×

Musonda Awapa Mchecheto TP Mazembe Kombe la Shirikisho Afrika

MSHAMBULIAJI wa Yanga, Mzambia, Kennedy Musonda, amemaliza majukumu yake ya timu ya taifa, na sasa nguvu na akili zake anazielekeza...

READ MORE

Papa Francis Alazwa Hospitalini Akiwa na Maambukizi ya Kupumua

Kiongozi wa Kanisa Katoliki, Papa Francis amelazwa hospitali Jumatano kutokana na maambukizi ya mapafu baada ya kukabiliwa na matatizo ya...

READ MORE

Anayedaiwa Kumuua Mkewe na Kumchoma Kwa Magunia Ya Mkaa Aomba Aachiwe Huru

Mfanyabiashara Khamis Luwonga (38) anayetuhumiwa kumuua mke wake na kisha kuchoma mwili wake kwa magunia ya Mkaa, aneiomba mahakama imuachie...

READ MORE

Tuzo Ya Mwalimu Nyerere ya Uandishi, Ubinifu Kufanyika Aprili

  Kilele cha Tuzo ya Taifa ya Mwalimu Nyerere ya Uandishi Bunifu kinatarajia kufanyika Aprili 13, 2023 Jijini Dar es...

READ MORE

Tanasha Donna Afichua Ishu Ya Kuchumbiwa Baada Ya Kuondoka Nyumbani Kwa Diamond

Mwimbaji wa Kenya, Tanasha Donna amefichua kwamba ameombwa ndoa na mwanaume ambaye hajamuweka wazi. Katika moja ya posti zake za...

READ MORE

Mbrazil Roberto Oliviera ‘Robertinho’ Apitisha Panga Kimya Kimya Simba

KOCHA Mkuu wa Simba Mbrazil, Roberto Oliviera ‘Robertinho’ amepanga kuwapa nafasi wachezaji wote kwa lengo la kuangalia uwezo wa kila...

READ MORE

Osam Aliyegongwa Na Mwendokasi Azungumza Kwa Mara Ya Kwanza, Amwaga Machozi Kwa Uchungu…

Kufuatia kuruhusiwa kwa kijana Osam aliyepata ajali ya kugongwa na basi la mwendokasi kisha video za ajali hiyo kusambaa mtandaoni,...

READ MORE

Rusesabagina Awasili Marekani Baada ya Rwanda Kumuachilia Huru

Paul Rusesabagina, aliyeachiliwa huru na serikali ya Rwanda wiki iliyopita, amewasili Marekani na kuungana ten ana familia yake baada ya...

READ MORE

DC Morogoro Apokea Vifaa Vya Shule, Chuo Cha FDC Kutoka Nmb

Benki ya NMB imekabidhi vifaa vya ujenzi kwa shule ya msingi Sinyaulime na Chuo cha Maendeleo ya Wananchi Bigwa (FDC)...

READ MORE

Makamu wa Rais wa Marekani, Kamala Harris Atua Nchini na Kupokelewa na Dk. Mpango

    Makamu wa Rais wa Marekani, Kamala Harris amewasili nchini Tanzania na kupokelewa na Makamu wa Rais wa Tanzania,...

READ MORE

Jukwa la Wahariri Wampa Tuzo ya Kihistoria Waziri Nape Nnauye

Jukwa la Wahariri Tanzania limempa Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye Tuzo kwa Mchango wake mkubwa...

READ MORE

Promosheni mpya Meridianbet rudisha x100 ya dau lako ukichana mkeka?

Sub-Heading: Pata mizunguko 50 ya bure kucheza sloti na michezo ya kasino ya mtandaoni ukijisajili na Meridianbet. Jisajili kupitia link...

READ MORE

Rais Samia Apokea Taarifa Ya CAG Na Takukuru – Ikulu, Dar Es Salaam – (Picha +Video)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akipokea ripoti ya taarifa za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa...

READ MORE

Baada ya Nigeria Kupigwa Stop, Tanzania, Kenya, Afrika Kusini, Congo Zakaribishwa Dubai

Baada ya Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) kutangaza kuwafungia visa raia wa Nigeria tangu Oktoba, 2022, Bodi ya Utalii...

READ MORE

Shirika la Ndege Nchini (ATCL) Lapata Hasara ya Bilioni 35.2, Reli 31.2 – Video

KAMPUNI ya Ndege Tanzania (ATCL), imepata hasara ya Sh bilioni 35.23 katika mwaka wa fedha 2021/22. Ripoti ya Mdhibiti na...

READ MORE

Wanandoa Washangaza Kwa Kukataa Kupata Watoto Kwenye Ndoa Yao…

WANANDOA wawili kutoka huko Orange County California Marekani Taylor Vasu (28) na mume wake Justin (27) wamejikuta waki-trend maeneo mbalimbali...

READ MORE

Jeshi la Nabi Kamili, Laanza Mikakati ya Kuwazima Mazembe Lubumbashi DR Congo

JESHI la Kocha Mkuu wa Yanga Mtunisia, Nasreddine Nabi juzi liliingia kambini tayari kwa mchezo wa mwisho wa makundi wa...

READ MORE

Video: Mbunge Waitara Amwaga Machozi Kisa Mgogoro wa Ardhi, Awahofia Chadema

Mbunge wa Tarime Vijijini, Mwita Waitara amezungumza na waandishi wa habari Mkoani Dodoma ambapo ameshindwa kujizuia na kumwaga machozi kufuatia...

READ MORE

Makamu wa Rais wa Marekani Kutua Nchini leo Katika Ziara ya Kidiplomasia na Uhusiano wa Kimataifa

Makamu wa Rais wa Marekani Kamala Harris Jumanne alitembelea kituo kimoja nchini Ghana ambako watumwa walikuwa wanasafirishwa kuelekea kanda ya...

READ MORE