuzo na jukwaa la kufadhili ujasiriamali duniani (SME Finance Forum) kutokana na huduma zake...

READ MORE

#Exclusive: Kumbuka Afichua Ya Majizzo Na Ruby, Amtaja Lulu – “Amepitia Vitu Vingi, Ana Balaa” – Video

Mtangazaji na mshereheshaji mwenye jina lake hapa mjini, Dkt. Kumbuka, amefunguka na kuelezea jinsi ilivyokuwa na sivyo kama alivyoeleza kwenye...

READ MORE

Kagame Kugombea Mhula Mwingine Madarakani Mwaka Ujao

Rais wa Rwanda Paul Kagame amesema kwamba atagombea mhula mwingine madarakani katika uchaguzi mkuu wa mwaka ujao. Kagame, ambaye aliingia...

READ MORE

Mahakama: Vicky Kamata Hakuwa Mke Halali Wa Dkt. Likwelile, Alikuwa Masuria

Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, imekataa pingamizi la Mbunge wa zamani, Vicky Kamata la kupinga uteuzi wa mtoto...

READ MORE

Habari Kubwa Za Magazeti Ya Tanzania Leo Alhamisi, Septemba 21, 2023

HAPA tumekusogezea kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Septemba 21, 2023 CHOTA MAPENE ndiyo...

READ MORE

RC Geita aipongeza GGML kudhamini maonesho ya madini, 400 kushiriki

  NA MWANDISHI WETU MKUU wa Mkoa wa Geita, Martin Shigela ameipongeza Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) kwa...

READ MORE

Oryx Gas Tanzania Yatangazwa Kampuni Bora Ya Kimataifa 2023, Yapewa Tuzo

Dar es Salaam, 21 Septemba 2023: ORYX Gas Tanzania imeshinda Tuzo ya Kampuni Bora ya Kimataifa ya mwaka ambayo imetolewa...

READ MORE

Director Kenny, Infinix Tanzania Kuja Kuthibitisha Ubora wa Zero 30 Camera Kwa Vloga

Huenda habari kuhusu Infinix ZERO 30 sio mpya masikioni mwako tangu kuzinduliwa kwake imekuwa gumzo katika mitandao ya kijamii na...

READ MORE

Kampuni ya Ziiki Media Yamkana Diamond, Yasisitiza Siyo Mmiliki Wala Hana Hisa

  Baada ya uvumi wa muda mrefu kwamba staa wa Bongofleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ ndiye mmiliki wa Kampuni ya...

READ MORE

Rais Samia agoma ombi la wananchi kumwondoa mwekezaji

RAIS Samia Suluhu Hassan, amekataa ombi la wananchi lililotaka afute hati ya umiliki ardhi inayodaiwa kuporwa kinyume cha sheria na...

READ MORE

Nyumba ya Meya wa Derna Yachomwa moto na waandamanaji Libya

Nyumba ya Meya wa mji wa Derna uliopo Libya imechomwa moto wakati mamia ya waandamanaji wakitaka majibu kuhusiana na janga...

READ MORE

Gamondi Awaonya Mastaa Yanga Kuvaana na Namungo Ligi Kuu Bara

KOCHA Mkuu wa Yanga, Miguel Gamondi, raia wa Argentina, ameewaambia wachezaji wa timu hiyo akiwemo Kennedy Musonda kuwa hawana muda...

READ MORE

Maafisa 1,000 wa polisi wa mji wa London wasimamishwa kazi kwa utovu wa nidhamu

Takriban maafisa 1,000 wa polisi wamesimamishwa kazi au kuwekewa masharti ya kazi ikiwa ni sehemu ya juhudi za kulisafisha jeshi...

READ MORE

Habari Kubwa Za Magazeti Ya Tanzania Leo Jumatano, Septemba 20, 2023

HAPA tumekusogezea kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Septemba 20, 2023 CHOTA MAPENE ndiyo...

READ MORE

GGML yatoa milioni 150 kudhamini Maonesho ya 6 ya Teknolojia ya Madini Geita

NA MWANDISHI WA WETU KATIKA kuendelea kudumisha dhamira ya ubunifu wa kiteknolojia, Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) imetoa...

READ MORE

Serengeti Yatambulisha Tamasha La Oktoba 2023 Linalolenga Kusherekea Tamaduni Za Kitanzania

Dar es Salaam, Tanzania–September 20, 2023. Kampuni ya bia ya Serengeti (SBL) inafuraha kutangaza tamasha la Oktoba Fest, linalolenga kusherekea...

READ MORE

Rais Samia Amuinua Mbunge Bwege – “Alikuwa Na Kelele Nyingi, Shemeji Yangu, Inashangaza Kidogo”- Video

Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan leo Septemba 19, 2023 mkoani Lindi amemsimamisha aliyekuwa Mbunge wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania...

READ MORE

Rais Samia Aandika Historia Mpya Katika Sekta ya Uvuvi Nchini (Picha +Video)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan leo Septemba 19, 2023 ameandika historia mpya katika...

READ MORE

Simba Yanyofoa Winga Power Dynamos Kutua Msimu Huu

UONGOZI wa Simba umeanza mazungumzo na winga wa Power Dynamos ya Zambia, Joshua Mutale kwa ajili ya kumsajili katika dirisha...

READ MORE