×

Mondi Ampongeza Manara kwa Ubingwa, Adai Anaijua Siri ya Magumu Aliyopita

  MWANAMUZIKI Nguli wa Tanzania Nassibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ amempongeza Msemaji wa Young Africans Haji Sunday Manara, kufuatia Klabu ya...

READ MORE

Simba Kuvunja Benki, Yamvuta Beki Mbishi wa Kagera Sugar, Dickson Mhilu

  SIMBA imepanga kuvunja benki kumununua beki wa kulia wa Kagera Sugar, Dickson Mhilu atakayekuja kuwa mbadala wa mkongwe Shomari...

READ MORE

Makabila Amwangukia Diamond, Ajuta Kuponzwa na Watu Wake wa Karibu

Msanii maarufu wa Singeli, Dulla Makabila ameibuka na kumwangukia miguuni Supastaa wea Bongo Fleva na CEO wa Lebo ya WCB,...

READ MORE

Ronaldo Ajiandaa Kustaafu, Apanga Kujenga Mjengo wa Bilioni 47.8

TAARIFA kutoka nchini Ureno zinaeleza kuwa Cristiano Ronaldo sasa atalazimika kulipa pauni milioni 17 za England sawa na Bilioni 47...

READ MORE

Video: Hapatoshi Bungeni, Mijadala ya Bajeti, Wabunge Watoa Hoja Zenye Ujazo….

 Bunge la 12 mkutano wa saba kikao cha 45 kimeendelea leo bungeni, ambapo wabunge wamepata nafasi ya kuuliza maswali...

READ MORE

Simba Yamtambulisha Rasmi Nyota wa Klabu ya Zanaco Moses Phiri, Vilio Basi Msimbazi

SIMBA iliyo chini ya Kocha Msaidizi Seleman Matola imemtambulisha rasmi nyota Moses Phiri ambaye alikuwa anakipiga ndani ya Klabu ya...

READ MORE

Nafasi za Kazi 6 Parliament of Tanzania, Katibu Msaidizi wa Bunge

POST KATIBU MSAIDIZI WA BUNGE DARAJA LA II – 6 POST EMPLOYER Parliament of Tanzania APPLICATION TIMELINE: 2022-06-11 2022-06-24 JOB...

READ MORE

Habari Kubwa za Magazeti ya Tanzania Leo Alhamisi, Juni 16, 2022

HAPA tumekusogezea kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Juni 16, 2022 Usipitwe na Matukio,...

READ MORE

RC Mtaka Apokea Vifaa vya Kuhifadhia Taka Vilivyotolewa na Benki ya NMB

  Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Anthony Mtaka ameagiza Jiji la Dodoma kuharakisha sheria ndogo ndogo za mazingira ili kuweka...

READ MORE

Taasisi ya IIA Yapongeza Serikali Kuimarisha Vitengo Vya Ukaguzi wa Ndani

  TAASISI ya Ukaguzi wa ndani nchini Tanzania (IIA) imeipongeza Serikali ya Tanzania dhidi ya mabadiliko makubwa iliyopanga kuyafanya kupitia...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la SpotiXtra kirahisi zaidi hapa

JIpatie nakala ya Gazeti la Spoti Xtra kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa Tsh 300/= iOS...

READ MORE

Clouds Yaiomba Serikali Kuingiza Elimu ya Ustawi wa Jamii Katika Mtaala

MKUU wa Kipindi Cha Leo Tena Husna Abdul ambaye pia ni Muongozaji wa kipindi hicho ameiomba Serikali kuingiza mtaala wa...

READ MORE

Yanga Yatwaa Ubingwa Ligi Kuu NBC Bila Kufungwa, Waifunga Coastal Union 3-0

MABAO mawili ya Fiston Mayele na moja la Chiko Ushindi yametosha kwa Yanga kutawazwa kuwa mabingwa wapya wa Ligi Kuu...

READ MORE

Mila na Desturi Zetu Zinampa Nguvu Sana Mwanamke Kuliko Mwanaume

KITENDO cha wanaume kunyanyaswa na wake zao halafu wanashindwa kusema kinatokana na ile hali au kasumba ya kuamini mwanaume katika...

READ MORE

Basi la Zuberi Lapata Ajali na Kutumbukia Kwenye Daraja Eneo la Mwigumbi

Basi la Zuberi linalofanya safari zake kati ya Mwanza na Kahama mkoani Shinyanga leo Juni 15, 2022 limepata ajali na...

READ MORE

NMB Yakabidhi Bilioni 30.7 Gawio Kwa Serikali

    Benki ya NMB leo wamekabidhi Sh. Bilioni 30.7 kwa Serikali huku Makamu wa Rais, Mhe.Dkt Philip Isdor Mpango...

READ MORE

Wanatakiwa Watu 456 Kushiriki ‘Squid Game’ Unaondoka na Bilioni 10

MTANDAO wa Netflix upo kwenye mchakato wa kuanza kutafuta washiriki wa kipindi cha TV ambacho maudhui yake yametokana na filamu...

READ MORE

Kijana Akamatwa kwa Kujifanya Mkuu wa Mkoa, Awalaghai Wananchi

JESHI la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia Warren Max Mwinuka (20) Mkazi wa Makondeko, Mbeya Mjini kwa tuhuma za kujifanya...

READ MORE

Zari The Boss Lady Aweka Historia Kenya, Alipwa Tsh Milioni 50 Kwa Siku Tatu

Ni wakati wa kutengeneza mkwanja tu kwa mwanamama Zari The Boss Lady baada ya kulipwa kiasi cha Ksh.2.5 milioni (Tsh...

READ MORE