×

Tag: Aishi Manula

Piga Utoboe na Infinix Kama Feisal Salum na Aishi Manula

HABARI njema kwa vijana wapenda soka na wateja wa simu kali za Infinix.Kampuni ya simu Infinix imewatambulisha Rasmi Feisal Salum...

READ MORE

Aishi Manula Apewa Zoezi Maalum Kumzuia Yacouba

MLINDA mlango namba moja wa Simba, Aishi Manula, juzi Jumanne alikuwa na kibarua kizito mazoezini ambapo alipewa mazoezi magumu kwa...

READ MORE

Wasauzi Wampigia Simu Mo Kumuuliza Manula

TAARIFA kutoka ndani ya Simba zinasema kwamba, timu ya Mamelodi Sundowns kutoka Afrika Kusini, imelazimika kumpigia simu Mwenyekiti wa Bodi...

READ MORE

Simba Watamba… Hakuna Yanga Anayeingia First Eleven Simba

SIMBA sasa wana jeuri tupu, na baadhi ya mashabiki wa timu hiyo, wamekiangalia kikosi chao cha kwanza, wakafurahi sana na...

READ MORE

Manula Apambana na Makipa Watano CAF

HASHIKIKI! Hivyo ndivyo utakavyosema kwa kipa namba moja wa Simba, Aishi Manula ambaye ameingia kwenye tano bora ya makipa wenye...

READ MORE

Gomes Amuanika Mganga wa Manula Simba

KOCHA Mkuu wa Simba Mfaransa Didier Gomes ametaja siri ya kiwango cha kipa wake namba moja Aishi Manula kuongezeka hivi...

READ MORE

Manula Akubali 230M za Waarabu

PAMOJA na Kocha Mkuu wa Simba, raia wa Ufaransa, Didier Gomes Da Rosa, kusema hayupo tayari kumuachia kipa wake, Aishi...

READ MORE

Mshahara wa Manula Al Merrikh Kufuru

KIPA namba moja wa Simba na Taifa Stars, Aishi Manula akikamilisha tu dili lake la kujiunga na Klabu ya Al...

READ MORE

Manula Apandiwa Ndege, Afuatwa Guinea

WAKATI kipa wa Simba, Aishi Manula akiendelea kung’ara kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika na kumfanya Rais wa Klabu...

READ MORE

Waarabu Wamng’oa Manula Simba

WAKATI kipa wa Simba, Aishi Manula akiendelea kung’ara kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika msimu huu, taarifa kutoka Sudan...

READ MORE

Aliyemzimisha Manula Afunguka Kilichotokea

BAADA ya kipa wa Simba Aishi Manula kutolewa uwanjani na kukimbizwa na hospitali baada ya kupata majeraha hatimaye aliyesabisha tukio...

READ MORE

Video: Aishi Manula Alivyokimbizwa Hospitali Baada Ya Kupata Majeraha

KIPA wa Simba, Aishi Manula Februari 1, 2021 amepakizwa kwenye gari la wagonjwa baada ya kuumia dakika ya 71 ya...

READ MORE

Glovu Za Manula Zawaingiza Vitani Metacha Na Mgore

KIPA namba moja wa Simba, Aishi Manula ambaye ni kipa bora kwa msimu wa 2019/20, msimu huu wa 2020/21 amewaingiza...

READ MORE

Manula atia doa usajili wa Kakolanya Simba

BAADA ya kufanikiwa kuvunja mkataba na Yanga, aliyekuwa kipa namba moja wa timu hiyo, Beno Kakolanya anaweza asijiunge na Simba...

READ MORE

Manula Azua Kizaazaa Simba, Kisa Mabao Ya Mbali

MLINDA mlango namba moja wa Simba, Aishi Manula, amezua kizaazaa klabuni hapo kutokana na rekodi yake mpya aliyoiweka hivi karibuni....

READ MORE

Aishi Manula Mambo Mazito Taifa Stars

  KIPA namba moja wa Simba na timu ya taifa, Taifa Stars, Aishi Manula, jana alishindwa kujumuika na kikosi cha...

READ MORE

Manula: Kuingia Na Taulo Uwanjani Siyo Ubishoo

KIPA namba moja wa Simba, Aishi Manula amesema kitendo cha yeye kuingia na taulo uwanjani siyo uchawi wala ubishoo bali...

READ MORE

Kocha Simba Afungukia Vita Ya Manula, Nduda

  KOCHA wa Makipa wa Simba, Mwarami Mohammed ‘Shilton’, amesema Aishi Manula na Said Mohammed ‘Nduda’ ni aina ya walinda...

READ MORE

Manula: Nimekuja Simba Kufanya Kazi

KIPA mpya wa Simba, Aishi Manula ameweka bayana kuwa, atahakikisha anaifanya kazi yake vizuri ipasavyo kwa lengo la kuiwezesha timu...

READ MORE

Simba Waipigia Magoti Azam FC Kwa Manula

 UONGOZI wa Klabu ya Simba, umeipigia magoti Azam FC imruhusu Aishi Manula aweze kushiriki mazoezi na klabu hiyo mapema kwa...

READ MORE