×

Kisa Majembe Mapya… Moses Phiri Atoa Tamko Zito Simba

USAJILI mzito ambao unaendelea kufanywa na mabosi wa Simba umemuibua staa wa timu hiyo Mzambia, Moses Phiri ambaye ameweka wazi...

READ MORE

Mapenzi Yanatesa, Usimcheke Anayelia!

KWENYE ulimwengu wa mapenzi kuna baadhi ya watu wamewahi kupagawa. Wengine wakakatisha uhai wao au wa wenza wao au wote....

READ MORE

Gamondi Aifumua Yanga Nje Ndani Azungumza Kuelekea Msimu Mpya

KOCHA mpya wa Yanga, Miguel Gamondi amesema kuwa malengo yake ni kuhakikisha kuwa anawatengeneza wachezaji wake kuweza kucheza zaidi ya...

READ MORE

RC Chalamila Awataka Wananchi Kuheshimu Taaluma Ya Udaktari

Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam mheshimiwa Albert Chalamila amezindua kampeni ya utoaji wa huduma za afya bure(Afya check)...

READ MORE

Vyakula Vya Kuepuka Unapopunguza Unene

HIVI karibuni Shirika la Afya Duniani (WHO), limeonya kuhusu ongezeko la watu wenye unene wa kupitiliza huku wakitaja hiyo kuwa...

READ MORE

App ya Threads Yapata Zaidi ya Watumizi Milioni 500 Tangu Kuzinduliwa Kwake

App mpya ya Threads kutoka kampuni inayomiliki Facebook ya Meta na ambayo inashindana na Twitter imepata zaidi ya watumiaji milioni...

READ MORE

Yanga: Usajili Wa Simba Haututishi, Ally Kamwe Afunguka Kushusha ‘Chuma’

USAJILI ambao unazidi kufanywa na Simba umewaibu Yanga huku wao wakiweka wazi kuwa wala hawatishiki, badala yake wao wanajikita zaidi...

READ MORE

Duchu Asaini Kuitumikia Simba Mpaka 2026

Mlinzi wa kulia, David Kameta ‘Duchu’ amesaini mkataba mpya wa miaka mitatu wa kuendelea kuwatumikia Wekundu wa Msimbazi, Simba SC...

READ MORE

Moi Yatoa Tamko, Aliye Kiss na Mgonjwa Sio Mtumishi wa Moi, Aomba Radhi – Video

Menejimenti ya Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI) inapenda kutoa ufafanuzi kuhusu uvunjifu wa maadili uliyofanywa na mgonwa (jina...

READ MORE

Rais wa Iran Ebrahim Raisi kutembelea nchi tatu za Afrika

Rais wa Iran Ebrahim Raisi ataanza ziara nadra ya nchi tatu za Afrika ikiwa ni hatua mpya ya kidiplomasia ya...

READ MORE

Mainstream Media Yapongezwa Kwa Uwekezaji Kigoma

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Kigoma Ujiji Bi. Mwantum Mgonja ameipongeza Kampuni ya Mainstream Media Limited kwa uwekezaji mkubwa...

READ MORE

wataalamu wa Afya nchini watakiwa kupunguza semina, ili kuhudumia wananchi

Waziri wa Afya, Mhe. Ummy Mwalimu  amewataka wataalamu wa afya nchini kupunguza semina ili kuwa na muda zaidi wa kutoa...

READ MORE

Halotel Yabadili Nembo Yake, Yaahidi Huduma Bora

Katika kuboresha huduma zake za interneti nchini, kampuni ya Halotel imedhamiria kufanya maboresho zaidi katika kupanua wigo kwa wateja wake...

READ MORE

Makalla amtaka mkandarasi kuikabidhi MV Mwanza Agosti

Mkuu wa Mkoa wa Mwanza  CPA Amos Makalla ameitaka Kampuni ya Gas Entec ya Korea Kusini kukamilisha Ujenzi wa Meli...

READ MORE

Mchungaji Mgogo kuwafunda wana-Ndoa Mwanza

MCHANGAJI maarufu hapa nchini Daniel Mgogo anatarajia kuwafunda wanandoa na washiriki wa Mwanza Couple Night Gala kwa lengo la kuimarisha...

READ MORE

Kongamano La Kupima Na Kutibu Afya Ya Akili Kufanyika Uwanja Wa Uhuru Kesho

Dar es Salaam, 10 Julai 2023: Asasi ya Vibes Foundatin kwa kushirikiana na wabobezi wa matibabu ya afya ya akili...

READ MORE

Mkurugenzi wa Jiji la Dar es Salaam Amvua Madaraka Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Kivule

Mkurugenzi wa Jiji la Dar es Salaam Jomari Satura, ameamua kumvua madaraka Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Wilaya Kivule kutokana...

READ MORE

Putin Kuhudhuria Mkutano wa BRICS Nchini Afrika Kusini

Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa amesema Jumapili kuwa mkutano wa kilele wa mwezi ujao wa BRICS, ambao Vladimir Putin...

READ MORE

Rais Samia Aitamani JKT ya Kisasa, Asema Serikali Iko tayari Kusimama nao na Kuwadhamini kwa Kuwapa Mikopo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania hii leo ametinga na mavazi ya kijeshi alipokuwa akiwasili kwenye maadhimisho ya Miaka...

READ MORE

Mshindi wa Simu kutoka Chota Mapene Akabidhiwa Zawadi yake

Ernest Moshiro kutoka Same Kilimanjaro ni miongoni mwa walio pata bahati ya kujishindia zawadi kutoka chota mapene ameendoka na simu...

READ MORE