×

Majaliwa: Diaspora Tunzeni Heshima Ya Tanzania Zungumzieni Fursa Zilizopo Nyumbani

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka wanadiaspora wa Tanzania wazingatie sheria za nchi wanazoishi ili waendelee kutunza heshima ya nchi yao....

READ MORE

Chama Kikuu cha Upinzani Chavunjwa Senegal

Serikali imekivunja chama kikuu cha upinzani nchini Senegal kinachojulikana kama PASTEF, baada ya kuzuiliwa kwa kiongozi wake, Ousmane Sonko. Waziri...

READ MORE

Kibegi cha Simba Kilichokwea Kilimanjaro Chaingiza Tsh Milioni 29

  Klabu ya Simba imefanya mnada wa KIBEGI kilichokwea kileleni mlima Kilimanjaro pamoja na jezi zilizokuwa na majina ya Viongozi...

READ MORE

#Exclusive: Duma Afichua Alivyooza Mkono Kimaajabu Hadi Akafanyiwa Oparesheni – ”Walitoa Nyama”…

Msanii wa Bongo Muvi,Duma ameweka wazi kuwa popote atakapokutana na msanii mwenzie Gabo, asimsalimie wala kumpa mkono, kwa sababu walishaamua...

READ MORE

Uongozi wa kijeshi nchini Niger unaishtumu Ufaransa kutaka kumrejesha rais aliyeondolewa madarakani

Uongozi mpya wa kijeshi nchini Niger Jumatatu umeishutumu Ufaransa kutaka ‘kuingilia kati kijeshi’ ili kumrejesha madarakani Rais aliyeng’atuliwa Mohammed Bazoum,...

READ MORE

Airtel Yazindua Airtel Vikoba Kidigitali

*Inapatikana kwa wateja wote wa Airtel Money *ni kwa kushirikiana na Benki ya TCB kupitia kauli mbiu isemayo ‘Tubebane Pamoja’....

READ MORE

NMB Yadhamini Maonesho ya Nane Nane Kwa Mil. 80/-

  Kwa kuthamini mchango wa kilimo katika ukuaji wa uchumi nchini, Benki ya NMB imedhamini Maonesho ya Nane Nane kwa...

READ MORE

Future Face, Millen Magese Kusaka Mwanamitindo Wa Kimataifa

FUTURE Face kwa kushirikiana na Mwanamitindo wa kimataifa, Millen Happiness Magese inawaletea Shindano kubwa zaidi la  kimataifa la kusaka wanamitindo...

READ MORE

Prof. Carolyne Nombo Ameitaka COSTECH Kuwa na Mfumo Mathubuti wa Kuratibu Tafiti

Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Carolyne Nombo ameitaka Tume ya ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH) kuwa...

READ MORE

Dkt. Gwajima Azindua Mradi wa kanzi data ya maarifa (CSO KNOWLEDGE HUB)

Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Dkt. Dorothy Gwajima ameitaka Taasisi ya Mashirikia Yasiyo ya Kiserikali...

READ MORE

Mbunge Shigongo ,Tabasamu Waisambaratisha ,Chadema, CUF Buchosa.

Wabunge wa Chama cha Mapinduzi (CCM ) Wilayani Sengerema Mkoa wa Mwanza Eric Shigongo wa Jimbo la Buchosa na Hamis...

READ MORE

Uwanja Wa Amaan Zanzibar Wakaguliwa Maandalizi Ya AFCON 2027

Timu ya Wakaguzi ya utayari wa nchi za Kenya, Uganda na Tanzania kuhusu utayari wao wa kuwa wenyeji AFCON 2027,...

READ MORE

Mbunge Wa Wanawake Dar Aja Na ‘Tisha Mama Award’ Ukombozi Wa Mwanamke

Dar es Salaam, 30 Julai 2023: Mbunge wa Viti Maalum Wanawake jijini Dar es Salaam, Janeth Mahawanga amezindua taasisi ya...

READ MORE

Baada ya Kuchekwa Sana Kisa Siolewi, Hatimaye Nimefunga Ndoa Nikiwa na Miaka 40

Jina langu ni Frida, mkazi wa Tabata, Dar es Salaam, nafanya kazi ya uhasibu. Nimefanya kazi hii kwa miaka 15,...

READ MORE

Robertinho Awachambua Mastaa Simba Walio Kambini Uturuki

ROBERTO Oliveira ‘Robertinho’, Kocha Mkuu wa Simba, amesema mastaa wake wote walio kambini Uturuki, wamezidi kuimarika kutokana na maandalizi wanayoendelea...

READ MORE

Ukarabati Uwanja Wa Mkapa: Sababu, Mantiki Na Umuhimu

BAADA ya Serikali kutangaza gharama za ukarabati wa Uwanja wa Benjamin Mkapa zilizokadiriwa kufikia shilingi bilioni 31, baadhi ya wadau...

READ MORE

Muasisi Kampuni Ya Ticts ‘Karamagi’ Afunguka Uwekezaji Bandari Ya Dar – Video

Muasisi wa Kampuni ya TICTS ambae ni Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Kagera, Nazir Karamagi amesema anaunga...

READ MORE

Fabrice Ngoma Aipa Jeuri Simba, Ahmed Ally Atamba ni wa Kipekee

WAKATI Simba wakiwa nchini Uturuki kwenye maandalizi ya msimu ujao wa 2023/24, taarifa njema ni kuhusiana na kiungo wao mpya,...

READ MORE

Miguel Gamondi Afanya Mapinduzi Yanga, Fiston Mayele Atajwa

KOCHA mpya wa Yanga, Miguel Angel Gamondi, kwa sasa yupo AVIC Town, Kigamboni, Dar, akikisuka kikosi cha timu hiyo, huku...

READ MORE

Waziri Mkuu Awapongeza Watanzania Walioshiriki Kongamano La Uchumi Urusi

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewapongeza wafanyabiashara 19 kutoka Tanzania ambao walishiriki maonesho ya kibiashara kwenye Jukwaa la Kimataifa la Uchumi...

READ MORE