×

Serikali Yaingilia Kati Sakata la Mwakinyo, Yaagiza TFF na BMT Kukutana Mara Moja

  WAZIRI wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mohamed Omary Mchengerwa amemuelekeza Katibu Mkuu wa Wizara hiyo kukutana mara moja na...

READ MORE

Haaland Peke Yake Hawezi Kuishindia Manchester City Ligi ya Mabingwa Ulaya

KOCHA Mkuu wa Manchester City, Pep Guardiola anakiri uwezo mkubwa wa Erling Haaland unaweza kusaidia Manchester City kushinda Ligi ya...

READ MORE

Edouard Mendy Akataa Ofa ya Mkataba Mpya Chelsea, Angepokea Mshahara Mdogo Kuliko Kepa Arrizabalaga

EDOUARD Mendy amekataa ofa ya Chelsea ya ufunguzi wa mkataba mpya. Kipa huyo wa Senegal ni mmoja wa wachezaji wanaolipwa...

READ MORE

Viongozi wa Pakistani Wanajitahidi Kuzuia Ziwa Kubwa Zaidi Kufurika Kutokana na Mafuriko

katika mkoa wa kusini-mashariki wa Sindh viwango vya maji katika ziwa la Mancher vilionekana kupanda Zaidi na kuonekana kuwa vya...

READ MORE

Tetemeko Kuu la Ardhi China Lasababisha Watu kupotea, Waokoaji Wawatafuta

ZOEZI la kuendelea kuwaokoa watu nchini china linaendelea japokuwa kimbunga hicho kimeua watu wasiopungua 65 na wengine wengi kutoweka na...

READ MORE

Simba Yatangaza Kuachana Rasmi na Kocha Zoran Maki Pamoja na Wasaidizi Wake

KLABU ya soka ya Simba imetangaza rasmi kuachana na Kocha wake Mkuu Zoran Maki pamoja na wasaidizi wake katika taarifa...

READ MORE

Klabu ya Soka ya KMC Wapata Mdhamini Mpya wa Meridianbet Kwa Miaka Mitatu

Wiki imeanza vyema zaidi kwa Klabu ya soka ya KMC, ambao wamepata mdhamini mpya, ikiwa ni neema kwa klabu hiyo...

READ MORE

Antony Joshua Akubali Kuzichapa Tena Disemba na Mwanamasumbwi Tyson Fury Baada ya Kuombwa Pambano

TYSON Fury amemwita Anthony Joshua kwenye “Batle of  Britain”; Bondia Antony Joshua amejibu kwenye Twitter, akisema atakuwa tayari kupigana Desemba;...

READ MORE

Boris Johnson Aaga na Kukabidhi Mikoba kwa Waziri Mkuu Mpya Bi. Liz Truss

LEO septemba 6 waziri mkuu mpya wa uingereza atachukua madaraka rasmi kama Waziri mkuu Liz Truss anachukua nafasi ya Boris...

READ MORE

Safari ya Miaka 25 ya Raila Odinga Bila Matumaini ya Kushinda Kiti cha Urais Kenya

RAILA Odinga mgombea wa kiti cha uraisi  wa Azimio la Umoja alipoteza tena kwa mara ya tano dhidi ya mpinzani...

READ MORE

Mbappe Akiri Uhusiano Wake na Neymar Una Pande Mbili, Kuna Wakati Moto na Kuna Wakati Baridi

MSHAMBULIAJI wa Paris Saint-Germain na timu ya taifa ya Ufaransa, Kylian Mbappe amesema anamheshimu sana mchezaji mwenzake Neymar lakini uhusiano...

READ MORE

Yanga, Azam FC Panachimbika Kwenye Mchezo wa leo wa Ligi Kuu Bara Uwanja wa Mkapa, Dar

  MAKOCHA wa Yanga SC na Azam FC, wameweka wazi kuwa wanazitaka pointi tatu kwenye mchezo wa leo wa Ligi...

READ MORE

Urusi Kununua Makombora na Mizinga Kutoka Korea Kaskazini

URUSI inanunua mamilioni ya makombora ya mizinga na roketi kutoka Korea Kaskazini, kulingana na ripoti mpya za kijasusi zilizotolewa  nchini...

READ MORE

Halmashauri za Mkoa wa Tanga Kunufaika na Mpango wa Vodacom M-Mama

    MKUU wa mkoa wa Tanga, Omari Mgumba amezitaka Halmashauri za mkoa huo kuhakikisha wanajumuisha kwenye mipango ya bajeti...

READ MORE

Mbappe Avunja Ukimya Kuhusu Madai ya Uchawi ya Paul Pogba, Mapya Yazuka

MSHAMBULIAJI wa Paris Saint-Germain (PSG) ya nchini Ufaransa Kylian Mbappe ameungana na kiungo wa Juventus, Paul Pogba katika sakata la...

READ MORE

Kisinda Atua Rasmi Yanga Huku Timu Hiyo Ikihesabu siku za Kumpokea Mrithi wa Senzo 

YANGA imempokea winga teleza, Tuisila Kisinda ‘TK Master’ aliyetua alfajiri ya leo akitokea nchini Morocco alikokuwa akiichezea RS Berkane, lakini...

READ MORE

Azam FC Wamtangaza Kocha Mpya Denis Lavagne Raia wa Ufaransa, Kutua Dar Leo

AZAM FC imefikia makubaliano na Denis Lavagne, kuwa Kocha Mkuu wa timu hiyo inayotumia Uwanja wa Azam Complex kwa mechi...

READ MORE

Rais Kenyatta Akosoa Uamuzi wa Mahakama wa Kutupilia Mbali Ombi la Raila Odinga

RAIS wa Kenya Uhuru Kenyatta ambaye anamaliza muda wake kama Rais wa nchi hiyo amesema atahakikisha wanakabidhiana madaraka kwa amani...

READ MORE

Takribani Maelfu ya Watu Wamehamishwa Korea Kusini kwa Kuvamiwa na Kimbunga

KIMBUNGA chenye nguvu Zaidi ambacho hakikuwahi kuikumba Korea Kusini kwa miaka mingi kimekumba eneo lake la kusini, kiki ambatana na...

READ MORE