×

Tag: Alikiba

Alikiba Ameahirisha Shoo zake Nchini Marekani Baada ya Kukutwa na Maambukizi ya Korona (Uviko-19)

MSANII nguli wa mziki wa kizazi kipya(Bongo fleva), Alikiba ameelezea masikitiko yake baada ya kulazimika kuahirisha shoo zake alizozipatia jina...

READ MORE

Kiba: Bila Uongo Mapenzi Hayaendi, Sijawahi Kuimba Wimbo Wenye Uongo

KING Kiba; ni mfalme wa muziki nchini Tanzania ambaye amezua mjadala kama wote, baada ya kutoa kauli tata kuwa, bila...

READ MORE

Harmonize: Kiba Lazima Aimbe Kwenye Kumvisha Pete Mchumba Wangu

MWANAMUZIKI maarufu nchini Harmonize ameendelea kuonesha heshima kwa mwanamuziki mwenzake Ali Saleh Kiba kwa kumpongeza kwa kazi nzuri kupitia kwenye...

READ MORE

Alikiba Kukiwasha Leo Fainali Mapinduzi Cup

Msanii wa muziki wa kizazi kipya, Alikiba kesho Alhamisi anatarajiwa kutumbuiza kwenye fainali za Kombe la Mapinduzi zitakazoanza saa 2:15...

READ MORE

Marioo ni Mkali Kuliko Diamond, Ali Kiba Wala Harmonize

MWAKA 2021 umeenda vizuri sana kwa upande wa Marioo, kwa ngoma kali alizotoa Inatosha kusema kwamba Marioo ndio muimbaji bora...

READ MORE

Jela Miaka Mitano kwa Kuuza Albamu ya Alikiba Mtaani

Ofisa Mtendaji Mkuu na msimamizi wa hatimiliki kutoka Chama cha Hakimiliki Tanzania (COSOTA), Doreen Anthony Sinare amekemea vikali watu wanaouza...

READ MORE

King Kiba Akimbiza Mwizi Kimyakimya

MFALME wa Bongo Fleva, King Kiba anakimbiza mwizi kimyakimya baada ya kufikisha jumla ya streams milioni 28.3 kupitia nyimbo zake...

READ MORE

King Kiba Hakamatiki Aisee

ALBAM mpya ya Mfalme wa Bongo Fleva, Ali Saleh Kiba au King Kiba iitwayo The Only One King aliyoiachia Oktoba...

READ MORE

Kiba: Blue Ndio Alinihamasisha Kuingia Kwenye Muziki

STAA wa muziki wa Bongo Fleva, Alikiba amesema alipata hamasa ya kuingia kwenye Bongofleva baada ya kuwaona Mr. Blue na...

READ MORE

Tommy Flavour feat Alikiba – Jah Jah (Official Audio)

 Staa wa muziki wa Bongo Fleva, Tommy Flavour Ft Alikiba,  Septemba 23, 2021 ameachia wimbo wake mpya wa Jah...

READ MORE

Maud Elka feat Alikiba – Songi Songi Remix (Official Audio)

Msanii wa muziki Bongo Fleva, Maud Elka X Alikiba ameachia video ya wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la Songi...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la Championi na Ijumaa kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la Championi na Gazeti la Ijumaa kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la Championi na Ijumaa Wikienda kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la Championi na Gazet la Ijumaa Wikienda kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa...

READ MORE

Rayvanny Aungana na Kiba

KAMA ilivyo kwa nguli wa Bongofleva, Ali Saleh Kiba ‘Alikiba’ kuwa na ukaribu wa kipekee na Gavana wa Mombasa, Ali...

READ MORE

Kauli ya Alikiba Kuhusu Kununua Views

Supastaa Alikiba ambaye kwasasa anafanya vizuri kupitia kazi zake mbili alizoziachia mfululizo ambazo ni Ndombolo na #Salute, ameweka wazi kuwa...

READ MORE

Ukweli Wote: Harmonize Ananunua Views? – Video

MJADALA mkubwa umeibuka kwenye mitandao ya kijamii baada ya video mpya ya Harmonize, Sandakalawe kupata views milioni 4 ndani ya...

READ MORE

Video: Shoo Ya Alikiba Kigoma, Shabiki Wamvamia Stejini

 MWANAMUZIKI Alikiba amefanya balaa usiku wa leo Juni 05,  2021 mkoani Kigoma kwa kupiga shoo ya nguvu kwenye tamasha...

READ MORE

Alikiba Jukwaani Kumuaga Hayati Magufuli- Video

MWANAMUZIKI Alikiba, amepata nafasi ya kutumbuiza katika hafla ya kuuaga mwili wa Hayati Dkt. John Magufuli, leo Machi 25, katika...

READ MORE

Kiba Aweka Kambi Nigeria

MFALME wa muziki wa Bongo Fleva, Alikiba maarufu kama King Kiba, ambaye anafanya vizuri kwa sasa na ngoma yake “Infidèle”...

