×

Simba Yaanika Mipango ya Michuano ya CAF Super League

  UONGOZI wa Simba SC, umesema kwa sasa akili zao wanazielekeza kwenye michuano ya CAF Super League na tayari wameshaanza...

READ MORE

Baba Mzazi Wa Lemutuz Ajibu Maswali Magumu – “Kwa Nini Mungu Alimchukua Magufuli Mapema”… Video

Global TV imefunga safari mpaka Mvumi, Dodoma nyumbani kwa mzee John Malecela, waziri mkuu wa zamani na baba wa marehemu...

READ MORE

Yanga: Tunarudi Na Kombe Bakari… Mwamnyeto Awaondoa Hofu Mashabiki

NAHODHA na beki wa kati wa Yanga, Bakari Mwamnyeto, amewaambia Wanayanga waondoe hofu, kwani wanakwenda Algeria kulipa kisasi cha kuwafunga...

READ MORE

Rais Wa Marekani Joe Biden Ajikwaa Na Kuanguka Katika Hafla Ya Colorado – Video

Rais wa Marekani Joe Biden amejikwaa na kuanguka alipokuwa akikabidhi cheti cha diploma katika sherehe ya kuhitimu kwa Chuo cha...

READ MORE

Shamsia Amvaa Waziri Makamba, Atema Cheche – ”Sehemu Inachakatwa Gesi Na Umeme Hakuna”… Video

Mbunge wa Mtwara Vijijini, Shamsia Mtamba (CUF) amesema Waziri wa Nishati, January Makamba ni msikivu kwa sababu alikubali kukaa kikao...

READ MORE

Marekani Yatangaza Vikwazo Dhidi ya Viongozi wa Pande Zinazopigana Sudan

Marekani Alhamisi imetangaza vikwazo dhidi ya viongozi wa Sudan inaowalaumu kwa kukwamisha makubaliano ya kusitisha mapigano yaliyopatikana chini ya juhudi...

READ MORE

Serikali Yakumbushwa Ahadi ya Ujenzi wa Wodi ya Wagonjwa Kituo cha Afya Nyamatongo

Kaimu Mganga Mkuu wa Kituo ya afya Nyamatongo kilichopo wilayani Sengerema Mkoa Mwanza, Stivin Godwin ameiomba serikali kutimiza ahadi ya...

READ MORE

#Exclusive Video: Jokate Afichua Ya Ujauzito Wake, Mtoto Aliyemuokota – ”Ningeweza Kujificha”…

Mkuu Wa Wilaya ya Korogwe, Jokate Mwegelo ameweka wazi kuwa anafurahishwa na kitendo cha yeye kuitwa mama kwani ni steji...

READ MORE

Fei Toto: Tulikubaliana Mkataba Wa Miaka Miwili, Ukaongezwa Mmoja Bila Ridhaa Yangu

KIUNGO mshambuliaji wa Timu ya Yanga, Feisal Salum ‘Fei Toto’ leo  amesema “Nilikaa kwa Saa sita na Kiongozi wangu wa...

READ MORE

Mike Pence Kutangaza Kugombania urais wa Marekani wiki ijayo Jimboni Iowa

Makamu wa rais wa zamani wa Marekani, Mike Pence, atazindua kampeni yake ambayo ilikuwa ikitarajiwa ya kuwania uteuzi wa chama...

READ MORE

Fei Toto: Hersi Akiondoka Yanga Narudi Klabuni Hata Sasa Hivi

KIUNGO mshambuliaji wa Timu ya Yanga, Feisal Salum ‘Fei Toto’ leo akifanya mahojiano na kituo kimoja cha redio amesema “Kabla...

READ MORE

Straika Kiboko wa Yanga Aandaliwa Mkataba Simba

IMEELEZWA kwamba, mshambuliaji wa Vipers, Milton Karisa, atakuwa mchezaji wa kwanza kusajiliwa na Simba katika kipindi kijacho cha dirisha kubwa...

READ MORE

Hiki Hapa Kikosi cha Wananchi Kinachokwea Pipa Kuelekea Algeria

KIKOSI cha Wananchi, Young Africans SC kinachokwea pipa kuelekea Algeria kwa ajili ya mchezo wa marudiano wa fainali ya kombe...

READ MORE

Marekani: Baraza La Wawakilishi Lapitisha Mswada Wa Kuongeza Muda Wa Serikali Kukopa Fedha

Baraza la Wawakilishi la Marekani Jumatano liliidhinisha sheria ya kusimamisha ukomo wa kukopa kwa serikali, hadi mapema mwaka 2025, hatua...

READ MORE

Real Madrid na Man United Zaongoza Orodha ya klabu Zenye Thamani zaidi Duniani

Manchester United ndio klabu yenye thamani kubwa zaidi katika ligi ya Premier, kulingana na orodha iliyotolewa na tovuti ya biashara...

READ MORE

RC Makalla Ahimiza Ushirikiano Katika Kuwaletea Maendeleo wananchi

Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. Amos Makalla ametoa rai kwa Viongozi na watendaji wa Halmashauri ya Jiji la Mwanza...

READ MORE

Martha Mwaipaja – UNASEMA NINI (Official Video)

Muimbaji wa Nyimbo za Injili hapa nchini Martha Mwaipaja, Ameachia ngoma yake mpya inayokwenda kwa jina la-Unasema Nini.

READ MORE

Waziri January Makamba: Tanzania Ina Uhakika wa Upatikanaji wa Nishati ya Mafuta

  Waziri wa Nishati, January Makamba amesema nchi ina uhakika wa upatikanaji wa nishati ya mafuta kwa muda wa kutosha....

READ MORE

Chivaviro Akataa Sh 300Mil Za Waarab, Atue Yanga

INASEMEKAMANA kuwa, mshambuliaji wa Marumo Gallants ya Afrika Kusini, Ranga Chivaviro, amekataa dau la randi milioni 3 ambazo ni sawa...

READ MORE

Video: Daktari Akataa Jackline Hajatobolewa Jicho Na Hajang’olewa Meno Na Bisibisi – ”Ni Uvimbe Tu”…

Daktari Mathew Gaudence Wa DECCA POLYCLINIC ya Jijini Dodoma amepinga kile kilichoripotiwa na Waandishi wa Habari kuwa mwanamama Jackline Mnkoy...

READ MORE