×

Karsan: Nastaafu Umoja wa Klabu za Waandishi wa Habari Tanzania

BAADA ya kuitumikia taasisi ya UTPC – Union of Tanzania Press Clubs (Umoja wa Klabu za waandishi wa habari Tanzania)...

READ MORE

Profesa Sedoyeka Ateuliwa kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amemteua Profesa Eliamani Sedoyeka kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya...

READ MORE

Harmonize au Konde Boy Mjeshi Amwagia Paula Mamilioni Pesa Kumlainisha

  PAULA Kajala au Pau; ni mrembo maarufu kwenye mitandao ya kijamii (sosholaiti) nchini Tanzania ambaye aliapa kwamba labda afe...

READ MORE

Bosi Yanga Afunguka Walivyomnasa Aziz Ki, Simba Yatajwa Kwenye Vita Hiyo

SAKATA la usajili wa kiungo mshambuliaji wa ASEC Mimosas ya Ivory Coast, Stephanie Aziz Ki, limeingia katika sura mpya na...

READ MORE

HADITHI YA KUSISIMUA: THE DARKEST HOURS(SAA ZA GIZA TOTORO)-28

MTUNZI: Hashim Aziz (Hashpower) 0719401968 ILIPOISHIA: “Nataka unitoe upweke ndani ya moyo wangu,” alisema huku akijitoa kwenye mikono yangu, nikamshuhudia...

READ MORE

Video: Hapatoshi Bungeni, Mijadala ya Bajeti, Wabunge Watoa Hoja Zenye Ujazo….

BUNGE la 12 mkutano wa saba kikao cha 45 kimeendelea leo bungeni, ambapo wabunge wamepata nafasi ya kuuliza maswali kwa...

READ MORE

Juhudi za Rais Samia Kufanikisha Mradi wa Gesi Asilia Nchini wa Sh70 Trilioni

Juni 11, 2022 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, alishuhudia utiaji saini wa makubaliano ya awali...

READ MORE

Simba Yafuata Straika Ghana, Yadhamiria Kuwekeza Zaidi Kimataifa

SIMBA SC ipo katika mazungumzo ya mwisho ya kukamilisha usajili wa mshambuliaji Augustine Okrah anayeichezea Bechem United FC ya Ghana....

READ MORE

Watanzania Kuiwakilisha Afrika Mashindano ya TEHAMA ya Huawei Duniani

WANAFUNZI kutoka Chuo Kikuu cha Dodoma na Chuo Kikuu cha Dar es Salaam ni miongoni mwa washiriki wa fainali za...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la Championi na Ijumaa kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la Championi na Gazeti la Ijumaa kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa...

READ MORE

Habari Kubwa za Magazeti ya Tanzania Leo Ijumaa, Juni 17, 2022

HAPA tumekusogezea kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Juni 17, 2022 Usipitwe na Matukio,...

READ MORE

Nafasi za Kazi 5 VETA, Assistant Vocational Teacher – Food Production

POST ASSISNTANT VOCATIONAL TEACHER – FOOD PRODUCTION – 5 POST EMPLOYER Vocational Educational and Training Authority (VETA) APPLICATION TIMELINE: 2022-06-14...

READ MORE

TCB Yatangaza Kupata Faida ya Shilingi Bilioni 19.7

  Tanzania Commercial Bank TCB imetangaza kupata faida ya shilingi Bilioni 19.7 kwa mwakaulioishiaDesemba 31 2021 hatua inayotajwa kuwa ya...

READ MORE

Jamaa Ajirambia zake Milioni 10 za “Tigo Chemsha Bongo”

    KAMPUNI namba moja nchini Tanzania kwa Utoaji wa huduma za Kidigitali Tigo , Imekabidhi Hundi ya Milioni 10...

READ MORE

Azam Yamvuta Beki wa Yanga, Yajipanga Kupambana Ngazi ya Kimataifa

IMEFICHUKA kuwa, uongozi wa Klabu ya Azam upo katika mazungumzo na aliyewahi kuwa Beki na Nahodha wa Yanga, Lamine Moro...

READ MORE

Rais Samia Awasili Zanzibar Baada ya Kuhitimisha Ziara Yake Nchini Oman na Saudi Arabia

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amewasili Visiwani Zanzibar mara baada ya kumaliza ziara yake ya...

READ MORE

Chuma Kingine Chatua Yanga, Carlinhos Ahusika Kwenye Usajili Wake

KOCHA Mkuu wa Yanga raia wa Tunisia, Nasreddine Nabi, ameamua kutumia ukaribu wake na aliyekuwa kiungo mshambuliaji wa timu hiyo...

READ MORE

Bilioni 6 Zimetengwa Kuboresha Miundombunu ya Kutolea Huduma za Afya

KATIKA mwaka ujao wa fedha 2022/23 Serikali imetenga shilingi Bilioni 6 kwa ajili ya ujenzi wa miundombinu ya kutolea huduma...

READ MORE

Waziri Mchengerwa Ajiunga Bungeni na Timu ya Taifa ya Walemavu, Tembo Worriors

WAZIRI wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mohamed Mchengerwa ameingia Bungeni akiwa pamoja na Timu ya Taifa ya Walemavu Tembo Worriors...

READ MORE