×

Rais wa Misri Amsamehe Mwanaharakati wa Haki za Binadamu Patrick Zak

Rais wa Misri Abdel Fattah al-Sisi amemsamehe mtafiti wa haki za binadamu Patrick Zaki, siku moja baada ya kuhukumiwa kifungo...

READ MORE

Yanga Wana Balaa! Washusha Kiungo Mshambuliaji Wa ASEC ‘MVP’ – Video

Klabu ya Yanga imethibitisha kukamilisha usajili wa kiungo Zouzoua Pacome (26) raia wa Ivory Coast kutoka Asec Mimosas kwa Mkataba...

READ MORE

#Exclusive: Jenipha Kanumba Afunguka Kuhusu Mpenzi Wake – ”Natamani Kuwa Na Mbaba”….

Msanii wa Bongo Movie Jennifer Kanumba amefunguka mengi kupitia Exclusive za Imelda Mtema Jennifer anadai kuwa trendi ya wadada wa...

READ MORE

Misri Yamuhukumu Kifungo cha Miaka Mitatu jela Mtafiti wa haki za Binadamu Patrick Zaki

Mahakama ya Misri Jumanne ilimuhukumu Patrick Zaki, mtafiti wa haki za binadamu ambaye alikuwa akisoma nchini Italy, kifungo cha miaka...

READ MORE

Washambuliaji Watatu Wamrithi Mayele Yanga Sudi Abdallah Atajwa

YANGA ina mafaili ya washambuliaji watatu wanaowania nafasi moja ya kumrithi mshambuliaji Mkongomani, Fiston Mayele katika usajili huu unaoendelea. Hiyo...

READ MORE

Lissu Atakiwa Kuripoti Ofisi Ya Mkurugenzi Wa Mashtaka Kufuatia Kauli Zake – Video

MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu amedai kuitwa na Ofisi ya Mkuu wa Upelelezi Kanda...

READ MORE

Yanga Yamtangaza Namba 6 Wake Makudubela Almaarufu ‘Skudu’ – Video

Klabu ya Yanga imethibitisha kumsajili winga Mahlatsi Makudubela almaarufu ‘Skudu’ kwa uhamisho huru kutoka klabu ya Marumo Gallants iliyoshuka daraja...

READ MORE

Airtel Money Yaendelea Kuboresha Maisha ya Watanzania

WATEJA  wa Kampuni ya Simu za Mkononi ya Airtel Tanzania, wametakiwa kuendelea kushiriki katika promosheni ya Upige Mwingi na Airel...

READ MORE

TBL Yajitapa Kuimarika Licha Ya Kuwa Na Mazingira Magumu Ya Uzalishaji

Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi, Lenard Mususa akizungumza kwenye mkutano huo. Dar es salaam. Julai19, 2023. Kampuni ya bia (Tanzania...

READ MORE

Rais Hungary Awafungulia Watanzania Milango Nchini Mwake- (Picha +Video)

Rais wa Hungary, Katalin Novák amempa Rais Samia Suluhu mwaliko maalumu wa kuhudhuria kongamano maalumu la Budapest ambalo huwakutanisha viongozi...

READ MORE

Soko Kuu Mwanza kukabidhiwa Septemba, RC Makalla atoa Tahadhari

Mkandarasi Mohammed Buiders anayejenga Soko Kuu la mjini kati ametakiwa kufanya kazi kwa kasi zaidi  kwa lengo la wafanyabiashara waanze...

READ MORE

Bilionea Mohammed Dewji ‘Mo’ Aingilia Kati Sakata La Chama Simba

WAKATI nyota wanne wa Simba wakisafiri jana alfajiri kwenda kambini nchini Uturuki, kiungo mshambuliaji wa timu hiyo, Mzambia, Clatous Chama...

READ MORE

Simba, Yanga… Moto Utawaka Washusha Mashine za Maana

SIMBA na Yanga kwa jinsi ambavyo zimesajili kwa ajili ya kuanza msimu wa 2023/24, basi fahamu kuwa kuna balaa kubwa...

READ MORE

Nabi Atangazwa Kocha wa Mabingwa wa Morocco AS FAR Rabat

Aliyekuwa Kocha wa Yanga, Nasreddine Nabi (57) ametangazwa kuwa kocha wa mabingwa wa Morocco AS FAR Rabat kwa mkataba wa...

READ MORE

Jecha Salum Jecha Afariki Dunia Katika Hospital ya Lugalo Dar

Aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), Jecha Salum Jecha amefariki Dunia katika Hospital ya Lugalo Jijini Dar...

READ MORE

Rais wa Hungary, Katalin Novák, Yupo Tanzania kwa Ziara ya Kikazi ya Siku Nne

Rais wa Hungary, Katalin Novák, amewasili nchini Julai 17, 2023  kwa ziara ya kikazi ya siku nne kuanzia tarehe 17...

READ MORE

Kampuni ya Bia ya Serengeti Yazindua Kampeni Ya ‘Jibambe Kibabe’

KAMPUNI ya bia ya Serengeti Breweries Limited (SBL) imezindua kampeni yake ya kitaifa ‘Jibambe Kibabe’ inayolenga kuchochea uwezeshaji kiuchumi katika...

READ MORE

Mbwana Samatta Asajiliwa PAOK FC ya Ugiriki, Atambulishwa Rasmi Mitandaoni

  Nyota wa soka kutoka Tanzania anayekipiga kimataifa, Mbwana Ally Samatta, amesajiliwa na timu ya PAOK FC ya nchini Ugiriki...

READ MORE

Mke Wangu Amebadilika Mno Baada ya Kujifungua na Kusababisha Nipate Msongo wa Mawazo

  Ndoa yeyote bila ya kuwa na mapenzi ya kweli hukumbwa na misukusuko ya kila aina wakati wowote ule, ni...

READ MORE