×

Jeshi la Pakistan Limetoa Amri ya Kufanyika Uchunguzi wa Mauaji ya Mwandishi Nchini Kenya

JESHI la Pakistan limetoa amri ya kufanyika uchunguzi wa mauaji ya mwandishi wa habari, Arshad Sharif ambaye ni raia wa...

READ MORE

Paula, Fahyma Wamponza Rayvanny Ashambuliwa Kisa Vijembe Kwenye Nyimbo

Rayvanny au Chui; ni msanii mwingine mkubwa wa muziki wa Kizazi Kipya nchini Tanzania ambaye amejikuta akishambuliwa, kisa ex-wake, Paula...

READ MORE

Kisa Waarabu, Yanga Yatangaza Kutoa Tiketi 10,000 Bure Dhidi ya Club Africain

UONGOZI wa Yanga umetangaza kugawa bure tiketi 10,000 za mchezo wa Yanga dhidi ya Club Africain ya nchini Tunisia kwa...

READ MORE

Hospitali Ya KAM Musika Yapima Bure Matibabu ya Saratani Tezi Dume

  KATIKA jitihada za kuunga mkono serikali ya awamu ya sita katika kukabiliana na magonjwa yasiyo ya kuambukiza, Hospitali ya...

READ MORE

Saido Ntibazonkiza Aipania Yanga Kesho kwenye Uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza

  GODFATHER wa Bunjumura kiungo wa soka ambaye alipata umaarufu mkubwa akiwa na Klabu ya Yanga, Saido Ntibazonkiza, amefunguka kuwa...

READ MORE

Bilionea Namba Moja Duniani, Elon Musk Akamilisha Ununuzi wa Twitter Kwa $44bn

BILIONEA namba moja duniani, Elon Musk amekamilisha ununuzi wake wake wa $44bn (£38.1bn) wa Twitter, kulingana na mwekezaji katika kampuni...

READ MORE

Magari Yaanza Kupita Rasmi Daraja Jipya La Wami

DARAJA jipya la kisasa WAMI ambalo linaunganisha mikoa ya Dar es Salaam, Pwani pamoja na mikoa ya Kaskazini limeanza kutumika...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la Championi na Ijumaa kirahisi zaidi hapa

Pata nakala yako ya Gazeti la Championi na Ijumaa leo Oct-28,   Gazeti la Championiwww.globalapp.co.tz Gazeti la Ijumaahttps://bit.ly/3V9byln . Twende...

READ MORE

Nabi Atoa Masharti Yanga Kuwaua Club Africain Uwanja wa Mkapa Kombe la Shirikisho

  WAKATI viongozi na mashabiki wa Yanga wakiumiza vichwa kuona namna ya kutinga hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho...

READ MORE

Simba Yaonja Uchungu wa Mwiko, Yapigwa na Azam Uwanja wa Mkapa

SIMBA chini ya kocha mkuu wa muda, Juma Mgunda, ilikuwa imejipa mwiko kuwa haitapoteza mechi yoyote msimu huu kirahisi, lakini...

READ MORE

Whozu – Sijui Nikoje (Official Music Video)

 Msanii wa muziki Bongo Fleva, Whozu ”ameachia video ya wimbo wake wa Sijui Nikoje

READ MORE

Habari Kubwa za Magazeti ya Tanzania Leo Ijumaa, Oktoba 28, 2022

HAPA tumekusogezea kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Oktoba 28 , 2022 Usipitwe na...

READ MORE

Washindi wa “Wakishua Twenzetu Qatar na Hisense” Wiki ya Nne Wapatikana

    Oktoba  28, 2022,  Kampuni inayoongoza Tanzania katika kuhakikisha mtanzania anaishi maisha ya kidijitali Tigo Tanzania, kupitia Promosheni yake...

READ MORE

Power Learn Project Yazinduliwa Nchini Kutoa Mafunzo ya Mifumo ya Kompyuta

    Power Learn Project yazinduliwa Tanzania katika Hoteli ya Johari Rotana, Barabara ya Sokoine Drive, Dar es salaam, ikiwa...

READ MORE

Uwekezaji Kidijitali, Nmb Yaendelea Kukuza Uchumi wa Buluu

  Benki ya NMB imekuwa mstari wa mbele kwa ubunifu katika sekta ya TEHAMA kwa kutoa masuluhisho mbalimbali kwa wateja wake...

READ MORE

Parimatch Yafanya Maboresho, Yaja Kibabe na Mfumo Mpya

Kampuni ya michezo ya kubahatisha Parimatch imefanya maboresho makubwa katika tovuti yao ya kubashiri, ambayo kwa sasa itawawezesha wateja wao...

READ MORE

Chizika Na Mzuka Wa Ushindi Kwenye Kasino Ya Mtandaoni Ya Meridianbet!

Leo bwana sloti nimekuletea sloti bomba kabisa ya Crazy Times kutoka Meridianbet, hapa ni ushindi babu kubwa ndiyo unaokufanya uchizike!...

READ MORE

Wizara ya Maji Yaungana na DAWASA Changamoto ya Maji Dar

Waziri wa Maji, Mhe Jumaa Aweso (Mb) ametembelea eneo la matengenezo ya bomba kubwa la inch 72 katika kata ya...

READ MORE

Iran Yaapa Kulipa Kisasi kwa Kundi la Magaidi Lililoua Watu 15

RAIS wa Iran, Ibrahim Raisi ameapa kulipiza kisasi dhidi ya kundi la kigaidi lililotekeleza mashambulizi katika sehemu ya ibada ya...

READ MORE

Majambazi Wawili Wauawa Gongo la Mboto Wakiiba Mkopo wa Milioni 1

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam kwa kushirikiana na Wananchi wa maeneo ya Gongo la Mboto wamewadhibiti...

READ MORE