×

Aggy Simba Aibua Mjadala Kuhusu Hatma ya Simba Msimu Huu – Video

Shabiki wa soka nchini, Aggy Simba ameeleza kuwa Simba hii ni Simba ambayo ipo vibaya kwa msimu huu. Sababu zinazoweza...

READ MORE

Marekani Kuunga Mkono Shambulio la Israel Vs Iran, Mazungumzo ya Nyuklia Yafeli

  Rais wa Marekani Donald Trump alimwambia Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu mwezi Desemba kwamba angeunga mkono mashambulizi ya...

READ MORE

Exim Yatangaza Washindi wa Kampeni ya ‘Chanja Kijanja, Dili Ndio Hili’ na Kufanya Makabidhiano ya Zawadi

Benki ya Exim Tanzania imehitimisha rasmi kampeni yake ya ‘Chanja Kijanja, Dili Ndio Hili’ kwa hafla ya kukabidhi zawadi kwa...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Feb 17, 2025

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa Publishers...

READ MORE

Mawaziri Wakutana Lushoto Kutafuta Suluhu ya Migogoro ya Wananchi Tanga

  Mawaziri saba (7) wa kisekta  wakiwa na mwenyeji wao ambaye ni Waziri  wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu-TAMISEMI Mhe. ...

READ MORE

Mwanasheria Mkuu wa Serikali Aongoza Zoezi la Kutoa Huduma za Kisheria Kwa Wananchi

Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Mhe. Hamza S. Johari amewaongoza Mawakili wa Serikali kutoa huduma za ushauri wa Kisheria kwa wananchi...

READ MORE

Video: Ghasia Zaibuka Israel, Waandamanaji Wakabiliana Na Polisi

    Ghasia kubwa zililipuka katika mji wa Bnei Brak, Israel, baada ya waandamanaji wa jamii ya Kiyahudi wa Kiharedi...

READ MORE

Bolt Yatoa Ufafanuzi Kuhusu Kamisheni Na Punguzo La Nauli Kwenye Mfumo Wake 

Dar es Salaam, Februari 16, 2026, Kampuni inayoongoza kwa huduma za usafiri mtandao nchini, Bolt, imekutana na waandishi wa habari...

READ MORE

Gamondi Asaini Mkataba wa Miaka Miwili Kuinoa Taifa Stars – Video

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Paul Makonda, ameweka wazi kuwa, Kocha Miguel Gamondi amesaini rasmi mkataba wa miaka...

READ MORE

Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba Akagua Mradi wa Maji – Korogwe, Tanga

WAZIRI MKUU Dkt Mwigulu Nchemba amekagua Mradi wa Maji wa Miji 28 unaoendelea kujengwa wilayani Korogwe mkoani Tanga kwa thamani...

READ MORE

Arsenal Yasasa Sio Ajali, Ni Kiwango Bora Walichonacho

Je unajua kuwa Arsenal mpaka hapa walipofika si kwa bahati mbaya?. Haya ni matokeo ya uwekezaji mkubwa ambao wamefanya kwenye...

READ MORE

RC Chalamila Azindua Kliniki ya Sheria Jijini Dar es Salaam

Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali kwa kushirikiana na Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, imezindua Kamati...

READ MORE

Fahamu Maajabu ya Bentley: Magari ya Kifahari Yanayovutia Wapenzi wa Kasi

Bentley Continental GT inatengenezwa na Bentley Motors, kampuni ya magari ya kifahari yenye makao yake makuu huko Crewe, Uingereza. Kwa...

READ MORE

Diamond Ashangaza Mashabiki kwa Kumpongeza Kiredio na Vee Dollarz

Msanii nyota wa Bongo Fleva na Mkurugenzi Mtendaji wa WCB Wasafi, Diamond Platnumz, ameshangaza mashabiki wake baada ya kumpongeza mtangazaji...

READ MORE

Ingia Kwenye Ulimwengu wa Vaso Psycho, Ushindi Uliopitiliza Matarajio

Fursa mpya imewasili kwa wapenzi wa michezo ya mtandaoni kupitia Vaso Psycho, toleo la kipekee kutoka Expanse linalopatikana kwanza na...

READ MORE

Ukiwa na Tabia Hizi, Mwanaume Lazima Akukimbie!

MUNGU ni mwema wapenzi wasomaji wa safu hii. Jumatatu nyingine tena tunakutana na kuweza kupeana darasa la uhusiano. Kujifunza ni...

READ MORE

G Nako wa Weusi Aachia Video Mpya ya ‘Kula Bia’ – Video

Msanii wa Bongo Fleva kutoka Weusi, George Sixtus Mdemu, anayejulikana kwa jina la sanaa G Nako, ameachia video ya wimbo...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Feb 16, 2025

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa Publishers...

READ MORE

NMB Yaitangaza Sekta ya Madini ya Tanzania Nchini Afrika Kusini

Waziri wa Madini wa Tanzania, Anthony Mavunde, akizungumza wakati wa Kongamano la Uwekezaji katika Mnyororo wa Thamani wa Madini Tanzania,...

READ MORE

Rais Samia Awasili Zanzibar Baada ya Kushiriki Mkutano wa AU

Rais wa Samia Suluhu Hassan, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, amewasili Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Abeid Amani Karume...

READ MORE