×

Sakata La Fei Toto Lamuibua Kigogo Serikalini, Afunguka Mazito Kumaliza Suala Hilo

KUFUATIA sintofahamu iliyopo kati ya uongozi wa Yanga na kiungo Feisal Salum ‘Fei Toto’ limemuibua Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo...

READ MORE

Nikki Haley Ajitosa Kumvaa Trump Urais Marekani Kupitia Chama cha Republikan

GAVANA wa zamani wa jimbo la South Carolina, Nikki Haley amesema kwamba atawania uteuzi wa mgombea urais wa Marekani kupitia...

READ MORE

Raja Casablanca Wawekewa Ulinzi Mzito Uwanja wa Benjamin Mkapa

KIPIGO cha nchini Guinea ni kama kimewashtua mabosi wa Simba baada ya kuamua kuweka ulinzi mzito kwenye Uwanja wa Benjamin...

READ MORE

Jean Baleke na Clatous Chama Wakabidhiwa Waarabu Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar

KOCHA Msaidizi wa Simba, Juma Mgunda amefichua kuwa, wamekuwa katika maandalizi mazito kuelekea katika mchezo ujao wa Ligi ya Mabingwa...

READ MORE

Marekani Haijapata Uthibitisho wa Vyombo Ilivyotungua ni vya Ujasusi

Serikali ya Marekani, Jumanne imesema kwamba mpaka sasa haina uthibitisho kwamba vyombo vinne vilivyotunguliwa angani wiki iliyopita katika anga la...

READ MORE

Pia Premium mzuka mpya wa Kasino ya Mtandaoni Meridianbet

Meridianbet wameongeza gemu mpya na rahisi kushinda inayokupa mizunguko kibao na bonasi nyingi kutoka Kasino ya mtandaoni kutoka Meridianbet ni...

READ MORE

CTI Yaomba Malighafi Zinazoingia Tanzania Zisitozwe Kodi

SHIRIKISHO la Wenye Viwanda Nchini (CTI), limeiomba serikali kupunguza au kuondoa  kodi kwa malighafi zinazotoka nje ya nchi kwaajili ya...

READ MORE

Rais Samia Apangua Mawaziri, Makatibu Wakuu Wizara ya Michezo na Wizara ya Maliasili na Utalii

Rais Samia Suluhu Hassan amefanya mabadiliko ya mawaziri katika Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo pamoja na Wizara ya Maliasili...

READ MORE

GGML Yagawa Tani 23 Mbegu za Alizeti kwa Wakulima Geita

  KAMPUNI ya Geita Gold Mining Limited. (GGML) imesambaza tani 23 za alizeti katika Halmashauri ya Wilaya ya Geita, Halmashauri...

READ MORE

Chapride Yazinduliwa Rasmi Valentine’s Day, Yatoa Ofa ya Usafiri Kwa Wapendanao

  Kampuni ya Usafirishaji wa Abiria Mtandaoni ya Chapride, leo imezinduliwa rasmi jijini Dar es Salaam, zoezi ambalo limekwenda sambamba...

READ MORE

Kisa TP Mazembe…. Nabi Awachomoa Mastaa Kikosini Yanga

YANGA KUELEKEA mchezo wa pili wa Hatua ya Makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika, Kocha Mkuu wa Yanga, Mtunisia, Nasreddine...

READ MORE

Video: ”Mama Hana Shida, Vyuma Vimekaza, CCM Niliachana Nayo Nilipojiunga Chuo Kikuu” – Lissu

GLOBAL TV imefanya mahojiano maalum na Makamu Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu ambaye amezungumza mengi juu ya muelekeo wa hali...

READ MORE

Robertinho Apata Dawa Ya Raja Casablanca, Ampa Maagizo Maalum Baleke

KOCHA Mkuu wa Simba, Mbrazil, Roberto Oliveira ‘Robertinho’ amewaondoa hofu mashabiki wa timu hiyo, kwa kuwaambia kuwa hataingia kivingine kimbinu...

READ MORE

Siku ya Redio Duniani Meridianbet Yapiga Hodi ITV & Radio One

Tarehe 13 siku ya Redio duniani kampuni ya michezo ya ubashiri Tanzania Meridianbet imetoa vifaa vya kutendea kazi kwa kituo...

READ MORE

TEMESA Yataka Nauli za Vivuko Zipandishwe Hazienani na bei ya Soko

Wakala wa Ufundi na Umeme Tanzania (TEMESA) umesema changamoto kubwa zinazoikabili kwa sasa ni nauli za vivuko ambazo zimepitwa na...

READ MORE

Mshindi Wa Tzs 20m Meridianbet Aeleza Mbinu Alizotumia

Mfalme mpya wa kubeti kutoka Meridianbet amepatikana. Mfalme huyo anayetokea mkoani Mbeya alijipatia kitita cha Milioni Ishirini na laki moja,...

READ MORE

Rais Samia Atangaza Kununua Kila Bao Yatakayofungwa na Simba na Yanga Kimataifa

Rais Samia Suluhu ametangaza kununua kwa Sh5 milioni kila bao litakalofungwa na Simba na Yanga katika michezo yao ya kimataifa...

READ MORE

Tetemeko La Ardhi Uturuki: Mtoto Wa Miaka Mitano Aokolewa Baada Ya Saa 105 Kwenye Vifusi Vya Tetemeko

Mtoto mwenye umri wa miaka 5 ameokolewa kutoka vifusi vya tetemeko la ardhi la Uturki saa 105 baada ya mkasa...

READ MORE

Video: Mchungaji Hananja – ”Kuzaa Sio Kigezo Cha Ndoa, Nilioa Nikiwa Na Miaka 40” | Hard Talk

KWENYE HARD TALK ya Mtumishi wa Mungu na Mwandishi wa vitabu nchini Lilian Mwasha amezungumza na Mchungaji Richard Hananja ambaye...

READ MORE

Wanafunzi Watatu Wauawa Kwa Kupigwa Risasi, Wengine Watano Wajeruhiwa

  Watu watatu wamefariki dunia na wengine watano kujeruhiwa baada ya mwanaume mwenye silaha kuvamia Chuo Kikuu cha Michigan, Marekani...

READ MORE