×

Tag: Babu Tale

Babu Tale Kuwalipia Tiketi za Ndege Wasanii Waliotajwa Tuzo za Afrimma

MBUNGE wa Morogoro Mashariki na Meneja wa Wasanii wa muziki chini ya lebo ya WCB, Hamisi Taletale ameainisha dhamira yake...

READ MORE

Babu Tale: Rayvanny Hajakamilisha Utaratibu, Bado ni Mali ya WCB

MMOJA wa mameneja wa Lebo ya WCB, Hamisi Taletale, ‘Butale’ ameweka wazi kuwa msanii Rayvanny bado yupo chini ya #WCBWASAFI...

READ MORE

Babu Tale Amjibu P Funk, Adai Afrika Nzima Inatambua Mchango wa WCB

SIKU chache baada ya Prodyuza mkongwe wa muziki nchini, P Funk ‘Majani’ kudai kuwa Lebo ya Muziki ya ya WCB...

READ MORE

Babu Tale: Bila Mke ni Mtihani

Maneja wa Diamond Platnumz ambaye pia ni Mbunge Morogoro Kusini Mashariki, Hamisi Taletale ‘Babu Tale’ amefunguka tena kwa mara nyingine...

READ MORE

Babu Tale: Mkubwa Fella Ajengewe Sanamu

BABU Tale; mmoja wa mameneja wa msanii Diamond Platnumz, ameomba kuwa, meneja mwenzake wa msanii huyo ambaye ni mlezi wa...

READ MORE

Mwakinyo: Babu Tale Asinichukulie Poa, Sipigani na Wabeba Matofali – Video

BONDIA namba moja Tanzania na Afrika ambaye pia ni namba 24 Duniani katika uzito wa super welter, Hassan Mwakinyo amesema...

READ MORE

Babu Tale Aomba Msaada

MBUNGE wa Morogoro Kusini Mashariki, Hamis Taletale maarufu Babu Tale, amesema anahitaji kukutana na mwanasaikolojia kutokana na kipindi anachokipitia kwa...

READ MORE

Kumekucha! Tazama Zari Alichomfanyia Babu Tale

IKIWA ni saa chache baada ya kutua Bungeni na ku-make headlines za kutosha, kupitia ukurasa wake wa Instagram, Zarinah Hassan...

READ MORE

Babu Tale: Neno Rais Litumike kwa Rais wa Nchi, si TFF – Video

MBUNGE wa Jimbo la Morogoro Kusini Mashariki, Hamisi Taletale amependekeza neno Rais litumike kumtaja Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...

READ MORE

Babu Tale Atinga Kijiji Wanachotumia Mti Kupata Mawasiliano

   Wananchi wa kijiji cha Matuli wilaya Morogoro Vijijini, jimbo la Morogoro kusini mashariki wameipongeza kampuni ya simu ya simu...

READ MORE

Hatimaye Babu Tale Afungukia Kuoa

MBUNBGE wa Jimbo la Morogoro Kusini ambaye pia ni Meneja wa msanii Daimond Platinum, Babu Tale ameibuka na kukanusha kuoa...

READ MORE

Babu Tale: Kuanzia Leo Mimi ni Chawa wa Magufuli – Video

MBUNGE wa Morogoro Kusini-Mashariki, Hamisi Taletale maarufu kama Babu Tale, amesema kuwa kuanzia leo yeye amekuwa ‘chawa’ wa Rais John...

READ MORE

Babu Tale – Marehemu Mke Wangu Aliniambia Nisioe

MBUNGE wa Morogoro Kusini Mashariki, Mhe. Hamisi Taletale ‘Babu Tale’, ambaye alifiwa na mkewe, Shamsa Kombo ‘Shammy’, Juni 26, 2020,...

READ MORE

Babu Tale, DC Watua Kwenye Gereza la Mtego wa Simba – Video

Mkuu wa Wilaya ya Morogoro, Bakari Msurwa akiwa ameambatana na Mbunge wa Morogoro Kusini, Babu Tale, wameupongeza uongozi wa Gereza...

READ MORE

Babu Tale Afungukia Tuhuma za Kumtoa Kafara Mkewe

MENEJA wa mwanamuziki nyota wa Bongo Fleva, Diamond Platinumz, Hamisi Taletale ‘Babu Tale’ amejitokeza na kulisafisha jina lake baada ya...

READ MORE

Babu Tale: Hatujazuia Clouds Kupiga Nyimbo za WCB, Kuna Utoto

MBUNGE wa jimbo la Morogoro Kusini Mashariki, Hamis Taletale ambaye pia ni meneja wa Msanii Diamond Platnumz afunguka juu ya...

READ MORE

Babu Tale Aapishwa Bungeni Dodoma – Video

MBUNGE wa Morogoro Vijijini Kusini-Mashariki, Hamis Taletale ‘Babu Tale’, akila kiapo cha kuwa Mbunge wa Bunge la 12 la Jamhuri...

READ MORE

Kifo cha Mke wa Babu Tale, Harmonize ‘Ahukumiwa’

ULE msemo usihukumu, usije ukahukumiwa umetokea kwenye msiba wa mke wa Hamis Tale ‘Babu Tale’, Shamsa Kombo.   Jicho la...

