×

Kane: Nimefuata Makombe Bayern Afunguka Katika Mahojiano Maalum

MSHAMBULIAJI mpya wa Bayern Munich, Harry Kane amesema amejiunga na klabu hiyo kwa sababu anaona kuna ukaribu wa kushinda makombe...

READ MORE

Harmonize Ft Ruger – Single Again Remix (Official Music Video)

MSANII wa Bongo, Rajab Abdul Kahali maarufu kama Harmonize au Harmo Ameachia Remix ya Single Again  amemshirikisha Ruger.

READ MORE

Yassine Bounou Ajiunga na miamba ya Saudi Arabia Akitoka Sevilla ya Uhispania

Mmoja wa mashujaa wa Afrika kwenye kombe la Dunia 2022, Mmoroco Yassine Bounou almaarufu Bono amejiunga na miamba ya Saudi...

READ MORE

RC Albert Chalamila Avunja Uongozi wa Soko la Ndizi Mabibo, Zomeeeni Muone – Video

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amevunja Uongozi wa Soko la Ndizi Mabibo na kuwaagiza Jeshi la...

READ MORE

NMB, Vodacom wazindua kampeni ya ‘Miliki Simu – Lipa Mdogo Mdogo’

Benki ya NMB, kwa kushirikiana na Vodacom na Google, wamezindua kampeni ya ‘Miliki Simu, Lipa Mdogo Mdogo’, inayowezesha watanzania wa...

READ MORE

Tabia 8 Za Wapenzi Wenye Pendo La Dhati

MAPENZI ni hisia. Unapompata mtu akakupenda kwa dhati, ni vigumu sana kuyatambua mateso ya wengine wanayopitia kwenye mahusiano yao. Wapendanao...

READ MORE

Kimbunga Hilary kugonga California mwishoni mwa wiki kikitokea Mexico

Kituo cha kitaifa cha vimbunga hapa Marekani kimesema Alhamisi kwamba kimbunga Hilary kimeongeza kasi na kufikia kiwango cha pili karibu...

READ MORE

Kamati ya Bunge yaridhishwa na Mwenendo wa Mfuko wa Taifa wa Maji

Waziri wa Maji, Jumaa Aweso (Mb) amewasilisha taarifa ya utendaji wa Mfuko wa Taifa wa Maji (NWF) kwa kipindi cha...

READ MORE

Mwenyekiti wa CCM na Rais Dkt. Samia Aongoza Kikao Maalum Cha Kamati Kuu

Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan leo tarehe 17 Agosti...

READ MORE

Mama Lishe Aondoka Na Milioni Moja Ya Tigo Chawote, Wengine Nao Wajizolea Milioni Milioni Zao

Dar es Salaam, 17 Agosti 2023: Ikiwa ni mwendelezo wa kampeni ya chawote ya kampuni ya tigo mpaka sasa imefikia...

READ MORE

Kamati Ya Amani Dar, Yawaasa Watanzania Kutoshawishiwa Kuvuruga Amani

Dar es Salaam, 17 Agosti 2023: Kamati ya Amani mkoa wa Dar es Salaam inayoongozwa viongozi wa dini ya kiislamu...

READ MORE

Straika La Caf Laipa Ubingwa Yanga Baada ya kupoteza Ngao ya Jamii

MSHAMBULIAJI wa zamani wa Yanga, Fiston Kalala Mayele amesema kuwa licha ya Yanga kupoteza kwa kushindwa kubeba Ngao ya Jamii...

READ MORE

TAMWA Yawanoa Waandishi Kuhusu Kuripoti Habari za Magonjwa ya Mlipuko

  Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake Tanzania (TAMWA) kwa kushirikiana na Taasisi ya AVAC, leo Agosti 17, 2023 kimewakutanisha...

READ MORE

TRA: Hatuhusiki na Ufungaji wa Bar ya The Cask Bar & Grill Jijini Mwanza

Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imesema haijahusika kwa namna yoyote na ufungaji wa The Cask Bar & Grill ya iliyopo...

READ MORE

Seneta na Watu Wengine 3 Wakamatwa Kwa Ubadhirifu wa Tsh Bilioni 19 za Ufadhili wa Wanafunzi

SENETA wa Uasin Gishu, Jackson Mandago, na Watu wengine 3 wanakabiliwa na Mashtaka 11, ikiwa ni pamoja na Wizi na...

READ MORE

Chuma Hiki Kinakuja Simba Kutoka Klabu ya ASKO Kara ya Togo

SIMBA bado iko sokoni na sasa imepanga kumshusha kiungo mkabaji, Efoe Novon raia wa Togo huku wakipanga kumtoa kwa mkopo...

READ MORE

Kesi dhidi ya Trump na wenzake 18 kuanza kusikilizwa Machi 4 mwaka ujao mjini Atlanta

Muongoza mashitaka wa jimbo ka Georgia Fani Willis Jumatano ametangaza tarehe ya kusikilizwa kwa kesi ya kuingilia uchaguzi wa 2020...

READ MORE

Masudi Alizaliwa Mweusi Akapata Ulemavu Wa Ngozi, Akasakwa Auawe Na Baba’ke -Video

Kupitia Kipindi cha #Konayamtaa, kijana Masoud Shaaban @therealwhitekid amefunguka jambo linaloshangaza kwamba licha ya kuwa na ulemavu wa ngozi, kijana...

READ MORE

Bosi Wa Waamuzi Avunja Ukimya Utata wa Mikwaju iliyopigwa na wachezaji wa Yanga

ALIYEKUWA Mwenyekiti wa Kamati ya Waamuzi, Salum Umande Chama, amevunja ukimya kutokana na utata uliojitokeza muda mfupi baada ya kumalizika...

READ MORE

Diamond Platnumz ft Koffi Olomide – Achii (Official Music Video)

Diamond Platnumz; ni supastaa wa muziki wa Kizazi Kipya nchini Tanzania ameachia video ya Achii! amemshirikisha Koffi Olomide.

READ MORE