×

Iran Yazuia WhatsApp, Instagram Huku Maandamano ya Mahsa Amini Yakiongezeka

IRAN imezuia upatikanaji wa mitandao ya kijamii ya Instagram na WhatsApp huku kukiwa na maandamano ya kupinga kifo cha mwanamke...

READ MORE

Wahadhiri wa Vyuo Vikuu Waendelea Kuandamana Kupinga Kurudi kazini Nchini Nigeria

WALIMU wa vyuo vikuu wanaogoma nchini Nigeria wamesema watakata rufaa dhidi ya agizo la mahakama ya usuluhishi inayowataka kusitisha mgomo...

READ MORE

Dembele Aililia Miaka Mitano Aliyoipoteza Ndani ya Nou Camp

WINGA wa Klabu ya Barcelona na Timu ya Taifa ya Ufaransa Ousmane Dembele amefunguka juu ya maumivu aliyoyapitia katika miaka...

READ MORE

Viongozi wa Dunia Wameahidi Mabilioni ya Fedha Kupambana na UKIMWI, TB na Malaria

MFUKO wa Kimataifa wa Kupambana na UKIMWI, Kifua Kikuu na Malaria umepata dola bilioni14.25kama ufadhili mpya muhimu, baada ya miongo...

READ MORE

Wahukumiwa Kunyongwa kwa Kumuua Mwanajeshi Mkoani Morogoro

MAHAKAMA Kuu ya Tanzania Kanda ya Morogoro imewahukumu kunyongwa hadi kufa Watu watatu kwa kosa la kumuua Leonard Yamakwa ambaye...

READ MORE

Kocha Msauz Aomba Kazi Simba, Alikuwa Msadizi wa Pitso Mosimane Al Ahly

UONGOZI wa klabu ya Simba umeweka wazi bado upo katika mchakato wa kutafuta kocha mpya wa kukiongoza kikosi hiko katika...

READ MORE

Mabadiliko ya Ratiba NBC Premier League 2022/2023

Shirkisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), ambalo awali lilikuwa Chama cha Soka Tanzania (FAT), ndicho chombo kinachosimamia soka nchini...

READ MORE

WCF Yasisitiza Matumizi Ya Tehama Katika Kuwasilisha Madai Ya Fidia

  MAAFISA Rasilimali watu na Utawala hapa nchini wamehimizwa kutumia TEHAMA wakati wa kutoa Taarifa kwenye Mfuko wa Fidia kwa...

READ MORE

Zelenskyy Asema Urusi Iadhibiwe kwa Uhalifu Wake wa Uvamizi wa Kivita Ukraine

RAIS wa Ukraine Volodymyr Zelenskyy ameutaka Umoja wa Mataifa kuiadhibu Moscow kwa uvamizi wake, akitaka mahakama maalum na Urusi iondolewe...

READ MORE

Harmonize – Nitaubeba (Official Video), Atamba na Mpenzi Wake Kajala Masanja

 HARMONIZE au Teacher Konde; ni staa mkubwa wa muziki nchini Tanzania usiku wa kuamkia leo Septemba 22, 2022 ameachiavideo...

READ MORE

NMB Yadhamini Mil 25 Kwa Ajili Ya Michuano Ya Golf Lugalo

Benki ya NMB imetoa udhamini wa Sh. Mil. 25 kwa Mashindano ya Gofu ya Mkuu wa Majeshi Tanzania (NMB CDF...

READ MORE

Biden Aangazia Ukraine, Usalama wa Chakula na Afya ya Dunia Akihutubia Baraza Kuu la UN – Video

Kwa kutofuata utamaduni wa marais wa Marekani, Joe Biden hakuongea siku ya kwanza kwa kuwa alikuwa safarini nchini Uingereza kuhudhuria...

READ MORE

Tanzania na Msumbiji Zatia Saini Mikataba ya Ulinzi na Usalama

Msumbiji na Tanzania Septemba 21, 2022 zimesaini mikataba miwili ya ushirikiano mjini Maputo inayolenga kupambana na ugaidi na uhalifu. Msumbiji...

READ MORE

Nafasi Za kazi 13 Jordan University College (JUCO), Law , Socialogy , ICT & Accounting and Finance

Jordan University College Office of the Deputy Principal Finance and Administration Constituent College of St. Augustine University of Tanzania P.O....

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la SpotiXtra kirahisi zaidi hapa

Pata nakala yako ya *Gazeti la SpotiXtra* leo Sep-22 Kwa nusu bei tu   Gazeti la Spoti Xtra*https://bit.ly/3d8qcYV AU *SpotiXtra*https://bit.ly/3d8qcYV...

READ MORE

Habari Kubwa za Magazeti ya Tanzania Leo Alhamisi, Septemba 22, 2022

HAPA tumekusogezea kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Septemba 22 , 2022 Usipitwe na...

READ MORE

Vodacom Yategemea Uwekezaji wa Mtandao na Ubunifu ili Kuendelea Kuongoza

  Septemba 22, 2022:Vodacom Tanzania PLC, Kampuni pekee ya simu iliyosajiliwa kwenye Soko la Hisa nchini, imefanya Mkutano Mkuu wa...

READ MORE

Amuua Kaka Yake Kisa Nyama ya Utumbo ya Buku, Polisi Wamsaka Kila Kona

POLISI huko Murang’a nchini Kenya wanamsaka mwanaume wa miaka 30 anayeshukiwa kumuua kakake mkubwa kufuatia mzozo wa nyama ya utumbo...

READ MORE

The Pirates, Ndani ya Meridianbet: Furahia Sloti Hii ya Pirates Power!

Bwana sloti, leo nimekuja na habari njema kabisa kwa wapenzi wa gemu za simu na gemu za mtandaoni! Bila shaka...

READ MORE

Akamatwa Akisafirisha Madawa ya Kulevya, Atumia Dawa za Kienyeji Kuwakwepa Askari

JESHI la Polisi mkoa wa Arusha limefanikiwa kumkamata mtuhumiwa mmoja anayesafirisha madawa ya kulevya aina mirungi katika jiji la Arusha....

READ MORE