×

Msemaji wa Serikali Gerson Msigwa Anatoa Taarifa Rasmi ya Ajali ya Ndege Iliyoua Watu 19-Video

MSEMAJI wa Serikali Gerson Msigwa ameongea na waandishi wa habari na kutoa taarifa rasmi iliyotolewa na Baraza la Mawaziri Juu...

READ MORE

Ni Mfalme wa USSD Beti na Kitochi Yeyote Aliyepo Kwenye Familia ya Meridianbet ni Mfalme

MFALME huyu anaitwa Zamiru Mohammed kutoka Chalinze, Gwiji aliyejishindia Pesa Taslimu TZS 1,324,878/= Milioni moja, Laki tatu na Elfu Ishirini...

READ MORE

Ziyech Kumpisha Trossard Chelsea, AC Milan Yaonesha Nia Baada ya Kombe la Dunia

WINGA wa klabu ya Chelsea na Timu ya Taifa ya Morocco Hakim Ziyech huenda akatimka klabuni hapo na kuelekea katika...

READ MORE

Waandishi wa Habari Wanawake Wapewa Semina ya Kujilinda Wawapo Kazini

  WAANDISHI wa habari wanawake wamepewa semina juu ya kujilinda wakati wa utekelezaji wa majukumu yao katika semina iliyoandaliwa na Chama...

READ MORE

Ronaldo: Simheshimu Ten Haag kwa Sababu Yeye Mwenyewe Haniheshimu

NYOTA wa Manchester United na moja kati ya wachezaji bora duniani wa muda wote Cristiano Ronaldo ameibuka na kuzua mjadala...

READ MORE

Mv.Sabasaba Yakabidhiwa Kuanza Safari Kisiwa cha Kome-Nyakariro Buchosa

  WANANCHI wa kisiwa cha Kome Halmashauri ya Buchosa wilayani  Sengerema Mkoa wa Mwanza wameondokana na adha ya usafiri baada...

READ MORE

Tigo na Samsung Wazindua Simu za Samsung AO4

      DAR ES SALAAM. Tarehe 15 Novemba, 2022. Kampuni inayoongoza kwa mtindo wa maisha ya kidijitali nchini Tanzania,...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la Championi kirahisi zaidi hapa

Pata nakala yako ya Gazeti la Championi leo Nov-14, Kwa nusu bei tu Gazeti la Championiwww.globalapp.co.tz AU Championihttps://bit.ly/3M4GO0G . Twende...

READ MORE

SGA Yashinda Tuzo ya Ubora wa Huduma kwa Wateja

      KAMPUNI ya ulinzi ya kibinafsi ya SGA Security imeshinda tuzo ya mtoa huduma bora na salama anayekubalika...

READ MORE

Benki ya NBC Yachangia Milioni 15 Ujenzi wa Uwanja wa Golf Iringa, RC Awapongeza

      BENKI ya Taifa ya Biashara NBC, Novemba 13, 2022 imeidhamini Club ya Golf ya Mkwawa University Golf...

READ MORE

Yanga Yaibuka na Ushindi wa Bao 1-0 Dhidi ya Kagera Sugar Kirumba, Mwanza

MABINGWA watetezi wa ligi kuu ya NBC Yanga leo Novemba 13, 2022 imefanikiwa kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi...

READ MORE

Rais Samia na Mwenyekiti wa CCM Aongoza Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC), Dodoma

MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muunganio wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, leo Novemba 13,...

READ MORE

Lemutuz Aanika Urafiki Wake na Magufuli, Makonda, Wanawake | Mapito -Video

 KWENYE kipindi cha MAPITO cha GLOBAL TV wiki hii tumefanya maojiano maalum na Lemutuz aliyejizolea umaarufu kutokana na mitandao...

READ MORE

TRA Yanogesha Matembezi na Mbio za Shukrani Kwa Mlipakodi

Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Hamad Hassan Chande (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wawakilishi wa...

READ MORE

Kagera Sugar Waiwekea Mtego Yanga Kuelekea Mchezo wa leo Kirumba

  KAGERA Sugar wameiwekea mtego Yanga SC kuelekea mchezo wa Ligi Kuu Bara unaotarajiwa kuchezwa leo Jumapili kwenye Uwanja wa...

READ MORE

Kajala Akwaa Skendo Kisa Penzi la Harmonize… Mwijaku na H.Baba ‘Wasepeshwa’

KAJALA Masanja anakula tamu na chungu ya penzi la msanii  Rajab Abdul Kahar ‘Harmonize’. Pengine ndiyo maana  Waswahili walisema, huwezi...

READ MORE

Watu Sita Wahofiwa Kufariki Baada ya Ndege Mbili Kugongana Angani Marekani -Video

WATU 11 wanahofiwa kufariki dunia baada ya ajali ya ndege mbili kugongana angani na kuungua moto kwenye maonesho ya WWII...

READ MORE

Meli Kubwa Inayodaiwa Kutaka Kuiba Mafuta ya Nigeria Yakamatwa

Meli kubwa ya kubeba mafuta ambayo imeshutumiwa na serikali ya Nigeria kwa kujaribu kupakia mafuta ghafi kinyume cha sheria kabla...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la SpotiXtra kirahisi zaidi hapa

Pata nakala yako ya Gazeti la SpotiXtra leo Nov-13, Kwa nusu bei tu Gazeti la Spoti Xtrawww.globalapp.co.tz AU SpotiXtrahttps://bit.ly/3O0o5UU

READ MORE

Raia wa Ukraine Wakusanyika Mitaani Kushangilia Kukombolewa kwa Kherson

RAIA wa nchi ya Ukraine wameonekana kusherehekea ushindi wa majeshi yao baada ya kufanikiwa kukomboa Jimbo la Kherson kutoka kwenye...

READ MORE