×

Mil 700 za Rais Samia Zamaliza Ujenzi wa Daraja Korofi la Kiseru Wilaya ya Kiteto- Mbunge Ole Lekaita

Daraja korofi katika barabara inayounganisha Wilaya ya Kiteto mkoani Manyara na wilaya za Mvomero na Gairo Mkoa wa Morogoro, Kongwa...

READ MORE

Benki ya Absa Yasogeza Karibu Huduma za Kibenki Kwa Watanzania Ikizindua Absa Wakala

Benki ya Absa Tanzania imezindua huduma yake ya Absa Wakala ikiwa ni mikakati ya benki hiyo katika kusogeza huduma za...

READ MORE

Gari La Abiria Lagongwa, Watu 9 Wafariki, 23 Wajeruhiwa Mbeya

Ajali imetokea katika Mteremko wa Iwambi, Mbeya Vijijini baada ya Lori aina ya Howo la #Zambia likiendeshwa na Mohamed Abilah...

READ MORE

Waziri Mkuu Ashtukia Upigaji Fedha Kigoma, Aunda Timu Ya Uchunguzi – Video

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema atapeleka timu maalum ya uchunguzi wilayani Kigoma ili ifanye uchunguzi wa fedha zinazopotea kinyemela kupitia...

READ MORE

Wanafunzi Saba wa Sekondari Mbaroni Kwa Kuwafanyia Wanafunzi wa Msingi Mtihani wa la 7

Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza limewahoji watu saba kwa tuhuma za kosa la udanganyitu wa mitihani ya darasa la...

READ MORE

Tanzania Yapanda viwango vya ubora wa FIFA kwa mwezi Septemba

Tanzania imepanda kwa nafasi mbili kwenye viwango vya ubora wa Shirikisho la Vyama vya Mpira wa Miguu Duniani (FIFA) kwa...

READ MORE

Rais wa zamani wa CAR aliyetoroka ahukumiwa kifungo cha maisha jela

Rais wa zamani wa Jamhuri ya Afrika ya Kati aliye uhamishoni, Francois Bozizé, amehukumiwa kifungo cha maisha jela na mahakama...

READ MORE

Kocha Simba Aukubali Mziki Wa Yanga

KOCHA wa zamani wa Simba, Jamhuri Kihwelo ‘Julio’ ameibuka na kutamka kuwa, Yanga ni bora kwa sasa kutokana kiwango bora...

READ MORE

Habari Kubwa Za Magazeti Ya Tanzania Leo Jumamosi, Septemba 23, 2023

HAPA tumekusogezea kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Septemba 23, 2023 CHOTA MAPENE ndiyo...

READ MORE

Wanafunzi 9 Walioanza Elimu Ya Msingi Chini ya Mti Wamkosha Mbunge Ole Lekaita

Mbunge wa Jimbo la Kiteto Mhe Edward Ole Lekaita amekoshwa na wanafunzi 9 ambao wamehitimu elimu ya msingi (Darasa la...

READ MORE

GGML yatoa msaada wa vifaa tiba kuboresha afya Geita

NA MWANDISHI WETU KATIKA jitihada za kuendelea kuboresha sekta ya afya mkoani Geita, Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML)...

READ MORE

ATCL Yasitisha Safari za Tanzania Kwenda Guangzhou Nchini China hadi Oktoba

Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL) imesitisha safari za Tanzania kwenda Guangzhou nchini China hadi Oktoba 16, 20213 kutokana na suala...

READ MORE

Gamondi Awataja Mzize, Musonda Yanga Kisa Fiston Mayele

KOCHA Mkuu wa Yanga, Miguel gamondi, ameweka wazi kuwa, watu wengi waliona kuwa timu yake ingeweza kupata shida bila ya...

READ MORE

Majaliwa: Iwapo Rais Samia Anasikiliza Kero Za Wananchi, Ninyi Ni Akina Nani

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema kama Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan anafanya ziara na kusilikiliza kero za wananchi, haoni ni...

READ MORE

Kisa Power Dynamos… Mbrazili Apangua Kikosi Simba

WAKIJIANDAA kuvaana na Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu Bara utakaopigwa leo Alhamisi, Kocha Mkuu wa Simba Mbrazili, Roberto...

READ MORE

Sababu za Wapenzi Wengi Kuchepuka Zipo Hapa

MPENZI msomaji wangu, kasi ya kusalitiana kwa wapenzi imekuwa ikiongezeka kila kukicha kiasi kwamba unapoingia katika uhusiano wa kimapenzi unahisi...

READ MORE

Mchengerwa Amsimamisha Kazi Mkurugenzi Mtendaji wa Wilaya ya Busega

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mohamed Mchengerwa amemsimamisha kazi Mkurugenzi Mtendaji wa...

READ MORE

Luis Miquissone na Saidi Ntibazonkiza ‘Kuna Namna Simba

VIUNGO wawili wa Simba, Luis Miquissone na Saidi Ntibazonkiza ‘Saido’ chini ya Kocha Mkuu, Roberto Oliveira kuna namna wanazidi kuiva...

READ MORE

Google Yashtakiwa Kwa Kumpoteza Mtu Ramani na Kupelekea Kifo – Video

Kampuni ya Google imeshtakiwa na Familia ya Philip Paxson ambaye kwa kufuatia ramani za Google aliendesha gari kwenye daraja lililoanguka...

READ MORE

Afrika Kusini na Marekani Kuanza Kujaribu chanjo mpya ya ugonjwa wa Ukimwi

Afrika Kusini na Marekani zinatarajia kuanza kujaribu chanjo mpya ya ugonjwa wa Ukimwi na tayari wamekwisha anza kuwaandikisha watu kushiriki...

READ MORE