READ MORE

Mama Kiba Aanika Ukweli Ndoa ya Kiba na Amina ‘Kuvunjika’

  MASHABIKI wengi wa msanii wa Bongo Fleva, Alikiba wamekuwa wakitamani  kusikia kauli ya msanii huyo kuhusu tetesi za ndoa...

READ MORE

Alikiba Afunguka Baba Diamond ni ‘Baba Yangu’

MAMBO ni mengi muda mchache! Wakati sakata la baba halisi wa msanii Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ likiendelea kujadiliwa mitandaoni, mapya...

READ MORE

Alikiba: Kwangu Muda wa Kuvaa Ulishapita

  MSANII wa muziki Bongo, Alikiba amesema suala la uvaaji kwenye video zake halimsumbui tena maana mambo mengi ameshayapitia kwenye...

READ MORE

Alikiba Kutoa Albam Mwaka Huu

MKALIwa Ngoma ya Nakupenda, Alikiba amesema kuwa ishu ya kutoa albam kwa mwaka huu ipo kwa asilimia zaidi ya 100...

READ MORE

Kiba Aanika Ukweli Kuachamuziki

BAADA ya maneno mengi kusambaa mitandaoni kuwa Mfalme wa Bongo Fleva, Ali Saleh Kiba ‘King Kiba’ yupo mbioni kuacha muziki,...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la Championi na Ijumaa Wikienda kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la Championi  kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa Tsh 300/= Gazet la...

READ MORE

Proud of You – Darassa Ft. Alikiba (Official Music Video)

 Mkali wa Hip Hop Bongo, Shariff Thabeet ’Darassa’, ameachia ngoma mpya ya Proud of You  aliyomshirikisha mkali wa Bongo...

READ MORE

Alikiba Kwenye Mtihani Mzito

DAR: Mfalme wa muziki wa Bongo Fleva, Ali Saleh Kiba ‘King Kiba’, anadaiwa kuwa kwenye mtihani mzito, Gazeti la IJUMAA...

READ MORE

Mkali Wenu: Alikiba Aliniomba Kumwandikia ‘Mediocre’

MCHEKESHAJI maarufu nchini, Mkali Wenu,  ametoa kali ya mwaka baada ya kufunguka kwamba alimwandikia wimbo wa Mediocre  msanii Alikiba ambapo...

READ MORE

Nandy, Kiba, Utamu Unakuja, Unakata

MTOTO mkali kunako gemu ya muziki wa Bongo Fleva, Faustina Charles ‘Nandy’ hivi karibuni ameachia bonge moja la ngoma iliyokwenda...

READ MORE

Wasanii 6 wa Bongo Fleva Waliotikisa 2020

MUZIKI wa Bongo Fleva una wasanii wengi waimbaji; kazi yao ni moja tu, kutoa burudani kwa mashabiki wao ambao ndio...

READ MORE

‘Pacha wa Alikiba’ Aibua Mapya

KUNA ule msemo kwamba ‘duniani ni wawili wawili’ ukiwa ina maana kwamba mtu mmoja anaweza akawa na vinasaba vya kufanana...

READ MORE

Steve Nyerere: Bora Alikiba!

MSANII maarufu wa Bongo Movie, Steve Nyerere,  amempongeza msanii wa Bongo Fleva, Alikiba, baada ya kuwaombea bajeti wasanii wa Bongo...

READ MORE

JPM Amvulia Kofia Alikiba, Amvisha Kama Diamond, Harmonise -Video

MGOMBEA urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. John Magufuli, ameshindwa kujizuia...

READ MORE

Mastaa Hawa ni Chui na Paka

KWENYE muziki, ni kama ilivyo kwenye maisha ya kawaida, kuna baadhi ya wasanii wao wamejikuta kutokana na sababu zao, hawapikiki...

READ MORE

Alikiba, Msaga Sumu Ndani ya Azam

UONGOZI wa Azam FC umesema kuwa mashabiki wasikose kesho kujitokeza kwa wingi Uwanja wa Azam Complex kwenye kilele cha Azam...

READ MORE

Kiba Afanya Balaa, Afunga Mtaa wa Harmonize! – Video

SUPER Staa wa Bongo Fleva, Alikiba ambaye pia ni CEO wa Kings Music Records, usiku wa kuamkia leo amefanya bonge...

READ MORE

Samatta Aomba Radhi Kuvaa Barakoa – Video

Mchezaji wa Klabu ya Aston Villa na timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars, Mbwana Ali Samatta amewaomba radhi Watanzania...

READ MORE

Simba vs Yanga ‘Zinawatesa’ Mastaa Mitandaoni

SOKA ni moja kati ya michezo inayoongoza kwa kupendwa. Kuwa shabiki wa mpira ni kama vile kile kilevi, huachi kutaka...

READ MORE