×

Mke Wa Rafiki Yake Afia Getoni Kwake, Apewa Kesi Ya Mauaji Na Kusota Jela Miaka 9, Mwenyewe Asimulia – Video

Kijana aliyejitambulisha kwa jina la Tumaini Chilu amesimulia kisa cha yeye kumwachia rafiki yake chumba (geto) ili apumzike na mchumba...

READ MORE

Wawili Wauwawa Kwa Kupigwa Risasi Katika Siku Ya Tano Ya Maandamano Katika Mji Wa Cape Town

Polisi wanasema mtu mmoja aliuwawa na wengine watatu kujeruhiwa kwa risasi Jumatatu karibu na uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa...

READ MORE

Bashe aweka historia Samia akizindua program uchimbaji visima 67800

NA MWANDISHI WETU RAIS Samia Suluhu Hassan leo Jumanne amezindua programu ya uchimbaji wa visima kwa ajili ya wakulima wadogo...

READ MORE

Tusiruhusu Viongozi wa Nchi Yetu Wakatwezwa Utu Wao-Dkt Biteko

Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi Mhe Dkt Doto Mashaka Biteko (Mb) ambaye pia ni Waziri wa Madini...

READ MORE

Rais Samia: Hongereni NMB kwa mchango Wenu Katika Sekta ya Kilimo!

Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameipongeza Benki ya NMB kwa mchango uliotukuka kwenye Sekta...

READ MORE

Maxi, Konkoni Wampasua Kichwa Kocha wa Yanga

KOCHA Mkuu wa Yanga, Miguel Gamondi raia Argentina, amefichua kuwa, licha ya kucheza michezo ya ndani ya kirafiki, lakini bado...

READ MORE

Straika Mpya Yanga Atuma Ujumbe Mzito Simba

MSHAMBULIAJI mpya wa Yanga, Mghana, Hafiz Konkoni amebainisha kwamba, ana furaha kujiunga na timu hiyo, huku akisema ana deni kubwa...

READ MORE

Wakulima waanika faida matumizi mfumo T-HAKIKI, waita wenzao kujisajili

Na Mwandishi Wetu, Mbeya WAKULIMA wa mikoa ya Nyanda za Juu wametoa wito kwa wakulima wenzao wa mazao mbalimbali kujisajili...

READ MORE

Kamati ya Bunge Yatembelea Banda la NMB NaneNane jijini Mbeya

Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo, imetembelea Banda la Benki ya NMB katika Maonesho ya...

READ MORE

Pamba jiji fc yapata udhamini wa jezi

Kaimu Mkurugenzi wa jiji la Mwanza Frank Mvati (Katikati) akiwa na wakurugenzi wa Netsports baada ya kusaini mkataba  huo. KAMPUNI...

READ MORE

Msanii wa Muziki wa Injili, Gladness Mwanga Aachia Ngoma Mpya, Kaa Nami

  Miongoni mwa Wasanii chipukizi wa Injili wanaofanya vizuri kwa sasa ni pamoja na Gladness Mwanga ambaye anatamba na kibao...

READ MORE

GGML Yadhibitisha Dhamira Yake ya Kuendeleza Wahandisi Wanawake

NA MWANDISHI WETU KAMPUNI ya AngloGold Ashanti – Geita Gold Mining Limited (GGML), imeahidi kushirikiana na Serikali ya Tanzania na...

READ MORE

#Exclusive: Denzel Trainer Wa Alikiba Afichua Ya Kajala Wakiwa Gym -”Kuna Mipaka, Sio Jambo Baya” – Video

Kupitia #ExclusiveInterview na @imeldamtema, Global TV imefanya mahojiano na Denzel, mwalimu wa mazoezi wa Rais Mstaafu, Jakaya Kikwete na mastaa...

READ MORE

Penzi La Bibi Miaka 60 Na Kijana Laingia Doa, Waachana Kisa Video Iliyovuja | Mapito – Video

Lile penzi lililozua mijadala kwenye mitandao ya kijamii kati ya kijana mwenye umri wa miaka 27 na bibi mwenye umri...

READ MORE

Wanasheria, wanasiasa washinikiza kamera ziruhusiwe ndani ya chumba cha mahakama kwenye kesi za Trump

Wakili wa Trump John Lauro alisema angependelea kesi ionyeshwe kwenye runinga lakini alisisitiza kuwa hayo yalikuwa maoni yake binafsi Wito...

READ MORE

Rais Samia Alivyopigiwa Shangwe Uwanja Wa Mkapa (Picha +Video)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Wachezaji wa timu ya...

READ MORE

Kiongozi Wa Upinzani Wa Senegal Alazwa Hospitalini Baada Ya Kususia Chakula Akiwa Jela

KIONGOZI wa upinzani wa Senegal Ousmane Sonko, ambaye amekuwa akisusia chakula wakati akiwa gerezani kama njia ya kulalamikia mashitaka ya...

READ MORE

Mkuu wa Mkoa wa Mbeya azindua NMB ‘Onja Unogewe’ kwa Mkoa wa Nyanda za Juu

Mkuu wa Mkoa wa Mbeya – Mhe. Juma Homera amezindua rasmi Kampeni ya Onja Unogewe inayoendeshwa na Benki ya NMB...

READ MORE

Wakulima Wanufaika Na Simu Janja Za Tigo Kwa Buku Tu

KAMPUNI ya Simu za Mkononi ya Tigo imekuja na njia ya kidigitali ya kumrahisishia mkulima kujifunza namna ya uzalishaji wa...

READ MORE

Katibu Mkuu Kiongozi Aipongeza TADB Kwenye Maonesho Ya NaneNane

Katibu Mkuu Kiongozi Dkt. Moses Kusiluka, ametembelea banda la Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) kwenye maonesho ya NaneNane...

READ MORE