×

Rais Samia Azindua Minara ya Urushaji wa Matangazo ya Televisheni kwa Kutumia Antena

Rais Samia Suluhu Hassan leo Mei 18, 2023 amezindua minara ya mfumo wa urushaji wa matangazo ya televisheni kwa kutumia...

READ MORE

Video: Kesi Ya Kanumba Na Lulu Yaibuka Bungeni – ”Angekuwa Hai Angehukumiwa Kwa Kubaka”…

Mbunge wa Viti Maalum (UVCCM), Munira Mustapha Khatib, ameliibua sakata la waigizaji Elizabeth Michael ‘Lulu’ na marehemu Steven Kanumba bungeni...

READ MORE

Mteja wa Meridianbet Kutoka Temeke Ashinda Milioni 20 na Kasino ya Mtandaoni

Michezo ya kasino ya mtandaoni ipo mingi sana ambayo inatolewa na Meridianbet na moja ya mchezo ambayo wanayo ni Piggy...

READ MORE

Chuo Kikuu Cha UDSM Kuadhimisha Wiki Ya Utafiti na Ubunifu

Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kimeutaarifu umma wa watanzania na kuwaalika wadau wa elimu na maendeleo, kwa ujumla kushiriki...

READ MORE

Serikali Yatoa Ndege kwa Yanga Kuwapeleka Katika Mchezo wa Fainali

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameahidi kutoa Tsh milioni 20 ikiwa klabu ya Yanga itaibuka...

READ MORE

Airtel Yang’aa Maonesho Ya Wadau Wa Mawasiliano Viwanja Vya Bunge Dodoma

Kampuni ya Simu ya mkononi ya Airtel leo imeendelea na maonesho ya baadhi ya Huduma na bidhaa wanazotoa ambapo waheshimiwa...

READ MORE

Unyama Dar! Mjamzito Achomwa Moto Na Mumewe Hadi Kufariki – Video

TUKIO la kutisha limetokea Tandale, Dar es saalam ambapo mwanamke (Hawa) amechomwa moto na mume wake kwa kummwagia mafuta ya...

READ MORE

Rais Samia Ateua Majaji wa Mahakama ya Rufaa

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,  Samia Suluhu Hassan ameteua Majaji wa Mahakama ya Rufaa wafuatao.

READ MORE

Simba Yagomea Ofa Ya Onyango.. Adaiwa Kuandika Barua ya Kuomba Kuondoka

UONGOZI wa Simba, umegomea ofa kutoka Klabu ya Gor Mahia ya nchini Kenya ambayo imeonesha nia ya kumuhitaji beki wa...

READ MORE

Inter Yaweka Rekodi UEFA Yatinga Fainali kwa mara ya Kwanza

INTER Milan imeweka rekodi ya kutinga Fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya kwa mara ya kwanza baada ya kupita miaka...

READ MORE

Safari za Rais Biden za Australia na Papua New Guinea Zimeahirishwa

Rais wa Marekani Joe Biden, Spika wa Baraza la Wawakilishi Kevin McCarthy, na viongozi wengine wakuu wa bunge walionekana kutofikia...

READ MORE

Prince Harry na Meghan wafuatiliwa na waandishi wapigapicha mjini New York

Tukio hilo lilitokea baada ya familia hiyo ilipohudhuria sherehe za tuzo zilizofanyika mjini New York zilizoandaliwa na Ms.Foundation for Women...

READ MORE

FBI Yamshitaki Mwanaume kwa Kuiba Viatu Vilivyovaliwa katika Filamu ya Dorothy -The Wizard of Oz

Waendesha mashitaka nchini Marekani wamemshitaki mwanaume kwa kuiba viatu maarufu za rangi nyekundu vilizovaliwa na muigizaji wa filamu ya The...

READ MORE

Yanga Yatinga Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika Kibabe -Video

HISTORIA Imeandikwa baada ya klabu ya Yanga kuingia fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika kwa mara ya kwanza ikiwa ugenini...

READ MORE

Kamati ya watu 14 Kutoka Serikalini, Wafanyabiashara Yapewa Jukumu la Kumaliza Mzizi wa Fitna

IMEBAINIKA kuwa wafanyabiashara wakubwa wanaokwepa kodi za forodha za kuingiza makontena ya bidhaa kutoka China na baadhi ya wanasiasa ndiyo...

READ MORE

Benki Ya Azania, Selcom Washirikiana Kuboresha Huduma Za Malipo Ya Kidijitali

Dar es Salaam, 18 Mei 2023:Benki ya Azania, inayomilikiwa na mifuko ya hifadhi za jamii nchini leo hii wamezindua rasmi...

READ MORE

ALP Yazindua Ripoti Ya Soko La Pamoja La Afrika ya Mashariki

Dar es Salaam, Mei 18, 2023. Kampuni inayojihusisha na usimamizi wa shughuli za kisheria katika nchi za Afrika ya Mashariki,...

READ MORE

Roulette Kasino ya Mtandaoni Inakupa Ushindi

Unafikiria ni sloti gani au mchezo gani ulipa pesa nyingi kwa mara moja? Usihangaike cheza kasino ya mtandaoni kutimiza matakwa...

READ MORE

Serikali Yashauri Vyama Vya Wafanyakazi Kujiunga TUCTA

Morogoro: Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu imeshauri vyama vya wafanyakazi ambavyo bado havijajiunga na Shirikisho...

READ MORE

LIVE: Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Afika Mnazi Mmoja Kusikiliza Kero za Wafanyabiashara wa Kariakoo

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amefika katika Viwanja vya Mnazi Mmoja Jijini Dar es Salaam kwenye mkutano wake na wafanyabiashara wa...

READ MORE