×

Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa SADC Ngazi ya Wataalamu Waanza Nchini Angola

Tanzania inashiriki Mkutano wa 43 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) uliofunguliwa...

READ MORE

Jaji wa serikali kuu anayesimamia kesi ya Trump aamuru mawakili wake kufika mahakamani Ijumaa

TRUMPTRUMP Waendesha mashitaka walisema wanapatikana wiki nzima, huku mawakili wa Trump wakiomba kuahirishwa hadi mapema wiki ijayo. Jaji wa serikali...

READ MORE

Wafanyakazi Waishukuru Serikali Kuanzisha Mfuko wa WCF

WAFANYAKAZI wameipongeza Serikali kwa uamuzi wake wa kuanzisha Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF) kwani ni msaada mkubwa kwa waajiri...

READ MORE

Amsha Mzuka na shilingi Milioni moja na Smartphone kutoka Parimatch

Zikiwa zimesalia siku chache kuanza kwa msimu mpya wa michuano ya kabumbu ulimwenguni kote, Kampuni ya michezo ya kubashiri Parimatch...

READ MORE

JKT kuwanoa vijana wa BBT kwa mwezi mmoja

WAZIRI wa Kilimo, Hussein Bashe amesema zaidi ya vijana 800 wanaotarajiwa kuhitimu mafunzo ya BBT mwaka huu wanatarajiwa kunolewa kuhusu...

READ MORE

Ruvuma kinara uzalishaji mazao ya nafaka

  Rais Samia Suluhu Hassan akimkabidhi tuzo Mkuu mkoa wa Rukwa, Charles Makongoro Nyerere baada ya mkoa huo kushika nafasi...

READ MORE

Bashe ataja sababu za mauzo nafaka nje kuzidi kupaa

WAZIRI wa Kilimo, Hussein Bashe amesema mauzo ya nafaka nje ya nchi yameongezeka kutokana na kuongezeka kwa uzalishaji nchini. Bashe...

READ MORE

Ruzuku ya mbolea yawatia moyo wakulima

Hatua ya Serikali kutoa ruzuku ya mbolea kwa Wakulima imeonesha matokeo chanya kwenye uzalishaji wa mazao ya kilimo nchini. Hayo...

READ MORE

Uzalishaji wa chakula nchini waimarika

Tanzania imezidi kujidhatiti katika kuzalisha chakula kutoka tani 17,148,290 mwaka 2021/202/ hadi kufikia tani 20,402,014 mwaka 2023. Hayo yameelezwa na...

READ MORE

#Exclusive: Denzel Trainer Wa Alikiba Afichua Mazito Ya Kajala Wakiwa Gym -Video

 Denzel ni Trainer wa Alikiba ambaye ameweka wazi kuwa Alikiba ndiye alimkutanisha na Rais Mstaafu wa Tanzania Jakaya Mrisho...

READ MORE

Vijana 420 wawezeshwa kutengeneza vihenge kuthibiti sumu kuvu

NA MWANDISHI WETU JUMLA ya vijana 420 kutoka Tanzania Bara na Visiwani wanatarajiwa kujiajiri kupitia mafunzo waliyopatiwa na Serikali kwa...

READ MORE

Kocha Aikoleza Kombinesheni Ya Onana, Ngoma Simba

KOCHA Mkuu wa Simba, Mbrazili, Roberto Oliviera ‘Robertinho’ amesema anataka kuona timu yake ikipata ushindi wa mabao mengi zaidi, huku...

READ MORE

Pesa Ya Vikoba Yaondoa Uhai Wa Mtu Arusha, Mama Ajinyonga Kisa Marejesho, Aacha Simanzi…

Hali ya sintofahamu imeibuga jijini Arusha baada ya mwanamke mmoja ambaye jina lake halijafahamika amedaiwa kujinyonga kwa kile kinachodaiwa kuwa...

READ MORE

Sopu, Prince Dube Waongezewa Makali Kuitungua Yanga Mkwakwani, Tanga

WAKIWA wanajiandaa kuikabili Yanga katika mchezo wa Ngao ya Jamii, mastaa wa Azam FC, Prince Dube na Abdul Suleiman ‘Sopu’...

READ MORE

NMB na Kampuni ya Agricom Africa, Kushirikiana Kuwezesha Ukuaji wa Kilimo Kwa Wakulima

Benki ya NMB na Kampuni ya Agricom Africa, wamewahakikishia wakulima nchini, kwamba ushirikiano baina ya taasisi hizo ndio mkombozi wa...

READ MORE

#Exclusive: Jesca Kitambaa Cheupe Afichua Kufilisika, Kulala Rumande Kisa Baa – Video

Mwanadada Jessica Kikumbi @jessicakikumbi ambaye ni Mkurugenzi wa Kampuni ya Kitambaa Cheupe inayomiliki baa kubwa jijini Dar es Salaam, amesema...

READ MORE

Jux Ft Diamond Platnumz – Enjoy (Official Video)

STAA wa Bongo Fleva, Juma Jux , ameachia video yake ya ‘Enjoy’  ambayo kamshirikisha supastaa wa muziki wa Kizazi Kipya...

READ MORE

Mke Wa Rafiki Yake Afia Getoni Kwake, Apewa Kesi Ya Mauaji Na Kusota Jela Miaka 9, Mwenyewe Asimulia – Video

Kijana aliyejitambulisha kwa jina la Tumaini Chilu amesimulia kisa cha yeye kumwachia rafiki yake chumba (geto) ili apumzike na mchumba...

READ MORE

Wawili Wauwawa Kwa Kupigwa Risasi Katika Siku Ya Tano Ya Maandamano Katika Mji Wa Cape Town

Polisi wanasema mtu mmoja aliuwawa na wengine watatu kujeruhiwa kwa risasi Jumatatu karibu na uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa...

READ MORE

Bashe aweka historia Samia akizindua program uchimbaji visima 67800

NA MWANDISHI WETU RAIS Samia Suluhu Hassan leo Jumanne amezindua programu ya uchimbaji wa visima kwa ajili ya wakulima wadogo...

READ MORE