READ MORE

VIDEO: Babu Tale Kamzungumzia Msanii Mpya WCB Mwanamke!

Meneja wa Mwanamuziki Diamond Platnumz, Babu Tale, amesema Lebo ya WCB inatarajia kumtambulisha msanii wake mpya wa kike hivi karibuni…....

READ MORE

FID Q, BABU TALE BIFU ZITO “Nunua Sabuni Utoe Upele” – Video

RAPA maarufu Bongo, Faridi Kubanda Fid Q ameingia kwenye bifu zito na meneja wa msanii Diamond Platnumz, Babu Tale chanzo...

READ MORE

BABU TALE ATOBOA SIRI YA KUMWACHA HAWA INDIA

MENEJA wa Kundi la Wasafi Classic Baby (WCB), Hamisi Taletale ‘Babu Tale’ ameibuka na kutoboa siri ya kumuacha nchini India...

READ MORE

Msanii Hawa Atoka Salama ICU, Babu Tale Afunguka

MSANII Hawa Saidi (Hawa Ntarejea) bado anaendelea kupatiwa matibabu nchini India ambapo leo amefanyiwa upasuaji mkubwa wa moyo. Meneja kutokea...

READ MORE

Kufuru: Diamond Amwaga Noti za Dola kwa Mtoto wa Zamaradi – Video

KINARA wa Bongo Fleva nchini, Diamond Platinums amefanya kufuru ya aina yake baada kumwaga minoti ya dola akimzawadia mtoto wa...

READ MORE

BABU TALE AFUNGUKA MAVOKO KUTIMULIWA WCB

BAADA ya kuzagaa kwa madai kwamba msanii wa Bongo Fleva, Rich Mavoko ambaye yuko kwenye Kundi la WCB ambalo mkurugenzi...

READ MORE

KESI YA BABU TALE NGOMA NZITO

DAR ES SALAAM: KESI inayomkabili Mkurugenzi wa Tip Top Connection, Hamis Taletale ‘Babu Tale’ dhidi ya Shehe Salum Mbonde bado...

READ MORE

NAY AMVAA BABU TALE!

BAADA ya hivi karibuni Meneja wa Staa wa Muziki wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’; aitwaye Hamis Taletale ‘Babu Tale’...

READ MORE

Fella Amtosa Babu Tale

MLEZI wa wanamuziki na Meneja wa Msanii wa Bongo Fleva, Naseeb Abdul ‘Diamond Platnumz’ Said Fella, amelazimika kumtosa meneja mwenzake,...

READ MORE

Baada ya Kusota Sero kwa Siku Mbili, Babu Tale Aachiwa

MKURUGENZI wa Kampuni ya Tip Top Connection na Meneja wa Diamond Platnumz, Hamis Taletale maarufu Babutale ameachiwa kutoka Kituo Kikuu...

READ MORE

Kauli ya Wakili wa Sheikh Mbonde Kesi ya Babu Tale – Video

KUFUATIA Mkurugenzi wa Kampuni ya Tip Top Connections na Meneja wa mwanamuziki Naseeb Abadul ‘Diamond Platinumz’, Hamis Taletale ‘Babu Tale’,...

READ MORE

VIDEO: KESI YA BABU TALE YAAHIRISHWA, ARUDISHWA MAHABUSU

MKURUGENZI wa Kampuni ya Tip Top Connection ya jijini Dar es Salaam na Meneja wa mwanamuziki Naseeb Abadul ‘Diamond’, Hamis...

READ MORE

BABU TALE ARUDISHWA MAHABUSU KISA MIL 250

Mkurugenzi wa Kampuni ya Tip Top Connection ya jijini Dar es Salaam na Meneja wa mwanamuziki Naseeb Abadul ‘Diamond’,  Hamis...

READ MORE

VIDEO: Q Boy wa WCB Amwaga Machozi Kuondoka WCB, Awataja Mondi, Kiba na Dimpoz

MSANII Q-Boy Msafi aliyekuwa akifanya kazi kwenye lebo ya WCB, amejikuta akimwaga chozi katikati ya interview na Global TV Online...

READ MORE

BABU TALE; Maoni ya Shigongo Hayahusiani na Shoo

Na ABDALLAH MRISHO|MENEJA MKUU GLOBAL PUBLISHERS. MWISHONI mwa wiki iliyopita ulizuka mjadala mkubwa kwenye mitandao ya kijamii baada ya Mkurugenzi...

READ MORE

Madee Kupora Simu ni Kiki?

Madee. DAR ES SALAAM: Zikiwa zimepita siku chache tangu msanii wa bongo Fleva na staa wa wimbo ya Pombe, Hamad...

READ MORE

Babu Tale Mbaroni kwa Kutomlipa Sheikh Mbonde Mil 25

Hamis Tale Tale ‘Babu Tale’. Meneja wa staa wa Bongo Flavour Diamond Platnumz, Hamis Tale Tale ‘Babu Tale’ amefikishwa katika...

READ MORE