×

Wabunge wa Marekani waondoka Washington bila maafikiano ya kikomo cha kukopa

Rais wa Marekani Joe Biden alisema Alhamisi kwamba mazungumzo na wabunge wa chama cha Republican ya kuongeza kikomo cha kukopa...

READ MORE

Mashtaka Sita Yanayomkabili Staa wa Yanga Feisal Haya hapa

BARUA ambayo imevuja iliyoelekezwa kwa Feisal Salum Abdalla, Mei 16, 2023 alipokea barua ya malalamiko kutoka kwa uongozi wa klabu...

READ MORE

Waziri Aweso Afanya Ziara ya Kikazi Italia

Waziri wa Maji Mhe Jumaa Aweso amefanya ziara ya kikazi Rome-Italy hivi karibu mwezi Mei mwaka 2023 na kupokelewa na...

READ MORE

Waziri Wa Elimu”Wizara Itaendelea Kushirikiana na Wadau Kuhakikisha Mageuzi ya Elimu Yanafanikiwa

Kwa mara nyingine Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imekutana na Wadau wa Maendeleo jijini Dar es Salaam kuwapitisha, kujadili...

READ MORE

Shule ya Sekondari Kingani Yapewa Msaada wa Kuchimbiwa Visima

  Shule ya Sekondari Kingani iliyopo Bagamoyo, Mkoa wa Pwani, jana imepata faraja kubwa baada kuzinduliwa visima viwili vya maji...

READ MORE

Rais Samia, Museveni Wazindua Mradi wa Umeme wa Kikagati – Murongo (Picha + Video)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,  Samia Suluhu Hassan leo Mei 25, 2023 amezindua Mradi wa Umeme wa Kikagati...

READ MORE

Simba Yamtangaza Mkuu wa Kitengo cha Kusaka Vipaji (Skauti)

Klabu ya Simba imemtangaza Mels Daalder kuwa Mkuu wa kitengo cha kusaka vipaji (Skauti) wa klabu hiyo kuelekea dirisha la...

READ MORE

Baba wa Aliyejirusha Ghorofani Afunguka Aeleza Tukio lilivyokuwa – Video

Global TV imefika nyumbani kwa Joel, mwanaume aliyefariki dunia juzi, Mei 23, 2023 katika kile kinachodaiwa kuwa ni kujirusha kutoka...

READ MORE

Rais Dk. Mwinyi Ahitimisha Ziara Yake Nchini Qatar, Azungumza na Diaspora

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, amehitimisha ziara yake ya siku nne Doha,...

READ MORE

Wakulima wa Ufuta Songwe Wafurahia Ongezeko la Bei ya Zao Hilo Sokoni

  Wakulima wa zao la ufuta mkoa wa Songwe wameanza kuona tija ya kuzalisha zao hilo baada ya kuuza Sh...

READ MORE

Serikali Ya China Yapongezwa Kukuza Somo la Lugha ya Kichina Hapa Nchini

Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa Carolyne Nombo ameishukuru Serikali ya China kwa juhudi inazoonesha katika kuhakikisha...

READ MORE

Marekani: Desantis Atangaza Atawania Uteuzi wa Chama cha Republican ili Kugombea urais

Baada ya miezi kadhaa ya matarajio, Gavana wa Florida nchini Marekani Ron DeSantis aliingia rasmi katika kinyang’anyiro cha mchujo wa...

READ MORE

Straika Aaga Kwao DR Congo, Rasmi Kutua Simba

RASMI mshambuliaji wa AS Vita ya DR Congo, Eric Kabwe ameaga ndani ya timu hiyo huku akiweka wazi hatakuwepo kwani...

READ MORE

Tanzia: Mwanamuziki Tina Turner Afariki Dunia Nchini Uswisi

Nyota huyo mkongwe wa Muziki wa Rock ‘n’ Roll, Tina Turner amefariki nyumbani kwake huko Kusnacht Nchini Uswisi akiwa na...

READ MORE

Yanga Wazua Hofu Kambi ya USM Alger Kuelekea Mchezo wa Fainali ya Kombe la Shirikisho

HOFU ndani ya kambi ya wapinzani wa Yanga, USM Alger, imetanda kuelekea mchezo wa Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika,...

READ MORE

Mfuasi wa Trump Ahukumiwa miaka 4 na nusu Gerezani kwa Kuvamia Bunge

Mtu mmoja kutoka jimbo la Arkansas hapa Marekani aliyepigwa picha akiwa ameweka miguu yake juu ya dawati, katika afisi ya...

READ MORE

Mjane wa Watoto 19 Amliza Afisa Masoko Meridianbet

Mama Mjane mwenye familia ya watoto 19 Mary Masanja amejikuta akimtoa machozi Mkuu wa Masoko na Mawasiliano wa Meridianbet Matina...

READ MORE

Rais Samia Amuapisha Said Mohamed Mtanda Kuwa Mkuu wa Mkoa wa Mara

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amemuapisha Said Mohamed Mtanda kuwa Mkuu wa Mkoa wa Mara,...

READ MORE

Kocha Mkuu wa Simba Atembea Na Faili La Usajili Msimu Ujao

UONGOZI wa Simba, umeibuka na kutamba kuwa, tayari Kocha Mkuu wa timu hiyo, Mbrazili, Roberto Oliveira ‘Robertinho’ tayari ana majina...

READ MORE

Rais Samia Atamani Tanzania Kuwa Mwenyeji Wa Afcon 2027 – Video

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kwa kushirikiana na Kenya na Uganda kupitia Pamoja Bid...

READ MORE