×

NMB Yapata Ufadhili Wa Bilioni 572 Kutoka Jumuiya Ya Ulaya

Benki ya NMB imepata mikopo miwili ya muda mrefu na dhamana ya kukopesha kutoka taasisi tatu za fedha za Jumuiya...

READ MORE

GGML Yang’ara Tuzo za ATE, Majaliwa Aahidi Makubwa

  JITIHADA za Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) kuwajengea uwezo wahitimu wa vyuo vikuu kwa kuwapatia mafunzo kazini...

READ MORE

Washindi Wa Droo ya Pili Ya ‘Kapu La Wana’ Wapatikana

Meneja wa bia ya Pilsner Lager kutoka kampuni ya bia ya Serengeti Breweries Wankyo Marando (kulia) akizungumza kwa njia ya...

READ MORE

Ukraine Yatoa Stempu Za Posta Yenye Picha Za Putin Akishiriki Mchezo Wa Mieleka Wa Judo

Ukraine imetoa stempu za posta zilizo na mchoro wa msanii maarufu wa graffiti wa Uingereza Banksy kuadhimisha mwaka wa kwanza...

READ MORE

Kocha wa Yanga Aiteka Shoo leo Jumapili dhidi ya Real Bamako ya Mali

KOCHA Mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi, ameiteka shoo yote katika mchezo wa leo Jumapili dhidi ya Real Bamako ya Mali,...

READ MORE

Simba Yatoa Tamko Wapinzani Wao Kutana na Pumzi ya Moto Uwanja wa Mkapa

UONGOZI wa Simba, umetoa tamko kwamba, wapinzani wao wa kimataifa ambao wana zamu ya kushuka Uwanja wa Mkapa jijini Dar,...

READ MORE

Mwana FA Ateuliwa Kuwa Naibu Waziri wa Utamaduni Sanaa na Michezo

Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amemteua Mbunge wa Muheza Hamis Mohamed Mwinjuma maarufu Mwana FA kuwa Naibu Waziri...

READ MORE

Breaking: Rais Samia Afanya Uteuzi Mpya Mawaziri, Uhamisho wa Wakuu wa Mikoa

Rais Samia Suluhu Hassani amefanya uteuzi na uhamisho wa wakuu wa mikoa mitatu ya Shinyanga, Tanga na Songwe. Katika taarifa...

READ MORE

Fainali Carabao Cup… ‘Rashford Bora Kuliko Erling Haaland Kuchukua Mchezaji Bora’

MKONGWE wa Liverpool, Jamie Carragher, amefunguka kwamba, Marcus Rashford anastahili Tuzo ya Mchezaji Bora wa Mwaka Premier League 2022-23 mbele...

READ MORE

Video: Niva Ana Watoto 7 Wanawake 7, Afichua Mapenzi Yanavyomtesa – ”Mimba Nabeba Mimi”…

EXCLUSIVE ya GLOBAL TV tumepiga stori nyingi na mwigizaji anayekimbiza Bongo kutokana na namna yake ya uigizaji Zuberi Mohammed maarufu...

READ MORE

Mastaa Yanga Wafanya Kikao Kizito Usiku dhidi ya Real Bamako ya Mali

KUELEKEA mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Real Bamako ya Mali utakaopigwa leo Jumapili, mastaa wa kikosi cha...

READ MORE

Watu 13 Wafariki kwenye ajali ya barabarani Pakistan, 14 Wajeruhiwa

Maafisa wa Pakistan wamesema kwamba takriban watu 13 wameuwawa na wengine 14 kujeruhiwa katika ajali iliyotokea kwenye barabara kuu ya...

READ MORE

El Salvador Yawahamisha Wafungwa 2,000 Kwenye Jela Mpya ili Kudhibiti Magenge

Takriban wafungwa 2,000 wengi wao wakiwa washukiwa kutoka kwenye magenge wamehamishiwa kwenye jela mpya yenye uwezo wa kuwashikilia wafungwa 40,000...

READ MORE

Watanzania Waibuka Na Ushindi Wa Kishindo Mbio Za Kimataifa Za Kilomita 21 maarufu Tigo Kili International Half Marathon

WANARIADHA wa Tanzania wameng’ara kwa kwa kuibuka na ushindi wa kishindo katika Mbio za Kimataifa za Kilomita 21 maarufu kama...

READ MORE

Chapride Gumzo Kila Kona -“Hii Imekuja Kuwa Mkombozi Wetu” Madereva – (Picha +Video)

Jana Jumamosi Februari 25,2023, timu ya masoko ya Chapride, kampuni mpya ya usafiri mtandaoni inayotoa ofa kibao, imeendelea kutoa elimu...

READ MORE

Mandonga ‘Mtu Kazi’ Aendelea Kuweka Rekodi yake ya Ushindi Ashinda kwa TKO

Bondia Karim Mandonga ‘Mtu Kazi’ ameendelea kuweka sawa rekodi yake ya ushindi baada ya kumchapa kwa TKO ya raundi ya...

READ MORE

Watanzania Wang’ara Kilimanjaro International Marathon

KILIMANJARO 26 FEBRUARI 2023: Wanariadha wa kitanzania wameng’ara katika mbio za 21 za Kilimanjaro Premium Lager International Marathon, baada ya...

READ MORE

NACTVET Yatoa Tuzo Kwa Wanaotoa Nafasi Kuendeleza Ujuzi

  BARAZA la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTIVET) kwa kushirikiana na Chama cha Waajiri nchini (ATE), wamewapa tuzo kampuni...

READ MORE

Watanzania Watakiwa Kufanya Mazoezi Kujiepusha na Magonjwa Nyemelezi

WITO umetolewa kwa watanzania, hususan wafanyakazi wanaotumia muda mwingi kufanya kazi wakiwa wamekaa kufanya mazoezi, ili kuimarisha afya zao na...

READ MORE

Kada Hamis wa CCM Ajitolea Kuchangia Ujenzi wa Ofisi ya Chama Muheza

    Hamisi Sadiki Rajabu ambaye ni Mwanachama wa Chama Cha Mapinduzi na Mwananchi wa Wilaya ya Muheza ameendelea kufanya...

READ MORE