×

Jeshi la Polisi Lafunguka Sababu ya Kumshikilia Kada wa Chadema Twaha Mwaipaya – Video

JESHI la polisi mkoa wa Dodoma linaendelea na uchunguzi dhidi ya mratibu wa hamasa wa Baraza la Vijana Chadema (BAVICHA)...

READ MORE

Waziri Mkuu wa Zamani wa Japan Afariki Dunia Baada ya Kupigwa Risasi

WAZIRI  Mkuu wa zamani wa Japan Shinzo Abe aliyepigwa risasi mbili wakati akihutubia katika kampeni ya uchaguzi katika mji wa...

READ MORE

Aishi Manula Akanusha Kuongeza Mkataba Simba, Akiri Msimu Ulikuwa Mgumu-Video

MLINDA mlango wa Klabu ya soka ya Simba Aishi Manula amekanusha tetesi za kuongeza mkataba kwenye timu hiyo ambazo zimekuwa...

READ MORE

Nafasi za SportPesa Limited, System Administrator  

System Administrator   Dar es Salaam SportPesa SportPesa is a sports news technology and sports betting brand with operations in Kenya,...

READ MORE

Waziri Mkuu wa Japan Apigwa Risasi Wakati Akitoa Hotoba, Mtuhumiwa Atiwa Mbaroni

WAZIRI Mkuu wa zamani wa Japan Shinzo Abe amepigwa risasi wakati akitoa hotuba katika hafla moja mjini Nara, Abe alipigwa...

READ MORE

Marekani iko Tayari Kuishauri Tanzania Kuhusiana na Usalama wa Mipaka Yake

  SERIKALI ya Marekani imesema kwamba ipo tayari kutoa ujuzi na ushauri kwa Tanzania kahusiana na masuala ya kiusalama kwa...

READ MORE

Katibu Mkuu OPEC Afariki Dunia akiwa na Umri wa Miaka 63

Katibu Mkuu wa OPEC  Mohammad Barkindo akiwa kwenye moja ya mikutano aliyowahi kuhudhuria enzi za uhai wake SERIKALI ya Nigeria...

READ MORE

Vijana Waliokufa kwenye Klabu Afrika Kusini Wazikwa

  Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa akiwa msibani baada ya kuhudhuria mazishi ya vijana waliokufa kwenye klabu nchini mwake...

READ MORE

Mahujaji Wamiminika Mecca kwa Ajili ya Hijja

BAADA  ya miaka miwili kupita bila mahujaji kuhudhuria ibada ya Hijja, mji mtakatifu wa Mecca uliopo Saudi Arabia umeanza kuonyesha...

READ MORE

Habari Kubwa za Magazeti ya Tanzania Leo Ijumaa, Julai 8, 2022

HAPA tumekusogezea kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Julai 8, 2022 Usipitwe na Matukio,...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la Championi na Ijumaa kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la Championi na Gazeti la Ijumaa kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa...

READ MORE

CRDB Yaanda Semina ya Uwezeshaji kwa Wafanyabiashara Mtandaoni

  Katika kuendeleza jitihada zake za kuwajengea uwezo na kuwawezesha wajasiriamali vijana nchini, Benki ya CRDB leo imetangaza kuandaa semina...

READ MORE

Mume wa Nick Minaj Ahukumiwa Kifungo cha Nje Mwaka Mmoja na Faini Dola za Kimarekani 55,000

HATIMAYE  mume wa rappa Nicki Minaj, Kenneth Petty (44) amehukumiwa kifungo cha miaka mitatu chini ya uangalizi wa mahakama pamoja...

READ MORE

Chamudata Mpya Yaanza Mikakati Kuinua Muziki wa Dansi

    VIONGOZI wapya wa Chama cha muziki wa dansi nchini, CHAMUDATA wameweka hadharani mikakati yao baada ya kuingia madarakani...

READ MORE

Phiri Apandisha Mzuka Simba, Amtaja Chama Aahidi Kurejesha Makali

MSHAMBULIAJI mpya wa Simba, Moses Phiri, amesema kuwa anategemea kupata ushirikiano mzuri ndani ya Simba kutoka kwa kiungo Clatous Chama...

READ MORE

Nafasi ya Kazi Ericsson , Solution Architect

Solution Architect Posted date:  Jul 6, 2022 Location: Dar es Salaam, Dar es Salaam, Tanzania, United Republic of About this...

READ MORE

Kundi la Boko Haram Lavamia Gereza na Kuwaachia Huru Wafungwa Zaidi ya 600

TAARIFA kutoka nchini Nigeria zinaarifu kwamba wanamgambo wa kundi la Boko Haram juzi walivamia gereza moja nchini humo na kuwafungulia...

READ MORE

Mfalme wa Cocaine wa Milan Arudishwa Italia Baada ya Kukamatwa Brazil

MMOJA wa watu wanaosakwa sana nchini Italia, Rocco Morabito, amelabidhiwa kwa serikali ya Italia huko Roma baada ya kusafirishwa kutoka...

READ MORE