Basi la Kampuni ya Allys Star Lagonga treni Mji wa Manyoni mkoani Singida
Habari zilizotufikia asubuhi ya hii leo Novemba 29, 2023 zimeeleza kuwa, watu kadhaa wanahofiwa kufariki dunia na wengine kujeruhiwa katika ajali ya barabarani baada ya basi la Kampuni ya Allys Star kugonga treni katika makutano ya reli…
